yani watu hampendi maendeleo, mtu anakusaidia kufanya biashara akupunguzie mzigo wa majukumu hamtaki na tukikaa tu nyumbani mnasema tumekua ombaomba, sijui mnataka niniππππ€ππΌ
Inawezekana kina maana pengine ila sio kwa hii situation.Nilichoandika mwanzo bado kina maana
Aiseee kunywa desperados tatu za baridi hapo nakuja kulipia.wanawake wengi hatujui kuendesha biashara baada ya maendeleo Inakuwa kurudisha nyuma hakuna mwanaume anakataa mkewe kujishughulisha mtu ujana wake hajawah hata kujua kumanage 50000 aliyotafuta ikazaa hawez kufanya biashara hata ukimpa million 10 ni uongo na ushahidi upo mwingi tu sio Kila mtu ni business woman kiukweli
Kaka watu wengi tunachanganya kua wakweli na kua inconsiderate. Kukiwa na mapenzi na heshima ukweli kwa wenza wetu hua ni kwaajili ya kuwajenga ila heshima ikipungua ukweli wetu hua tunautoa kwenye inconsiderate manner.Yaani kumwambia mtu ukweli ndio kutomuheshimu.
Mie ni business professional kwa zaidi ya miaka tisa sasa, naweza kuspot mtu mwenye uwezo wa kufanya business na kuspot mtu magumashi.
Nilishamuuliza kabla ya kumfungulia business ya ya saloon mara ya kwanza kwamba unataka uuze nini na nini pembeni ya kusuka? Alichojibu kiukweli kilinikatisha tamaa ila bado nikapiga moyo konde na kumfungulia, hana plan bali anafanya kwa kuiga failures wenzie.
Sasa kama kutomwambia mwezi wako ukweli ndio heshima kwenye mahusiano basi fvck that heshima
Naelewa hela inauma. Si ndiyo tunakesha tunaitafuta kaka.Inawezekana kina maana pengine ila sio kwa hii situation.
Mtu business amerun kwa miezi saba, hela ya matumizi bado natuma mimi kama kawaida nlivyokua namtumia kabla ya business, na business yake faida haionekani. Bado anakuja kutoa hela kwenye business yangu ambayo imeshasimama, yaani kwa maneno mengine anauwa biashara nzuri kwa biashara yake magumashi?
Aisee mkuu unaongea theory tu, hela inauma sana mkuu.
πππΌwanawake wengi hatujui kuendesha biashara baada ya maendeleo Inakuwa kurudisha nyuma hakuna mwanaume anakataa mkewe kujishughulisha mtu ujana wake hajawah hata kujua kumanage 50000 aliyotafuta ikazaa hawez kufanya biashara hata ukimpa million 10 ni uongo na ushahidi upo mwingi tu sio Kila mtu ni business woman kiukweli
Japo mtoamada alitakiwa ampe nafas pia ya kujirekebisha huenda mambo yangekuwa mazuri
Unachosema ni kweli, lkn as I said before, haki-apply kwenye hii situation.Kaka watu wengi tunachanganya kua wakweli na kua inconsiderate. Kukiwa na mapenzi na heshima ukweli kwa wenza wetu hua ni kwaajili ya kuwajenga ila heshima ikipungua ukweli wetu hua tunautoa kwenye inconsiderate manner.
Mfano wewe umesema ni business professional kwa miaka 9 na unaweza jua mtu mwenye uwezo na asiye nao, je hiyo miaka 9 haijakupa uwezo wa kumlea mtu na kumvuta kutokea alipo na kuja juu?
Kama ungekua unamheshimu shemeji na mapenzi yapo ukweli kwake ungeupeleka katika namna ya kumjenga. Kuanzia hiyo siku ulivyoona kajibu kitu siyo sahihi, ungempa plan, ukampa objectives na jinsi ya kuzifikia. Mimi ninachojua biashara mpya at times itahitaji external continuous investment in terms of cash kwakua inaweza isizalishe unavyotarajia.
Wewe kama pro hili ulitakiwa ulione na uone shemeji alikwamia hapa. Lakini haya yote huyaoni kwakua unamdharau huyo dada, katika michepuko yako 3 uliyoisema kuna mmoja hata angechoma mtaji wote ungemuweka chini kumuuliza kwa utaratibu na kumuonyesha njia.
Kweli dearπππΌ
yeah for real πKweli dear
Nina mke na watoto kaka. Na hizo za unamwambia hiki ila kuna upande unampa ushauri mwingine imeshanitokea ila baada ya kuharibu kwenye situation fulani amekua msikilizaji.Unachosema ni kweli, lkn as I said before, haki-apply kwenye hii situation.
Hivi una mke? Au una mwanamke mnaoishi wote pamoja? Kama jibu ni ndio naomba nikuulize ulishawahi kujaribu kumshauri kitu ambacho wewe aidha kwaa kujua au kutokujua kuna watu wanamshauri the opposite? Sasa mtu kama huyo huwezi kumfundisha akakuelewa hasahasa kuhusu biashara ambayo mimi sipo hapo. Na ndo maana watu wengi hawataki kuchanganya mapenzi na biashara sababu ushauri wako mkishandinyana ukamsifia basi anajua anaweza kuupuuzia tu, ndipo inapotokea principle ya mapenzi kazini na effects zake nadhan sihitaji kukuelezea hapa.
Mfano mdg angalia chanzo cha ugomvi, nilimwambia asitoe hela kwenye business zangu bila kuniambia lkn kafanya opposite, na ili uje uone one wrong deed always creates the other hadi utakapotubu, mwishowe ameshindwa kurudisha fedha hadi mimi nikajua.
Huwezi kumfunza biashara mwanamke mnaelala nae chumba kimoja chief, aidha mkutane wote mshajua au mmezaliwa mnajua.
Huwa ninasema huwezi leta logic(business) penye emotion (mapenzi). Rafiki yangu alinipinga sana lkn sasahivi kuna baba mwingine anamlelea watoto wake hapa ninapoandika
HahahahahaaaaNina mke na watoto kaka. Na hizo za unamwambia hiki ila kuna upande unampa ushauri mwingine imeshanitokea ila baada ya kuharibu kwenye situation fulani amekua msikilizaji.
Anyway, I hope mtaweza kufikia aina fulani ya makubaliano kaka.
Hii aya ya mwisho imesababisha nicheke sana.
Na jioni ndo hii tunasubiriNgoja jioni nitajibu comment zenu wote. Ila kiufupi mie nimekulia kwenye family mzee alikua na wake watano na wote aliwamanage vizuri sana hadi leo wanaheshimiana, na watoto tuko 13. Nitawajibu vizuri jion
Mimi Sio mkoloni mkuu, labda tu ni mtu wa kufuata sana principles.huyu jamaa mkoloni π
sasa hiyo ni ndoa au vitaMimi Sio mkoloni mkuu, labda tu ni mtu wa kufuata sana principles.
Naamini moja ya sifa ya mwanaume ni kumuweka under control mke wake au mwanamke anaeishi nae, that way utaweza kucontrol hata malezi ya watoto.
Sasa huyu anataka kutoka nje ya control inabidi kutumia mbinu za kumuweka sawa, na silaha mojawapo kwenye arsenal ni michepuko, huwa anahofia tu wapo lkn hana uhakika, hio hofu ndio mtaalam unaweza kuitumia sasa, this game aint for kids by the way
Yaan ana uwezi dhaifu[emoji1787][emoji1787]Sio la kwanza..
Ana tabia ya kutaka kuwa business woman lkn hawezi, ana uwezo mdogo sana ila haelewi
labda ujaribu kuongea nae vizuri, usikie atasemaje....Hv unataka kusema hujui kwamba kuna msitari mwembamba sana kati ya ndoa na vita?
Ila hamna sehemu nlosema nimemuoa, tunakaa wote, wachumba sugu bado