Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
yani watu hampendi maendeleo, mtu anakusaidia kufanya biashara akupunguzie mzigo wa majukumu hamtaki na tukikaa tu nyumbani mnasema tumekua ombaomba, sijui mnataka nini🙄🙄🙄🤓🙌🏼
wanawake wengi hatujui kuendesha biashara baada ya maendeleo Inakuwa kurudisha nyuma hakuna mwanaume anakataa mkewe kujishughulisha mtu ujana wake hajawah hata kujua kumanage 50000 aliyotafuta ikazaa hawez kufanya biashara hata ukimpa million 10 ni uongo na ushahidi upo mwingi tu sio Kila mtu ni business woman kiukweli
Japo mtoamada alitakiwa ampe nafas pia ya kujirekebisha huenda mambo yangekuwa mazuri