Huyu mwanamke ana tatizo gani?

Wewe na yeye bado ukichaa haujawatoka miilini mwenu.Ukimuandika mali zako mtoto ndiyo umemkomesha mama yake?Unaijua bond ya mtoto kwa mama inavyokuwa?Nikikuuliza wewe tu hapo;Unaweza kumnyima nyumba au gari mama yako mzazi aliyekuzaa,kukulea kwa upendo na kukujali kama unavyo au una uwezo wa kumnunulua?Sasa oanisha kwa mtoto wako na mama yake.Huyo mwanamke wako ni mkosa akili ndiyo maana ni mgambo.
 
Una uhakika huo mtoi ni wako mkuu?
 
Hatua ulizochukua ni sahihi kuandikisha mali zako kuwa za Mtoto wako.
Isipokuwa matumizi ya mtoto ni makubwa mno! Kwa ujinga wa wanawake kama hujamwonyesha vyanzo vyako VYOTE vya mapato yako ni rahisi kuamini una mali nyingi au fedha nyingi(huu ni ujinga wa wanawake karibia wote)
Usipofanya hivyo usishangae ukizushiwa uwongo kwamba una vimada wengine wanaotumia pesa hizo.
Pili kwa habari ya tabia yake hauna budi kukubaliana na hali tu.
Kama mlifunga ndoa ambayo inatambuliwa na Jeshi nadhani ulipewa fomu fulani ya kujaza na kusaini ambayo nadhani unaambiwa mkeo anaweza kuhihitajika muda wo wote!
Kama atahitajiwa na bosi wake usiku sawa!
Kama hujafunga naye ndoa na anaanza kukuchanganya fanya utaratibu wa kuachana naye! Maana mateso ya hiyo ndoa hutayavumilia.
Hayo ni mawazo yangu!
 
Hata kama sina D mbili ,hii ni chai, 1.5Milioo au 150k
 
Kazi ya uandishi itakufaa sana naona unaishi fantasy life
 
Pole sana. Hebu kaa uhadithie kwa utulivu
 
WWE uyo
 
hapana, kwangu mimi wewe ni age ya mtoto wangu wa mwisho (last born).

Na tayari tumeshaona mengi kwenye hii dunia, hata hizo unrealistic expectations zako pia.
Watu wazima kama wewe angalau mnatulia na mnajua kulea!
 
Kazi ya uandishi itakufaa sana naona unaishi fantasy life
Mkuu kama hutojali nataka nikutoe out ili u-experience aina nyingine ya maisha,maana hayo unayoishi ni kama yamekufunga akili!

Chagua nchi yoyote unayotaka kwenda nitakulipia Gharama zote kwa muda wa siku 7!

Ukiwa tayari nicheki pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…