TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
- Thread starter
-
- #81
Kwamba kwa akili yako nishindwe kumhudumia mwanangu kila mwezi Tsh 1.5?Hata kama sina D mbili ,hii ni chai, 1.5Milioo au 150k
Mawazo haya nimeyachukua mkuu,Ahsante sana!Hatua ulizochukua ni sahihi kuandikisha mali zako kuwa za Mtoto wako.
Isipokuwa matumizi ya mtoto ni makubwa mno! Kwa ujinga wa wanawake kama hujamwonyesha vyanzo vyako VYOTE vya mapato yako ni rahisi kuamini una mali nyingi au fedha nyingi(huu ni ujinga wa wanawake karibia wote)
Usipofanya hivyo usishangae ukizushiwa uwongo kwamba una vimada wengine wanaotumia pesa hizo.
Pili kwa habari ya tabia yake hauna budi kukubaliana na hali tu.
Kama mlifunga ndoa ambayo inatambuliwa na Jeshi nadhani ulipewa fomu fulani ya kujaza na kusaini ambayo nadhani unaambiwa mkeo anaweza kuhihitajika muda wo wote!
Kama atahitajiwa na bosi wake usiku sawa!
Kama hujafunga naye ndoa na anaanza kukuchanganya fanya utaratibu wa kuachana naye! Maana mateso ya hiyo ndoa hutayavumilia.
Hayo ni mawazo yangu!
Aliyekwambia watu wenye pesa huwa hawalalamiki nani?Ungekuwa na hela wala usingepata muda wa kuja kulalalamika hapa
Mkuu kwa hiyo kumtumia mwanamke wako aliye na mwanao Tsh 1.5 kwa mwezi kwenu ni hela nyingi?Hongera tajir 1.5m SI haba ila kapime DNA huyo mtoto.
Nimesoma username ikabidi nifute comment.Binafsi nimezaa na mwanamke mmoja mbaye ameajiliwa na Jeshi moja wapo miongoni mwa majeshi hapa nchini. Huyu mwanake amekuwa na nyodo sana kutokana na kazi yake anayoifanya!
Huyu mwanamke anaijua nyumba yangu hapa Dar es salaam pamoja na mali kadhaa zinazoonekana hapa nyumbani zikiwemo gari zangu 2!
Kwa akili yake alikuwa (ga) anadhani hizo zinazoonekana ndizo mali zangu pekee; Mimi na yeye tulikosana kwasababu za kijinga sana, kwakuwa wakati tumekosana alikuwa mjamzito! Nilisubiri akajifungua salama na baada ya kujifungua kabla hajarudi kazini kila mwezi nilikuwa namtumia Tsh 1.5 M ili imsaidie yeye pamoja na mwanangu!.
Kiukweli baada ya kuwa namtumia hii hela ni kama alichanganyikiwa na alidhani mimi nafanya kwa ajili yake kumbe nilikuwa nafanya kwa ajili ya mwanangu!
kufupisha stori!
Mali zangu zote nimemuandika mwanangu, sababu ya kufanya hivyo ni historia mbaya ya wanawake niliyonayo kichwani mwangu!
Baada ya kumwambia kila kitu kuhusu mali zangu nimemuandika mwanangu, hapo ndipo ugomvi umeanza rasmi!
Kumbuka huyu mwanamke tayari anaye mshikaji wake ila anataka kuniona mimi zuzu!
Kwan wapi niliposhangaa mkuu? Mm nimekupa hongera tu binafsi Sina uwezo huo maana kipato changu chenyewe kwa mwezi hakifikii huko ni kweli umaskini sio kitu kizuri na hakuna anayeupenda.Mkuu kwa hiyo kumtumia mwanamke wako aliye na mwanao Tsh 1.5 kwa mwezi kwenu ni hela nyingi?
Aisee kama kuna kitu ambacho vijana inapaswa mkikatae kwa nguvu zote ni Umasikini,yaani Vijana mnashangaa mimi kumtumia mwanamke niliyezaa naye Tsh 1.5 M kwa mwezi?,Serious kabisa?
Hahaha naona unayajua sana maisha yangu Punguza majigambo nduguMkuu kama hutojali nataka nikutoe out ili u-experience aina nyingine ya maisha,maana hayo unayoishi ni kama yamekufunga akili!
Chagua nchi yoyote unayotaka kwenda nitakulipia Gharama zote kwa muda wa siku 7!
Ukiwa tayari nicheki pm
Binafsi nimezaa na mwanamke mmoja mbaye ameajiliwa na Jeshi moja wapo miongoni mwa majeshi hapa nchini. Huyu mwanake amekuwa na nyodo sana kutokana na kazi yake anayoifanya!
Huyu mwanamke anaijua nyumba yangu hapa Dar es salaam pamoja na mali kadhaa zinazoonekana hapa nyumbani zikiwemo gari zangu 2!
Kwa akili yake alikuwa (ga) anadhani hizo zinazoonekana ndizo mali zangu pekee; Mimi na yeye tulikosana kwasababu za kijinga sana, kwakuwa wakati tumekosana alikuwa mjamzito! Nilisubiri akajifungua salama na baada ya kujifungua kabla hajarudi kazini kila mwezi nilikuwa namtumia Tsh 1.5 M ili imsaidie yeye pamoja na mwanangu!.
Kiukweli baada ya kuwa namtumia hii hela ni kama alichanganyikiwa na alidhani mimi nafanya kwa ajili yake kumbe nilikuwa nafanya kwa ajili ya mwanangu!
kufupisha stori!
Mali zangu zote nimemuandika mwanangu, sababu ya kufanya hivyo ni historia mbaya ya wanawake niliyonayo kichwani mwangu!
Baada ya kumwambia kila kitu kuhusu mali zangu nimemuandika mwanangu, hapo ndipo ugomvi umeanza rasmi!
Kumbuka huyu mwanamke tayari anaye mshikaji wake ila anataka kuniona mimi zuzu!
huna iyo hela na huji kuipataTafuta pesa kijana,bila pesa haya utaendelea kuyaandika sana hapa JF!
mtoa mada bado hajavuka stage ya unyani anatamani ung'ombe kukamuliwa 1.5m kwa mwez
Hii vita bado mbichi 😹😹😹Binafsi nimezaa na mwanamke mmoja mbaye ameajiliwa na Jeshi moja wapo miongoni mwa majeshi hapa nchini. Huyu mwanake amekuwa na nyodo sana kutokana na kazi yake anayoifanya!
Huyu mwanamke anaijua nyumba yangu hapa Dar es salaam pamoja na mali kadhaa zinazoonekana hapa nyumbani zikiwemo gari zangu 2!
Kwa akili yake alikuwa (ga) anadhani hizo zinazoonekana ndizo mali zangu pekee; Mimi na yeye tulikosana kwasababu za kijinga sana, kwakuwa wakati tumekosana alikuwa mjamzito! Nilisubiri akajifungua salama na baada ya kujifungua kabla hajarudi kazini kila mwezi nilikuwa namtumia Tsh 1.5 M ili imsaidie yeye pamoja na mwanangu!.
Kiukweli baada ya kuwa namtumia hii hela ni kama alichanganyikiwa na alidhani mimi nafanya kwa ajili yake kumbe nilikuwa nafanya kwa ajili ya mwanangu!
kufupisha stori!
Mali zangu zote nimemuandika mwanangu, sababu ya kufanya hivyo ni historia mbaya ya wanawake niliyonayo kichwani mwangu!
Baada ya kumwambia kila kitu kuhusu mali zangu nimemuandika mwanangu, hapo ndipo ugomvi umeanza rasmi!
Kumbuka huyu mwanamke tayari anaye mshikaji wake ila anataka kuniona mimi zuzu!
We acha tu mkuu!Hii vita bado mbichi 😹😹😹
Vijana walalahoi hapa JF huwa mnajifariji sana!huna iyo hela na huji kuipata
Binafsi nimezaa na mwanamke mmoja mbaye ameajiliwa na Jeshi moja wapo miongoni mwa majeshi hapa nchini. Huyu mwanake amekuwa na nyodo sana kutokana na kazi yake anayoifanya!
Huyu mwanamke anaijua nyumba yangu hapa Dar es salaam pamoja na mali kadhaa zinazoonekana hapa nyumbani zikiwemo gari zangu 2!
Kwa akili yake alikuwa (ga) anadhani hizo zinazoonekana ndizo mali zangu pekee; Mimi na yeye tulikosana kwasababu za kijinga sana, kwakuwa wakati tumekosana alikuwa mjamzito! Nilisubiri akajifungua salama na baada ya kujifungua kabla hajarudi kazini kila mwezi nilikuwa namtumia Tsh 1.5 M ili imsaidie yeye pamoja na mwanangu!.
Kiukweli baada ya kuwa namtumia hii hela ni kama alichanganyikiwa na alidhani mimi nafanya kwa ajili yake kumbe nilikuwa nafanya kwa ajili ya mwanangu!
kufupisha stori!
Mali zangu zote nimemuandika mwanangu, sababu ya kufanya hivyo ni historia mbaya ya wanawake niliyonayo kichwani mwangu!
Baada ya kumwambia kila kitu kuhusu mali zangu nimemuandika mwanangu, hapo ndipo ugomvi umeanza rasmi!
Kumbuka huyu mwanamke tayari anaye mshikaji wake ila anataka kuniona mimi zuzu!
Nimeishia kwenye 1.5M per month , ngoja nikatafte hela kwanza nipate mood ya kumaliziaSijui kwanini nashindwa kuamini hii stori kama ni ya kweli
Roycol mchuzi mixBinafsi nimezaa na mwanamke mmoja mbaye ameajiliwa na Jeshi moja wapo miongoni mwa majeshi hapa nchini. Huyu mwanake amekuwa na nyodo sana kutokana na kazi yake anayoifanya!