Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Juzi nilileta Uzi humu kwamba Kuna mwanamke anasema anaujazito wangu nimemuambia atoe Sina shida na mtoto Sasa hivi sababu najitafuta umri wangu miaka 28 maisha ya tanzania magumu nitazidisha matatizo Cha ajabu Kila siku anakuja kushinda nje ya mlango wa geto langu yaani hata mda huu yupo nje ya mlango wa geto langu anaagiza chips akila anakaa hapo hapo alsee huu ni mkosi Gani wakuu Mimi huyu demu naona kama anataka kuniletea mapenzi ya kikorea nimeshamuambia atoe hiyo mimba aendelee na maisha yake kagoma nifanyaje wakuu yeye Kila siku kazi kusema anataka azae Ili nije nimuue mtoto Kwa mikono yangu huyu demu anaakili sawasawa kweli wakuu