Huyu mwanamke bado anajua mgumu kutoa hii mimba nifanyaje aisee

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Juzi nilileta Uzi humu kwamba Kuna mwanamke anasema anaujazito wangu nimemuambia atoe Sina shida na mtoto Sasa hivi sababu najitafuta umri wangu miaka 28 maisha ya tanzania magumu nitazidisha matatizo Cha ajabu Kila siku anakuja kushinda nje ya mlango wa geto langu yaani hata mda huu yupo nje ya mlango wa geto langu anaagiza chips akila anakaa hapo hapo alsee huu ni mkosi Gani wakuu Mimi huyu demu naona kama anataka kuniletea mapenzi ya kikorea nimeshamuambia atoe hiyo mimba aendelee na maisha yake kagoma nifanyaje wakuu yeye Kila siku kazi kusema anataka azae Ili nije nimuue mtoto Kwa mikono yangu huyu demu anaakili sawasawa kweli wakuu
 
Kuna option kadhaa.
1.Mpeleke polisi
2.Mpeleke ustawi wa jamii.
3.Mpeleke kwa mchungaji wako au sheikh
4.Mpeleke kwa wazazi/walezi wako.
5.Kamsemee kwa wazazi/walezi wake.

Ukiona huwezi yote hayo basi ujue huna haki ya kumtaka afanye hilo unalotaka.
 
Muache azae miaka 28 mbona mtu mzima wewe na una gheto kabsa. We muache mtoto utalea tu na sio gharama kivile kama mnavyodanganyana.
Kutoa mimba si jambo jema.
 
Pumbavuuuu!
 
Jirani...
Minaona bora aichukue yeye hiyo mimba aibebe tu...🤣
 
Mkuu watoto wanavyotafutwa kwashida pambana kulea tu aisee usije ukajuta huko mbele
 
Miaka 28 bado unajitafuta dingiii?
 
Athari za kuendekeza nyege kwa Mwanamke na mwanaume huwa zinarudisha maendeleo nyuma, tayari Single Maza mwingine ambaye huenda hataolewa tena ktk maisha yake yoote
 
Hata wanyama wa kufugwa na pia hayawani mwituni wana utu na akili za mahusiano na jinsi nyingine kuliko wewe! Unashiriki ngono zembe ukiwa unatarajia nini?

Hivi unatambua tendo la kujamiana lina uhusiano wa moja kwa moja na utungwaji wa mimba, na hatimaye mtoto asiyekuwa na hatia kuzaliwa!?

Binti ya watu ana akili nyingi kuliko wewe. Yupo tayari kuzaa mtoro, halafu akuletee ili upate kumua kwa mikono yako mwenyewe.

Kijana gani usiyeweza kujitambua wala kutaka kuwajibika wewe! Unapenda sana kula mayai lakini hutaki kufuga kuku

Acha mara moja akili za kindezi wewe!
 
Miaka yako ni 28 kweli, mbona unafanya mambo kama mtoto wa miaka 12?
 
Umemwaga ndani
Na inawezekana round 3
Bila tahadhari yoyote

Alafu unashangaa matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…