Huyu mwanamke bado anajua mgumu kutoa hii mimba nifanyaje aisee

Utakuja kumtafuta huyo mtoto kwa njia ngumu sana endelea kukataa
 
dogo nakufuatilia kwa umakini sana endelea na huu upumbavu tuh
 
Kutoa mimba ni Uuaji acha

Acha kufanya mauaji wewe na wale walioua okt 29 hamna tofauti sehemu yenu ni jehanamu wote
 
Vipi angekuwa hana mimba halafu anakuletea mbususu kila siku hapo gheto?

Miaka 28 unalia lia? Si uende hata ulikozaliwa ukalime hata nyanya au vitunguu msimu mmoja tu

Hv MO29 ulikuwa wapi ukapona mwamba?
 
Mabinti wa nyakati hizi walivyo na roho ngumu huyu wa kwako anatokea wapi?
Maisha yalivyo tight binti kaona hakuna namna!!
 
mseng. eeeee kweli wewe, ungetolewa leo ungekuwepo ? mjawaaa laana kabisa weye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…