Huyu mwanamke ni kweli hapendi kutumiwa pesa au ni janjajanja zake?

Astaghafilulah.... Yaani unatangaza kusagana kama ni jambo la maana? Kwa nini mmekuwa na huo mchezo wanawake wa siku hizi? Ni uchafu.
 
Utakuta hata mama yako mzazi humtumii hela na ni muhitaji.
 
Unachokitafuta utakipata jipe muda wewe kobe unachinjwa kwa timing subiri ujae kwenye mfumo ufumuliwe ulete story nyingine
 
Kuna mmoja alianza niki mtoa out anawai kulipa kila event anawai kulipa nika muuliza vipi aka dai ana penda tu nisimuone wa vile.
kumbe nilkua naingizwa kwenye mfumo ,Alivyo anza kutuma missile ilikua ni hatarii mwanzo niliona kawaida tu maana nilizani sio wa vile bhana baadae nika shtuka 😅😅
 
Mkuu nimekuelewa vema sana. Naahidi kuiacha hii tabia ya kusifia manzi hadi pale ulazima wa kufanya hivyo utakapojitokeza.
Hakuna Huo Ulazima hata kidogo Wewe Ni Boya Uzuri wa Mwanamke Uko kwenye Jicho lako Mke Wako Watu Wanamsifia Mzuri mpaka Wanawake Wenzie Ila mimi Kwa sasa Ñamuona mbona Kama Pua kubwa Sana Siku Ingine Naona Angekuwa mwembamba Kidogo Ila Najua shida ni Kwamba Nimeshamzoea hata wewe Baadae Utakuwa Kama mimi Kwa Huyo Demu hivyo Punguza Mihemko.
 
Ameshajua nia yako huyo na kwa vile anamtu wake ndio maana anakukataa kwa style hiyo.

Jiongeze!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…