Huyu mwanamke ni kweli hapendi kutumiwa pesa au ni janjajanja zake?

Huyu mwanamke ni kweli hapendi kutumiwa pesa au ni janjajanja zake?

Lugha adhimu ya kiswahili hainaga nafasi kwenye haya mambo. Si hata yule mtu asiyejua kuandika vizuri kiswahili lazima atupie maneno kadhaa kwa lugha ya kiingereza linapofika suala la mapenzi.
Sawa na ujenzi kwenye umaliziaji ukishapaua.

Hata kama haujasoma, hakuna neno la kiswahili linalotumika kwenye hatua ya 'finnishing', ni ngeli tupu kwa kwenda mbele, mf: wiring, tiles, gipsum, silk colour, biding wire, murble nk nk.
 
Mi nikajua kazirudisha 😹😹😹
Huyo muongo hakuna mwanamke asiyependa msg za namba zimechanganyikana na herufi sijui Nbdfvdvb1289 weeeh Thubutuuu 🤣
 
Anajua unampenda, ila hataki mahusiano na wewe kwa sasa, wala hataki maswali ya 'mbona hela zangu ulikula' so uko friendzoned. She wants you to stay there. Usiwe head-over-heels kwake ukamuharibia kwa bwana wake.
 
Wakuu kuna manzi mmoja anafanya kazi kwenye duka karibu na langu nimemzimika ile laana. Uzuri wa huyu manzi ni ngumu kuuelezea kwa lugha za kibinadamu. Wanawake wote duniani wakichanga uzuri ndo watafikia robo ya uzuri wa huyu manzi.

Huwa naenda dukani kwao kupata huduma za kifedha na nikafanikiwa kujenga mazoea hadi kubadilishana namba za simu. Sasa last week aliniomba nimnunulie lunch nami bila kusita nikatekeza kama Tsh 15,000/= kwa ajili ya lunch. Jana kwa raha zangu nikamtumia mpunga mida ya lunch akapate msosi ila jibu lake lilinishangaza sana. Alisema anashukuru ila tafadhali nisiwe namtumia pesa. Kwa upande wangu nimejiuliza kama kweli hapendi kutumiwa hela au ni kujifanya mkristo kuliko kristo mwenyewe?
View attachment 3187655
Acha kutudanganya kuhusu uzuri wa huyo manzi yako.
 
"Don't do this everytime"

Hii kauli inaonyesha unatuma tuma sana pesa kwake, muda mwingine hata bila sababu ya msingi.

Inafikia stage mpaka anakuonea huruma anaona ni kama huna malengo vileee...!!

Badilika mkuu, Don't be a nice guy!
 
Dah! Yani unatuma pesa na unascreenshot na muamala kuonesha umemtumia?😃

Aah Mkuu unajali sana ase.
 
"Don't do this everytime"

Hii kauli inaonyesha unatuma tuma sana pesa kwake, muda mwingine hata bila sababu ya msingi.

Inafikia stage mpaka anakuonea huruma anaona ni kama huna malengo vileee...!!

Badilika mkuu, Don't be a nice guy!
Nashukuru sana mkuu. Ninakuahidi kutoufanyia kazi ushauri wako. Asante sana.
 
Wakuu kuna manzi mmoja anafanya kazi kwenye duka karibu na langu nimemzimika ile laana. Uzuri wa huyu manzi ni ngumu kuuelezea kwa lugha za kibinadamu. Wanawake wote duniani wakichanga uzuri ndo watafikia robo ya uzuri wa huyu manzi.

Huwa naenda dukani kwao kupata huduma za kifedha na nikafanikiwa kujenga mazoea hadi kubadilishana namba za simu. Sasa last week aliniomba nimnunulie lunch nami bila kusita nikatekeza kama Tsh 15,000/= kwa ajili ya lunch. Jana kwa raha zangu nikamtumia mpunga mida ya lunch akapate msosi ila jibu lake lilinishangaza sana. Alisema anashukuru ila tafadhali nisiwe namtumia pesa. Kwa upande wangu nimejiuliza kama kweli hapendi kutumiwa hela au ni kujifanya mkristo kuliko kristo mwenyewe?
View attachment 3187655
Wakina G sio watu wakuaamini kabisa
 
Acha siasa, una simu mbili unajitumia huku na huku na kujijibu.
 
Kuna mmoja alianza niki mtoa out anawai kulipa kila event anawai kulipa nika muuliza vipi aka dai ana penda tu nisimuone wa vile.
kumbe nilkua naingizwa kwenye mfumo ,Alivyo anza kutuma missile ilikua ni hatarii mwanzo niliona kawaida tu maana nilizani sio wa vile bhana baadae nika shtuka [emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
A woman can be very tricky sometimes, it seems that she will need your money sometimes but she doesn't want to create an attachment that will lock her in, because as for the moment, she has a dude who covers pretty much everything. Don't worry she's gon keep you in that infinite loop until somebody uses the kill command or system call.
 
I know this.... every woman has got two or more men.
 
Back
Top Bottom