Huyu mwanamke ni kweli hapendi kutumiwa pesa au ni janjajanja zake?

Hapo anakusubiri ujae kwenye mfumoo ulee mtamaa wa hela ya maana sio hivyo vihela mbuzrii unavyompa... pia inawezekana anaogopa kukupuna sana na hakupendi siku kikiumana moto unaweza kuwa mkubwa maana huwa hawakatai hela hao
 
Zingatia β€œeverytime”
Halafu kwa hiyo hata tukichanga uzuri wetu hatumfikii huyo ni balaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ngoja akuimbishe hivyo hivyo mpaka ujae kwenye mfumo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…