Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Sijawahi wasikia Kwanza hata Leta picha zao na mm nikupe picha moja useme Nani mzuripengine Angelina Jolie na Aishwarya Rai, ndiyo wanawake wazuri duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi wasikia Kwanza hata Leta picha zao na mm nikupe picha moja useme Nani mzuripengine Angelina Jolie na Aishwarya Rai, ndiyo wanawake wazuri duniani
Na kwako pia na kwa S na J na mkubwa wao Boss General!Mwaka unaisha, heri ya mwaka mpya, bila shaka Yale mambo ya 2022 yatapita na kuwa mapya.
Ni kukosa kazi hakuna Cha uzuri Wala mavi yake uzurifikiria naamka muda huu kuandika
Na kwako pia na kwa S na J na mkubwa wao Boss General!
Bila shaka! Enjoy uumbaji!Inshallah! Zimefika hii najua umetuma Kwa niaba ya big boss F na familia yote Kwa ujumla. Barikiwa.
Nafuatilia Uzi wa mwanamke mzuri kuliko wote duniani
JANUARYBila shaka! Enjoy uumbaji!
Yaliyotabiriwa na Mwana yule ajae 😅😅Ndipo yatakapotimia yaliyotabiriwa [emoji16] umeyasema kilokole, umeokoka? Unampenda Yesu?
Wewe man unaoneaje wivu mwanamkeNi kukosa kazi hakuna Cha uzuri Wala mavi yake uzuri
Nilishapata mtani. Hizi ni harakati za duniani tu,kuna maisha baada ya ndoaDooh! Hivyo Mtani mpaka leo bado ulikuwa unatafuta. Lol
Sijawahi wasikia Kwanza hata Leta picha zao na mm nikupe picha moja useme Nani mzuri
Oooh! Oke oke Mtani.Nilishapata mtani. Hizi ni harakati za duniani tu,kuna maisha baada ya ndoa
Hi ni taka taka mkuu hamna kitu hapaView attachment 2463243
Sijasema mimi ila ni world records
Akisha kutenda ndo utajua ni malaika au laaahView attachment 2463213
Wakati wa kufunga shule nilienda kumchukua kijana wangu shule moja ipo Kahama. Katika kusubiri maelekezo nikaona dada mmoja akiwa amekaa peke yake huku akichezea simu. Moyo ulilipuka sana baada ya macho yetu kugongana.
Nikawa kama nimepigwa shoti ya umeme. Niliona ni kama nimekutana na malaika aliyeshuka toka mbinguni. Nikatamani kumsogelea yule mrembo lakini nikawa na shaka kama niko presentable kwake?
Nikajivuta na kusogea karibu yake. Nikakoki sauti yenye mvuto na kumsalimia kikakamavu. Tukapiga stori mbili tatu za kuisifia shule yetu na hatimaye akanitaka nivute kiti tukae pale kubadilishana mawazo. Akajitambulisha anaitwa M (ufupisho) na anaishi kanda ya ziwa.
M ni mwanamke mzuri wakuu, fikiria naamka muda huu kuandika kuhusu uzuri wake. Licha ya kuvaa mavazi yenye stara, hiyo haikuwa sababu ya kuficha uzuri wa asili mwanadada huyu. Kwa umri wangu mpaka sasa huyu ni mwanamke mzuri zaidi ukilinganisha na wanawake wote duniani. Licha ya usemi unaosema uzuri upo machoni kwa mtu, lakini ukweli utabaki palepale M ni mzuri kiasi cha kusisimua.
Wengi tumekuwa na fikra kuwa pengine Angelina Jolie na Aishwarya Rai, ndiyo wanawake wazuri duniani lakini hapa hawaingii hata nusu. Hiyo
imesababishwa na umaarufu tu walionao walimbwende hao.
Ni mwanamke mrefu kiasi, maji ya kunde wa kung'aa kama kamwagiwa chocolate, ana mguu, ana kifua, ana macho ya kurembua, nyuma kafungasha,kiuno kimekatika. Mbaya zaidi anajiremba, nilimnusa kajipulizia utuli wa kuvutia sana. Nilijiridhisha huyu mwanamke hana kasoro kwa asilimia 90. 10 naziacha kwa viungo vya ndani.
Mara nyingi nilimtazama kwa macho ya kushangaa hata yeye akagundua. Nikataka kumjua zaidi, ananiambia yeye ana mtoto mmoja aliyemfuata pale, ni mwajiriwa lakini pia ameokoka anampenda Yesu. Baadae stori zake zikawa ni shuhuda mbalimbali za mambo ambayo Yesu amemtendea. Hakika nilivutiwa sana na M kiasi cha kuona nimewahi sana kuoa.
M amekuwa rafiki yangu,hakuna siku anaacha kunijulia hali. Nikimpotezea hulazimika kunipigia simu akilalamika kuwa kimya.
Kwa hiyo najiona kama mtu mwenye cheo. Cheo cha rafiki wa mwanamke mzuri kuliko wote duniani. Mzuri wa sura na yupo karibu na Mungu.
Eti mara kwa maraOooh! Oke oke Mtani.
Basi usiache kuleta updates mara kwa mara. 🤣
Ndiwoo. Sababu watu kama hao wanakuwaga wa kupita tu na usije shangaa siku anakufungia vioo ghafla. Hahahaaa.Eti mara kwa mara
Kwa hiyo unanishauri nini mtani. Nigonge?Ndiwoo. Sababu watu kama hao wanakuwaga wa kupita tu na usije shangaa siku anakufungia vioo ghafla. Hahahaaa.
Uezi amini Mtani. 😂😂