King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Mkuu, Mimi na wewe tunashindwa kuelewana, sababu hiyo 500k tunaiangalia kwa angle tofauti.
Wewe unachukulia as if kapokea 500k, then katoa 30k ndio kawaachia.
Mwanzo uliniuliza kama ninafamilia, na assume, unayo familia. Tuchukulie ni wewe ndio unapokea 500k per month, hivi mpaka ile siku unakuja kuipokea, ni kweli itakuwa Bado ni 500k?
60x4 weeks ya mlo plus 50,000tsh ya umemee na 25,000tsh maji total 300,240 kwa kila. MweziUmekuja pazuri sana mkuu , kitu cha kwanza ni familia ,kama una kipato cha aina yeyote unaweza kuanzisha familia na kuhudumia kwa hicho kidogo au kikubwa unachopata.
Kama akipokea laki 5 kisha unasema sio chote atakuwa nacho means ameenda kulipa madeni? Mimi nachoelewa wanawake ni waelewa ukiwaambia ukweli kuhusu pesa atavumilia kwa muda! Kitendo cha kumuachia elfu 30 na ndiyo maana mkewe kampa sh!t kwasababu anajua anafanya mchezo mchezo!
Maisha ni haya haya ,wenye maDUNGU Jeshi ,wenye Matoyo na wenye TZM Eleven wote tunanunua kwenye maduka na magenge hayo hayo! Ndiyo maana siku za mianda unaona wenye mavogue na sie wauza mkaa tunaenda kushop na bei ni hiyo hiyo! Hapa nataka kusema hata kama umechoka kwa kipato haindoi uhalisia kwamba kipimo cha mkaa kopo moja ni buku jero(1,500/=) ,Nyanya nne Buku(1,000/=) ,Limao 500/= ,Mchele 3,300 , Mharage 4,000/=
Hauwezi kusema kwamba kipato chake ni kidogo hivyo ni sahihi kumuachia elfu 30 as if akienda gengeni/dukani atauziwa kwa bei ya wenye vipato vya chini wakati bei ni hizo hizo hata akija bakhresa au dangote atauziwa mchele kilo 3,300/=
Kiukweli 4,500/= kwa siku kuanzia asubuhi ,mchana na usiku haitoshi, utaigawa vipi itoshe?
Wewe ndiyo uelewi mahitaji muhimu ni yapi? Yaani unataka kusema wale maharage kwa siku 7 mfululizo kisa amenunua? Hawataki kubadili mboga? Unataka watoto/familia ipate vidonda vya tumbo kwa asidi? Mimi nazungumizia issue realistic , najua mshahara sio kwa ajili ya kula kuna other expenses pia mimi concern yangu ni kuacha elfu 30 ni sahihi coz umenunua maharage ndani yaani watu wasibadili mboga kwa week nzima.Mkuu mbona unakuwa mzito kuelewa, baadhi ya mahitaji ya muhimu kashanunua. Na matumizi ya pesa sio kula tu. Lazima na mambo mengine yaende. Ukiendekeza tumbo unawezajikuta unapiga mak tyme tu.
Hio 500k ni kubwa, labda kama ni kwa ajili ya kula tu.
Kuna bills zingine inabidi zilipiwe na pesa hio, kuwa open. Maskini nae ana haki.
Kwani elfu 30 haitoshi kubadili mboga? Au unataka mboga za aina gani. Unajikuna unapoweza kufika. Unataka washindie nyama siku zote?Wewe ndiyo uelewi mahitaji muhimu ni yapi? Yaani unataka kusema wale maharage kwa siku 7 mfululizo kisa amenunua? Hawataki kubadili mboga? Unataka watoto/familia ipate vidonda vya tumbo kwa asidi? Mimi nazungumizia issue realistic , najua mshahara sio kwa ajili ya kula kuna other expenses pia mimi concern yangu ni kuacha elfu 30 ni sahihi coz umenunua maharage ndani yaani watu wasibadili mboga kwa week nzima.
Narudia tena kama lengo ni kubana matumizi anunue unga kila moja na chumvi wawe wanapika uji mwanzo mwenga mpaka kipato kitakapokua.
Kwani elfu 30 haitoshi kubadili mboga? Au unataka mboga za aina gani. Unajikuna unapoweza kufika. Unataka washindie nyama siku zote?
Emu pigia bajeti hio laki tano plus savings. Kwa vile unavoona itakuwa sahihi kama hutoishiwa kuwa mtumwa wa madeni. Kama kipato chako kikubwa. Usilete matumizi yako kwa kipato cha 500k and wewe unaingiza zaidi ya hiko.
Ujue unaposema 4500 asubuhi,mchana na jioni haitoshi nakushangaa. Matumizi makubwa hapo ni mboga, kuhusu asubuhi, jamaa alinunua na ngano, hapo it means vitafunwa anaweza pika vya wiki nzima. Mchele, unga na maharage vyote aliacha kanunua, sioni why unaviongelea kwenye mifano yako. Hiyo 4500 ni Kwa ajili ya mbogaUmekuja pazuri sana mkuu , kitu cha kwanza ni familia ,kama una kipato cha aina yeyote unaweza kuanzisha familia na kuhudumia kwa hicho kidogo au kikubwa unachopata.
Kama akipokea laki 5 kisha unasema sio chote atakuwa nacho means ameenda kulipa madeni? Mimi nachoelewa wanawake ni waelewa ukiwaambia ukweli kuhusu pesa atavumilia kwa muda! Kitendo cha kumuachia elfu 30 na ndiyo maana mkewe kampa sh!t kwasababu anajua anafanya mchezo mchezo!
Maisha ni haya haya ,wenye maDUNGU Jeshi ,wenye vibakuli na wenye "TZ Eleven aka Hamza Kanuni Mwendo wa Ngiri" wote tunanunua kwenye maduka na magenge hayo hayo! Ndiyo maana siku za minada unaona wenye mavogue na sie wauza mkaa tunaenda kushop na bei ni hiyo hiyo! Hapa nataka kusema hata kama umechoka kwa kipato haindoi uhalisia kwamba kipimo cha mkaa kopo moja ni buku jero(1,500/=) ,Nyanya nne Buku(1,000/=) ,Limao 500/= ,Mchele 3,300 , Mharage 4,000/=(Tena hapa wenye vipato vikubwa ndiyo wanatumia hela ndogo kwasababu wananunua vitu kwa ujumla na si reja reja,ananunua vitu vya week so inakuwa cheap).
Hauwezi kusema kwamba kipato chake ni kidogo hivyo ni sahihi kumuachia elfu 30 as if akienda gengeni/dukani atauziwa kwa bei ya wenye vipato vya chini wakati bei ni hizo hizo hata akija bakhresa au dangote atauziwa mchele kilo 3,300/=
Kiukweli 4,500/= kwa siku kuanzia asubuhi ,mchana na usiku haitoshi, utaigawa vipi itoshe? Kama issue ni kubana matumizi ni bora anunue unga kilo moja na chumvi ya mia 5 wawe wanapika uji tu mpaka siku kipato kikiongezeka.
Mkuu nimetoka familia ya kawaida ,siyo ya kula maharage kila siku ila sometimes tunaweza kukosa tukapiga chai na mkate au asubuhi uji.May be sijui umetokea familia gani. Labda ukiwa unakua hujawahi pitia maisha ya maharage kila siku. Na kama ulisoma shule za bweni huenda zilikuwa zenye good meal.
Ila kwa maisha ya mtanzania wa hali ya chini very possible kula maharage kila siku. Sio kwa kupenda
King Kong III
Tatizo lako/lenu mnaochangia kwenye huu Uzi, mnapanga bajet kwa kuangalia matumizi yenu, na sio ya mleta mada. Sasa umeme 50k kwa mwezi, kwani amepanga nyumba nzima? Na hata kama amepanga nyumba nzima, unajua ni vifaa gani alivyo navyo hapo kwake vyenye kutumia huo umeme per month?60x4 weeks ya mlo plus 50,000tsh ya umemee na 25,000tsh maji total 300,240 kwa kila. Mwezi
Tupo pamoja mkuu ,mimi kama nina hela familia wanajibajeti wenyewe ,wanajiachia ila kama sina nawaambia sina kitu hivyo na wao wanajitwist wenyewe.Binafsi kwa matumizi ya nyumbani tu hua sina bajet kabisa kwanini niwapangie bajet watu wangu mwenyewe, kwa faida zangu na maslahi yangu na heshima yangu yoote ipo juu ya wao kuwepo na mimi, kwanza mwanaume unapangaje bajet!!? Huko barabarani tunapo zurula mbona tunahonga sana, kwa bajeti zipi!!? Ambazo hazikuwepo kwenye mpango wowote!!? Na inafika mahala unatoa pesa mwenyewe bila kuombwa iweje nipange bajeti kwa watu wangu wa faida!?
Hizo habari za Kodi hazipo kwenye ajenda ya mleta mada. 30k ilikuwa ni Kwa ajili ya mboga tuBado Kodi 150,000tsh hapo mshahara 500,000tsh
Umebakia na elfu 50 tu lazima uzime unatakiwa uwe na shuga mamy??
Nimemuelewa mwamba, sema nilijaribu kuwaza tofauti.Mwamba alihakikisha kila kitu kipo ndani! namaanisha kila kitu, kodi kalipa, chakula( mafuta, chumvi, unga, mchele, karot, namaanisha vyote)
Sasa unaposema Elf 30 ni kidogo, mnamaanisha nini? na ananunulia nini?? maana kwa haraka haraka hiyo ni kama alimuachia ya PED.
Kwa mwanamke muelewa hakupaswa kulaumu sabab aliachiwa kila kitu, kazi yake ilikuwa kupika na kupakua!
Haya tuwe serious Kwa siku wakibhana .Hizo habari za Kodi hazipo kwenye ajenda ya mleta mada. 30k ilikuwa ni Kwa ajili ya mboga tu
Sawa, nakubaliana na wewe mkuu. Ndio maana kuna sehemu nilisema, jikune unapoweza.Analyse Kwa wenye bajeti zao nauli ya yule dogo ni 31,000tsh Kwa mwezi , 40,000 TSH ya chakula Kwa mwezi halafu , 60,000 TSH kwa wiki mara 4 halafu , umeme 50,000tsh Kwa mwezi , maji 25,000tsh, pampers 70,000tsh x 4 Kwa mwezi na Kodi jumla Sasa TSH 815,000
Bado hujawa serious, nyanya, hoho na viungo vya mboga still haviwezi kucost 5000 per day kwenye familia ya kipato cha chini.Haya tuwe serious Kwa siku wakibhana .
Viungo meaning nyanya , hoho na hayo mazaga ni elfu Tano Kwa siku Moja .
Nyama kg 1 nanusu 15,000tsh
Nauli 3,000tsh
MATUNDA
Elfu Tano
Jumla sh. 30,000tsh Kwa siku
Kwani so kila kitu kipo ndani30k kwa wiki mzee baba?[emoji848]