Huyu mwanamke ni sahihi kuniambia maneno haya?


Mkuu, nakuomba PM mara moja kama hutojali
 
Kama ni kweli ulinunua kila kitu ukamuachia hapakuwa na sababu ya kutoa maneno ya kuumiza kiasi hicho, huyo Mke wako siyo mvumilivu.
 
She's manipulative
Anacheza na akili yako
Uumie,uteseke,Muda wote umuwazie yeye.
 
Mwisho wa yote ndugu mwanamke usimzingatie sana, angalia maisha yako na watoto wako , usimpe mwanamke moyo wako wote, mpe asimilia ndogo sana, au ikibidi usimpe kabisa.
Hii point ifanyiwe Lamination.
Kwa hawa wanawake wa leo na ndoa hiz za siku hiz hili ni jambo la msingi.

NB.
Kwa mtoa mada:
Jitahid kutunza familia kwel vyuma vimebana ila 30k ni ndogo sana kuacha mwanzo mwisho mpaka week iishe...Angalau kwenye mapambano huko baada ya siku 2 hiv unatuma tena like 20k....zikipita tena siku labda 3 tuma 30k tena hivyo yaan.

NB
Nimeshauri kwa experience yetu sie wanaume unga unga mwana pangu pakavu so nyie wa kishua piteni hivi .....

Af mwisho wa siku mwanaume tafuta mwanamke size yako ambaye atakua tayar kuishi na wewe kwa kadir ya uwezo wako hawa wengi wao tuna force tuu
 
Mpwayungu Village hakawii kukuita Mwalimu kwa hiko kipato chako!

Sema mke wako kavuka mipaka.
Mwamba alihakikisha kila kitu kipo ndani! namaanisha kila kitu, kodi kalipa, chakula( mafuta, chumvi, unga, mchele, karot, namaanisha vyote)

Sasa unaposema Elf 30 ni kidogo, mnamaanisha nini? na ananunulia nini?? maana kwa haraka haraka hiyo ni kama alimuachia ya PED.

Kwa mwanamke muelewa hakupaswa kulaumu sabab aliachiwa kila kitu, kazi yake ilikuwa kupika na kupakua!
 
Kumbuka jamaa amesema aliacha kila kitu ndani, na kwa wiki moja nyanya mbona zinadumu?

30 ni pesa kidogo kama unazo na unazishika kila siku, ila kwa namna alivyosema mshahara wa 500k maana yake anapata kama 390 ivi!?

Fedha aliyo nunua kwa ajili ya chakula alicho muachia mke wake ni zaidi ya 150k,

Nauli kwenda Bkb na kurudi nadhani ni kama 70k , kwenda na kurudi 140k,

Bado Matumizi nyumban kwao na mambo mengine!

Huyo mwanamke hana huruma! 30k ingekuwa ndogo kama angekuwa hajaachiwa chakula ndani
 
Mchele, maharage, sukari, unga na mafuta vyote vipo ndani. Unataka aache shilingi ngapi? Unatakiwa uishi kulingana na kipato. Shida ya wanawake baadhi anataka hiyo hiyo hela ya matumizi anunue nguo bado vikoba.
 

Pole Sana Mkuu ,inabidi uzoee tu ,wana majibu ya ajabu sana! Ni hasira tu ,tafuta fedha mkuu uone kama atakuambia tena!!
 
Hiyo hela mbona inatosha? Mchele, maharagwe na unga vipo ndani.
Wewe huwa unaacha shilingi ngapi?
Nazi ,Nyanya ,vitunguu ,Mafuta ,Mboga za majani ,bilinganya ,bamia ,nyanya chungu ,nyama ,utumbo ,samaki navyo vipo ndani? Tangawizi ,vitunguu swaumu ,iriki ,mdalasini ,karafuu,ndizi mbivu na za bukoba ,kuku vyote vipo ndani? Au kila siku unataka ale maharage kama mfungwa?
 
Wanawake wengi wanatabia hyo ya kudharau sana

Mpotezee ila tabua kwasasa hakuna mke anaempenda mumewe,zaidi na zaidi zinapendwa pesa zako

Toa pesa ambayo ipo kwenye uwezo wako,akitaka kuchepuka mwache achepuke tena ikibid mwambie achepuke kabisa
 
Lazima uishi kulingana na kipato. Wengine wanaacha kodi ya meza kwa siku 2k, 3k, 5k, 10k, 15k, 20k, 25k, 50k, 100k, 200k na kuendelea. Nyanya ni shilingi ngapi na vitunguu? Hizo nyama au samaki watakuwa wanakula kila siku?
Wewe unaweza kuacha 20k lkn mwingine akakuambia uwe unaacha 50k kila siku.
 
Acha uongo huu ni mwaka mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…