Huyu Mwanamke tumeshindwana. Aende zake tu mi siwezi kwa kweli

sasa wewe kwenda gesti unataka kuandika jina hutaki aliyetoa wazo la kwenda gesti ndo aandike jina
 
Huyo binti ni shujaa sana, maana aliona unamlengesha tu.
 
Form 4 unakuja kutuharibia JF yetu...!! Tunakuombea ufaulu uendelee na shule.
 
Itoshe kusema Kwamba were pamoja na huyo mpenzi wako bila Shaka hamzidi miaka 25.

Kwa hiyo mmeamua kuupeleka utoto wenu kwenye guest ya watu na kuanza kutgesheana huko.

Kwa maamuzi uliyofanya ya kuondoka na kumuacha mpenzi wako ndani Ni dhahiri kwamba bado hujakomaa kiakili Kama na kuwa mwanaume wa kutegemewa.Katika scenario Kama hii ulitakiwa ujishushe ili uweze kuenjoy penzi la mchumba wako.

Nakushauri uachane na mpango was ndoa kafanye ishu zingine mpaka pale utakapokomaa kiakili ndo uanze kuifikiria ndoa.
 
We mwanaume kweli au Bahati Mbaya. Umepeleke mtoto wa watu then ukose ujasiri wa kuandika jina? Kama huna uwezo huo mtoto wa watu utamtunza kweli?
Nimemwambia akaandikishe jina kagoma kabisa. Basi tumekaa kuanzia saa 12 jioni jana mpaka saa 6 usiku kila mtu anategea mwenzake ndo akaandike jina. Nikaona ujinga. Nikaamka kama naenda kuandikisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…