Huyu Mwanamke tumeshindwana. Aende zake tu mi siwezi kwa kweli

We kijana ni kijana WA hovyo sana Inabidi ucharazwe viboko.
 
Mshukuru Mungu wako
Mshukuru kwa kukosa na umshukuru kwa kupata
 
Kwa kuzingatia muda hyo ni sifa kubwa sana ambayo inakupasa urudishe moyo kwake na umuoe maana kawahi kufika gest kabla yako

Maana wanawake wengi swala la muda huwa ni ngumu kuendana nalo
 
JF unaweza kuja maisha yamekupiga huko siku hiyo umechoka kweli kweli lakini hapa lazima utacheka tu....
Hakika Yaani tena siku hizi vichekesho ndo vingi haswa.
Imagine masaa 6 watu wamenuniana kisa jina dah! [emoji16][emoji16][emoji16]
Kiukweli inashangaza mno yaani mpaka unajiuliza kweli ni masaa haya sita tunayoyajua ama la.
 
Nilivyoona title ya thread nikadhani anayezungumziwa ni mwanamke, kiukweli nimeshangazwa sana kusikia mwanaume anamuomba pesa mwanamke tena pesa nyingi namna hiyo na kumgeuza kama kitega uchumi. Hebu amka achana na hayo mahusiano.
Hii komenti kama imekosea njia
 
Mbona umepoteza MDA kujadili kitu Cha kipuuzi, ulipaswa uende pale ukaandike jina unalotaka.

Akitaka la kwake,
Apewe kalamu aandike analotaka
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mwanamke alishalijua hili mapema ndio maana akagoma ,,,,, jamaa hataki kwenda jahannam πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚haya maisha bhana,,,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ noma
 
Umesoma uzi mwingine, umekuja kukomenti kwenye uzi mwingine...hiyo komenti ni ya uzi wa dad anaeombwa laki na nusu kila wiki na mwanaume wake
Petro Oswald
 
Una umri wa miaka mingapi?
 
fursa hiyo wadada, Wife Material avuke kiunzi cha kuandikisha jina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…