Huyu Mwanamke tumeshindwana. Aende zake tu mi siwezi kwa kweli

Upuuz stor za ktoto mnaleta
 
Khaa! JF ni kiboko.
 
Mwamba una roho ngumu weweeee,akifaulisha show itakuwaje sasa😂🤣
 
Kama upo mkoani andika la ukweli lakini kwenye hizi ghouse andika jina la rafikiyo unayemjua.mimi kuna marafiki najua kabila mpaka namba zao za simu.
 
Nielekeze mkuu walau akaniambukize hata yutiyai Tu........maana huwezi kumuacha kizembe hivo.......ujui alikubali kuja guest house Kwa shida gani..............unazijua nyege wewe........Ila mkuu wewe sio junior kweli?? Maana haya ni matendo ya kina junior wahuni hatufanyagi hivi .....tena wewe junior namba E
 
Gest tunaandikaga majina ya uongo mkuu hsta kama nipo hapo hapo nasema nimetokea mkoa X" yaani msafiri..but linda ID yako likitokea lolote usaidike kirahisi
 
Mbona una jazba mkuu? Mzigo ametoa lakini?
 
Gest tunaandikaga majina ya uongo mkuu hsta kama nipo hapo hapo nasema nimetokea mkoa X" yaani msafiri..but linda ID yako likitokea lolote usaidike kirahisi
Sikuona kama ni sahihi kudanganya. Si jambo jema hata kidogo. Yeye alifanya ujeuri tena kwa pesa yangu... Sasa alipata jeuri yake.
 
Mfano msingeandika jina ni kwamba uchi wake ungekuwa hauingiliki?? Au jogoo wako asingepanda mtungi mpaka kuwa na jina kwenye register ya guest.
 
Mfano msingeandika jina ni kwamba uchi wake ungekuwa hauingiliki?? Au jogoo wako asingepanda mtungi mpaka kuwa na jina kwenye register ya guest.
Hapaswi kuwa mjeuri. Mimi nimemtuma anatakiwa afanye nlichomtuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…