Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
Ndivyo mlivyomsumbua mkiwa wadogo...karmaYupo mzazi huko kijijini amekuwa Na usanii wa kuongea uongo, Mimi Na ndugu zangu wawili tumekuwa tukimpa msaada Kadiri ya uwezo wetu lakini mwisho wa siku Hali yake Ni Bora zaidi ya Jana, ukimnunulia nguo anauza, ukimnunulia vitu vya thamani anauza....nipo mbioni kumkatia Bima ya afya, Kituko Ni kuwa akipiga simu ya Kutoa taarifa kuwa anaumwa Ni Kama anataka kukata roho. Ukimtumia pesa haendi hospitali anafanyia mambo yake......tulipofikia ndugu zangu wamejikata..nimebaki peke yangu..mliwezaje kuwasaidia wazazi wasanii Kama huyu..muongo, muongo, muigizaji...madogo tayari wamekosa Imani nae...anaweza kushinda amelala akisema yupo hoi lakini ukimpa pesa Na kutembea atatembea Na kucheka atacheka..
Hakuishi Na Sisi huyu Sisi tumelelewa Na mama wa kufikia, au wa kamboNdivyo mlivyomsumbua mkiwa wadogo...karma
Mzazi ni Mzazi mchukulie km alivyoanaweza kushinda amelala akisema yupo hoi lakini ukimpa pesa Na kutembea atatembea Na kucheka atacheka..
Hakuna cha kumsumbua utotoniNdivyo mlivyomsumbua mkiwa wadogo...karma
usinene ukamara mwaya huyo ni mzazi wako! Kaza, PAMBANA!Yupo mzazi huko kijijini amekuwa Na usanii wa kuongea uongo, Mimi Na ndugu zangu wawili tumekuwa tukimpa msaada Kadiri ya uwezo wetu lakini mwisho wa siku Hali yake Ni Bora zaidi ya Jana, ukimnunulia nguo anauza, ukimnunulia vitu vya thamani anauza....nipo mbioni kumkatia Bima ya afya, Kituko Ni kuwa akipiga simu ya Kutoa taarifa kuwa anaumwa Ni Kama anataka kukata roho. Ukimtumia pesa haendi hospitali anafanyia mambo yake......tulipofikia ndugu zangu wamejikata..nimebaki peke yangu..mliwezaje kuwasaidia wazazi wasanii Kama huyu..muongo, muongo, muigizaji...madogo tayari wamekosa Imani nae...anaweza kushinda amelala akisema yupo hoi lakini ukimpa pesa Na kutembea atatembea Na kucheka atacheka..
Ana tabia Za hovyo aiseee....Hakuna cha kumsumbua utotoni
Unadhani mtu mpuuzi anapata busara za ghafla uzeeni. Hapana ila ni vile tumekuzwa tukiamini mkubwa hakosei
Mkubwa usimjibishe hata kama anatoa boko
Hii imesaidia wazee wengi kufanya matendo yasiyofaa kwa uhuru zaidi kwa sababu hakuna accountability
Kwa hiyo hakuna la kumshauri mkuu, huo ndio mtihani wake inabidi aubebe tu, ndio tabia ya mzazi wake halisi
Nacheka kama mazuri 😂😂😂Hakuishi Na Sisi huyu Sisi tumelelewa Na mama wa kufikia, au wa kambo
Kuna watu wana mizigo mkuu, yani kuna time mtu anakuhadithia maswahibu anayopitishwa na mzazi wake hadi unajiuliza.Ana tabia Za hovyo aiseee....
E bana Dah..Kuna watu wana mizigo mkuu, yani kuna time mtu anakuhadithia maswahibu anayopitishwa na mzazi wake hadi unajiuliza.
Huyu mzazi hamuhurumii kijana au binti yake?.. Anatumia ubongo huu huu
Imagine ukumbwe na mkasa wa mzazi kupiga bei nyumba ya familia na ndugu zako wapo humo humo. Tena amefanya kinyemela kwa sababu hati hazipo katika jina lake na inabidi watoto wachangishane pesa kwa sababu huyo mzazi hana pesa ya kulipa (alipopeleka pesa haijulikani) na ndugu zao wadogo hawana makazi. Imagine mkuu
Na hapa bado utawasikia watu wakimtetea, ni mzazi hakosei. Kweli mkuu
Wazazi wengine ni mtihani