Huyu mzazi wangu Anakosa msaada Kwa sababu ya usanii wa kipuuzi

Kuna dogo mmoja alimtembezea kipondo baba yake

Dogo kanunua bati zake kadhaa ili ajenge kaghetto kake dingi kazipiga Bei kaenda kula Bata na kichenchede chake๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Huyo ni wakufumua kabisa
 
Kuna dogo mmoja alimtembezea kipondo baba yake

Dogo kanunua bati zake kadhaa ili ajenge kaghetto kake dingi kazipiga Bei kaenda kula Bata na kichenchede chake๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kipondo ni next level ila hivi vitoto vya 2010 tuwe makini ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Hapo ni kumpa 50 kwa week kama inawezekana hasa kama ni mshua auhudimie mama zenu wadogo
 
Shida yake ni pesa sio vitu, uwe unamtumia tu pesa
Kuna ambao hata wakipewa hela hawaridhikagi. Anapewa hela na huyu, analalamika kwa mtoto mwingine kuwa huyo mtoto hajamsaidia.

Kuna mama mmoja kila anachopewa anauza - nguo, chakula, .... Akipewa hela anahamia baa, zinakata chapu.
 
Kuna muda wazazi wanazingua sana, ila ndo wazazi tayari tuwavumilie tu kama wao walivyotuvumilia......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ