Huyu naye alikuwa anawaza nini kumuoa Dida?

thread hii inankumbusha mume wa dada yangu anakaa kwetu kwenye nyumba yetu ya urithi wamepanga wameshindwa wako nyumbani jamani kaka hana sauti yani hadi unamuonea huruma!mi nashindwa kuelewa aliolea nini km hana maisha yani ukifika pale si ndo tuna sauti mana nyumba yetu yani napata picha siku wakitengana km hajaondoka kiedzen edzen afu wanakuwaga malayaaa hawa....!
 
aiseee... wanaume wamebaki wachache sana. naona mpaka kina wolper wameamua nao kugegeda.., hali si nzuri.
 
Huyu dogo mjinga,eti mapenzi yalimfanya akaishi kwa mwanamke,si aseme tu umarioo wake ndo ulimfanya akaishi kwa mwanamke,sasa alikuwa anaspy simu ya mke wake ili iweje sasa?badala ya kuwaza kusaka noti unaspy simu ya mkeo,si ukosa kazi huu,mimi mwanaume wa hivi siwezi kabisa
 

Muha hagusi simu yako?
 
Muha hagusi simu yako?
hahahahaha aache!ila sio kudownload software kwamba kila ninachokifanya kwenye simu anaona,maana kiukweli ukidownload software akili yote itakuwa inawaza kuangalia simu yako kama mkeo kapigiwa,kasms,yaani ni kujiumiza maradufu wakati mwingine unaweza hata usipate kitu.
 
Vijana wa bajaj
Hakikisheni kweny kila nyumba ya star wa kike mnaweka kijiwe!
Anzieni kwa shilole.
Snura
Jide ah huyu hakuna biashara washavuka hii stage!

Hahahaa haaaa uwiii Yaani nimecheka
 

Huyo ndio alikuwa presenter wa kiss FM ezden the rocker kama sikosei
 
Mkuu kuna uzi ulikuwepo tangu asubuhi ukizungumzia hili jambo ...
 
Nafikiri ulimaanisha ndoa ya Ezden na Dida, yaser

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
mkuu, hii ni breaking news, au umeamua ku "recycle" thread?
 
Episode ya mbasha hatimaye imefungwa rasmi na hii ya dida baada ya kuisha ile ya vicky... wacha muvi iendelee
 

Count on me mwakani nielekeze wp pakupeleka posa!
 

Ahaaa, Dida wa John Komba huyo. Unaambiwa Dida analiliwa hakuna mfano, kule Dom bungeni ndiyo usiseme maana wabunge hawaishi kumtaja taja kila kukicha.
 
Kuna sehemu anasema ''Nakiri huo ni udhaifu kwenda kuishi kwa demu ila ni mapenzi yalinikolea'' na sehemu nyingine ''Demu anarudi saa kumi na moja asb yupo tungu namfungulia mlango''Mara mtoto anataka kwenda big brother ila kithungu chakutafuta na tochi?
Kweli hayo ndio mahaba niue.................?
 
Count on me mwakani nielekeze wp pakupeleka posa!

Whaaaaaaaat??? Am I dreaming or? So at last am gonna get my proposal on April fools au hahahahaha? U are so welcome pachachiza.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…