Huyu naye alikuwa anawaza nini kumuoa Dida?

Kwa hiyo familia ya Dida inasubiria mahari ya 4 ,Dida anaifaidisha sana familia yake kupitia mahari zinazolipwa.
 
Ila kama kweli DIDA ndio Mshiriki wetu wa BBA duu! Africa ijiandae kuona madhara ya Mkorogo LIVE , Sipati picha akivua nguo na mwili ulivyokuwa tepetepe ! itabidi aandae na segment ya madhara ya kujichubua rangi lol ! :sorry:
 
ILA mi sijawaelewa wote waliochangia kwa kumsema tu EDZEN wanasahau kwamba kubwa alilolilalamikia ni DIDA kuchepuka tena kwa wanaume tofauti......swali iwe anakaa kwa mwanamke au nini je avumilie tu?we mwanaume utakayesoma hapa je ungevumilia?....jamani mapenzi hayajali umri wala kipato cha yeyote ni kupendana na heshima mimi nilishashuhudia mke ana mali mume hana na wakaishi kwa amani.Ivi mfano iwe DIDA angekuwa amehamia kwa EDZEN sawa,na mfano amepanga kama ilivyo kwa DIDA kodi ikaisha DIDA akiwa kwa ED AKALIPA YEYE kama kusaidiana maisha mngesema
MARIOO? au inatokea hata kama mwanaume nyumba kapanga yeye kodi hana upo kwake ukalipa mwanamke inakuwaje?
jamani! ukweli ni kwamba hata mwanamke akiwa tajiri vipi anahitaji mwanaume! ASIKWAMBIE mtu wanawake wengi wenye pesa na mwanzoni walijidai kukaa huku wakichepuka kwa madai kwamba wana pesa....miaka inavyozidi kwenda wanajuta wanalilia ILE STATUS AS A MARRIAGE WOMAN! SO PLEASE DONT JUDGE EDZEN AS A COWARD MAN!
 

acha nisipate kitu ila nitai spy tu utake/usitake!
 
Chezea mwanamuke ya mujini wewe.... So sad..... Asikate tamaa zaidi ya huyo kuna wanawake wengi tu tena wenye nidhamu wanatamani kuolewa...... Huyo ujana unaendelea......
 
hahahah punguza jazba jombii nimesema vijana kwa ujumla wake including you
simjui e wala nini kwahiyo nazani mpuuzi utakuwa ni wewe halafu mie nakufwatia
 
hahahah punguza jazba jombii nimesema vijana kwa ujumla wake including you
simjui e wala nini kwahiyo nadhani mpuuzi utakuwa ni wewe halafu mie nakufwatia
 
Nimependa andiko lako ndugu yangu.
 
Pole yao ndoa zina siri nyingi....sisi hapa tunaweza kuponda ila ndoa zetu zinaweza kuwa katika hali mbaya zaidi.....
 
Hawa ndio wanafanya wanaume wote tunaonekana wajinga wajinga hapa mjini....

Mwanaume unalilia kwenye kamera, zip up and move on.
 

Hivi wamfahamu Ezdii wewe au waongea tu. Huyu hayuko hivyo jinsi mwavyofikiri na sii Marioo. Acheni twaomjua Uzuri tuongee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…