ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Kwa hiyo familia ya Dida inasubiria mahari ya 4 ,Dida anaifaidisha sana familia yake kupitia mahari zinazolipwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
upo mkurugenzi wangu!...Ukipenda, chongo utaita kengeza.
hahahahaha aache!ila sio kudownload software kwamba kila ninachokifanya kwenye simu anaona,maana kiukweli ukidownload software akili yote itakuwa inawaza kuangalia simu yako kama mkeo kapigiwa,kasms,yaani ni kujiumiza maradufu wakati mwingine unaweza hata usipate kitu.
anayeijua application aliyoutumia ezden msaada basi
ILA mi sijawaelewa wote waliochangia kwa kumsema tu EDZEN wanasahau kwamba kubwa alilolilalamikia ni DIDA kuchepuka tena kwa wanaume tofauti......swali iwe anakaa kwa mwanamke au nini je avumilie tu?we mwanaume utakayesoma hapa je ungevumilia?....jamani mapenzi hayajali umri wala kipato cha yeyote ni kupendana na heshima mimi nilishashuhudia mke ana mali mume hana na wakaishi kwa amani.Ivi mfano iwe DIDA angekuwa amehamia kwa EDZEN sawa,na mfano amepanga kama ilivyo kwa DIDA kodi ikaisha DIDA akiwa kwa ED AKALIPA YEYE kama kusaidiana maisha mngesema
MARIOO? au inatokea hata kama mwanaume nyumba kapanga yeye kodi hana upo kwake ukalipa mwanamke inakuwaje?
jamani! ukweli ni kwamba hata mwanamke akiwa tajiri vipi anahitaji mwanaume! ASIKWAMBIE mtu wanawake wengi wenye pesa na mwanzoni walijidai kukaa huku wakichepuka kwa madai kwamba wana pesa....miaka inavyozidi kwenda wanajuta wanalilia ILE STATUS AS A MARRIAGE WOMAN! SO PLEASE DONT JUDGE EDZEN AS A COWARD MAN!
Nimependa andiko lako ndugu yangu.
Siku hizi nimehamia Bashnet........
mbona hizi picha zilitokaga vibaya hivi?
Huyo ndio alikuwa presenter wa kiss FM ezden the rocker kama sikosei
SmsSpy1 na SmsSpy2 kwa simu zenye Android nenda kwenye Playstore search hiyo kitu iko powa sana
Huyo uliyemuoa wewe unauhakika yupo sahihi kuliko Dida? Kwani tatizo hapo ni nini? Yeye hakuliona hilo tangu awali la kwenda kuishi kwa mwanamke? Kifupi inaonekana malengo yaliyompeleka kwa yule demu hayajatimia na ndio maana akazingua we inakuaje mtoto wakiume ulilie mali za mwanamke? Tutakupakata hapa mjini.