Huyu naye alikuwa anawaza nini kumuoa Dida?

Huyu naye alikuwa anawaza nini kumuoa Dida?

Du itabidi tuanzishe na kitchen party ya wanaume bila haya mwanamme hasa unatoa siri zako za ndani nini maana ya ndoa. Ni kusitiriana mbona hukuyasema wakati mko pamoja ukipigwa picha za mapenzi kuwa mwanamme shujaa twanga talaka kaa kimya kukimbialia media ndio jamii ikuonee huruma
 
Nani zaidi?


_48184525_009666086-1.jpg




_48184770_009628791-1.jpg

Duh...hivi huwa wanatoa mahari kila anapotaka kuolewa tena?
 
Hebu msikilizeni huyu Ezden! Yaani anatia huruma kweli.

Anakiri mwenyewe kuwa Dida alikuwa anamzidi kipato....halafu eti baada ya kufunga ndoa akaenda kuishi nyumbani kwa Dida.

What a dummy!

Mtu kweli na akili zako timamu unaoa mwanamke kama Dida? Really? Seriously?



Msaada wakuu uyu ndo Ezden aliekuwa anatangaza Kiss fm?
 
Last edited by a moderator:
kha! we mwanamke una maneno kweikwei, nimecheka sana ndio maana nilikwambia mimi sina muda na viblog uchwara maana hapa ni full burudani.

jana umeniuliza mchuchu wangu what's happen kabla sijakujibu thread ikafungwa, hata hivyo kesho atakuwa ndani ya nyumba ya jf manshkhofu, alimuwa bize kunikarangizia.

ila maisha sijui kwa nini hayako fair, waowaji serious wanapata tabu sana kukutana na wadada ambo wako committed, na wadada pia hali kadhalika nao wanajikuta wameangukia kwa kina mr tombah tombah.

Hahahaaha cheka tu baba Lara moko. Mapenzi yana run dunia kiukweli. Ukipata kiatu kinachokufit shukuru Mungu tu.
By the way nahisi umenichanganya na Heaven on Earth coz sikukuuliza kuhusu mchuchu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ataolewaaa kama fasheni tu huyo ed wala bado mdogo ajitafutie maisha yakeee huyo dida gume gumeee lililoshindikana
 
Hahahaaha cheka tu baba Lara moko. Mapenzi yana run dunia kiukweli. Ukipata kiatu kinachokufit shukuru Mungu tu.
By the way nahisi umenichanganya na Heaven on Earth coz sikukuuliza kuhusu mchuchu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Teh teh teh kacheka mpaka kachanganyikiwaaa
 
Last edited by a moderator:
hivi unajua ni kwa ini mwanume anaitwa kichwa? ni kwa sababu ni anatakiwa kuwa mmiliki... hivi umekuja kwangu nyumba yangu , kila kitu changu do u think unaweza kuwa nasay pale kwa maana hiyo wewe ni mkia... you have power because you have something

Aaaa aaa hawaelewiiiiiii! Sijui wazazi wa kiume wameacha kufundisha vijana wao?
Hata kama mwanamke ana kwake, ukimuoa anahama kumfuata mume kwake! Hata kama ni gorofa linapangishwa then ile hela inatumika kwa matumizi mengine huko kwa mumewe! Si mwanaume mzima kwachu kwachu na rasket unahamia kwa mwanamke! Ukifumaniwa unarushiwa kibegi chako kwendraaaa
 
Teh teh teh kacheka mpaka kachanganyikiwaaa

Hahaha binamu yake Warumi acha tu Matola acheke. Hapana chezea Dida wewe, anakwambia anajiamini mpaka anajiogopa. Me namuaminia yule jembe langu, soon anavuta baby mpya na anaenda naye kukaa pale pale home kwake. Hanaga stress dida

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
siku hizi kuna wanaume na wakiume, mimi nilikuwa simjui huyo dogo ila nilivyojuwa tu ni yule anyehost kipindi pamoja na jokate kidoti yani hajiongezi tu akili kwamba waliowapanga vile ndio wanamatch?

mtu yoyote mwenye akili ni lazima ajiongeze kwamba anapaswa akiwa na mkewe awe na taswira kama akiwa na kidoti, hivi hawa vijana wana wazazi kweli? au mama zao ndio washiriki wa bibi bomba?
Hahahahaaaaa mama zao ni bibi bombas kwa kweli na baba zao je?
 
Back
Top Bottom