Huyu ndege analindwa sana hapa jijini Mwanza. Kama wewe ni mgeni hapa chukua tahadhari

Huyu ndege analindwa sana hapa jijini Mwanza. Kama wewe ni mgeni hapa chukua tahadhari

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
Ndege mwenyewe ni huyu, usije ukajaribu kum suicide kivyovyote vile.

serikali inamlinda sana.

Most welcome Jijini Mwanza, Jiji Kubwa sana na lenye heshima kubwa Tanzania baada ya Dar es salaam.
IMG_20211226_100711_260.jpg
IMG_20211226_100708_390.jpg

IMG_20211226_100659_237.jpg

IMG_20211226_100639_917.jpg
 
Analindwa Mwanza pekee so nikimkuta Morogoro nimfanya ninachotaka?

Au anapatikana Mwanza pekee? Ili nimuone inabidi nije Mwanza?
Impact ya huyo ndege kulindwa ni pamoja na environmental conservation katika maeneo husika!!

infact uzi umezungumzia Jiji kubwa na jiji pekee kanda ya ziwa...

Huko Morogoro sasa huyu ndege mtu atakula nini pale Msamvu
 
Impact ya huyo ndege kulindwa ni pamoja na environmental conservation katika maeneo husika!!

infact uzi umezungumzia Jiji kubwa na jiji pekee kanda ya ziwa...

Huko Morogoro sasa huyu ndege mtu atakula nini pale msamvu

Bro jiongezage

Kweli una matatizo; yani unamjibu Jamaa Kama kwamba umeandika kitu kinachoeleweka
 
Ndege mwenyewe ni huyu, usije ukajaribu kum suicide kivyovyote vile.

serikali inamlinda sana.

Most welcome Jijini Mwanza, Jiji Kubwa sana na lenye heshima kubwa Tanzania baada ya Dar es salaam.
View attachment 2058054View attachment 2058056View attachment 2058057View attachment 2058058View attachment 2058054View attachment 2058056View attachment 2058057View attachment 2058058
Ama kweli maisha yanabadilika. Hawa ndege miaka ya 1990 kurudi nyuma tulikuwa tunawapiga sana. Sababu ya kuwapiga ulikuwa ukienda kununua samaki mwaloni ukasahau ndoo yako wazi unakuta wameshaibakiza nusu hivyo tuliwafukuza sana japo walikuwa na kiburi pia. Kuna mmoja alikuja nyumbani miaka hiyo akawa anashuka ananyakua vibata vidogo vidogo kisha anavimeza akiwa anapaa angani. Tulimfukuza akawa anapaa juuu kiasi cha kutokumwona na tulipodhani ameenda mara unamwona juu ya mti.
 
Ila ana kidali kikubwa sana, kinafaa kukaangwa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom