Huyu ndege analindwa sana hapa jijini Mwanza. Kama wewe ni mgeni hapa chukua tahadhari

Impact ya huyo ndege kulindwa ni pamoja na environmental conservation katika maeneo husika!!

infact uzi umezungumzia Jiji kubwa na jiji pekee kanda ya ziwa...

Huko Morogoro sasa huyu ndege mtu atakula nini pale msamvu

Bro jiongezage
Kule bwawa la Mindu mbona wapo wengi tuu?
 
Impact ya huyo ndege kulindwa ni pamoja na environmental conservation katika maeneo husika!!

infact uzi umezungumzia Jiji kubwa na jiji pekee kanda ya ziwa...

Huko Morogoro sasa huyu ndege mtu atakula nini pale msamvu

Bro jiongezage
Wapo kahama,na karipo sehemu nyingi zenye machinjio,hata Morogoro na Tabora pia Kusoma .
 
Impact ya huyo ndege kulindwa ni pamoja na environmental conservation katika maeneo husika!!

infact uzi umezungumzia Jiji kubwa na jiji pekee kanda ya ziwa...

Huko Morogoro sasa huyu ndege mtu atakula nini pale msamvu

Bro jiongezage
Haujaandika chochote cha msingi na ulitarajia nisiulize?
 
umewah kufika au umehadithiwa 2 fika ujionee jinsi mwanza palivo pazuri

Cheki eneo hizl picha zimepigwa, takataka zimetupwa hovyo hapo!
Then ujue mwanza nimetoka huko usiku wa kuamkia christmass… maeneo mengi ni machafu!
Mwanza mnapaoverrate sana…btw uzuri wa kitu upo machoni mwa mtu mwenyewe!
 
kwendraaaa zako mkuu huwez pata mahal kama mwz tz nzima
 
Huyo ndege anapenda kula uchafu hasa mizoga, mahali popote ndege hao wanapoonekana kwa wingi basi ujue ni mahali pachafu na kuna mizoga ovyo ovyo.

Mazingira yakiwa masafi hao ndege hutoweka kwa kuhama au kufa kwa njaa.
Ndiyo maana hapa Dar hawapo mazingira ni masafi wata danja na njaa.
 
Kazi ya hao ndege ni kusafisha mazingira,wanasaidia usafi
-wanyama wafanya usafi wengine ni Bata,tai,mamba,Fisi n.k
 
Nmewai kuwakuta kahama, wanaingia Hadi migahawani.

Inasemekana Ni nyara za serikali, hutakiwi kuwabuguzi
 
Back
Top Bottom