Huyu ndege analindwa sana hapa jijini Mwanza. Kama wewe ni mgeni hapa chukua tahadhari

Huyu ndege analindwa sana hapa jijini Mwanza. Kama wewe ni mgeni hapa chukua tahadhari

Hawa ndege ndio huvamia ndege za abiria zikiwa angani ni hatari sana wakivamia maana wanaweza sababisha injini kuwaka moto
Fyi,
hawa ndege hawana uwezo wa kuruka zaidi ya km 1 juu, na hawakai angani hata dakika 5
 
Fyi,
hawa ndege hawana uwezo wa kuruka zaidi ya km 1 juu, na hawakai angani hata dakika 5
True, Marabou stork au kama wanavyopita ndege mwarabu Hana uwezo wa kupaa juu sana na kukaa angani kwa muda mrefu na hawana tabia ya kupaa kwa makundi kiasi ya kusababisha bird strikes kwenye nose au engine ya ndege.

Mostly wanakaa kwenye swamps kwa ajili ya kuwinda samaki na mabaki mbalimbali ya chakula.

Marabou stork wa Kanda ya Ziwa especially wamefungwa trackers kwa sababu ni endagered species, Hawa ndege wapo southern Sahara pekee ndio maana wapo na trackers.
 
Mwanza Yenyewe unaisikia tu Radio Tanzania.

Kwanza hivi sasa hivi kuna Radio Tanzania? Hivi nyie watu wa huko kando ya ziwa ni kwa nini ni washamba kiasi hiki? Kwa taarifa yako hapo Mwanza niliondoka hapo juzi tu, siku moja kabla ya christmass na huwa nakuja huko kila baada ya miezi isiyozidi mitatu, na huwa nazunguka vitongoji vyake kwa wiki zisizopungua nne mpaka tano! Btw usitake nizungumze na kuexpose mambo ambayo hayatakiwi na ambayo nisingependa kuyaweka humu mtandaoni!
Kiufupi Mwanza chafu, ni maeneo machache sana ambayo ni masafi!
Huu mji naupa 4/10 kwenye usafi!
 
Hawa ndege niliwakuta wengi sana Bariadi pale mjini, kwenye zile nyumba zao wanazoezeka mgongo umechongoka juu sana wanaweka senyenge ili kumzuia asitue hapo maana naona wanaharibu sana bati wakiharisha. Ila ni kweli wanashinda sana kwenye majalala wakiokoteza mabaki ya vyakula na uchafu mwingine, kuanzia Dodoma kuja mpak Dar sijabahatika kuwaona kabisa
 
Impact ya huyo ndege kulindwa ni pamoja na environmental conservation katika maeneo husika!!

infact uzi umezungumzia Jiji kubwa na jiji pekee kanda ya ziwa...

Huko Morogoro sasa huyu ndege mtu atakula nini pale Msamvu
hivi ndege hawali kitimoto?
 
Hao ndege ni wafanya usafi wa machinjio yaliyopo kijereshi nyuma ya tanesco station.sema tanesco washitakiwe kwa kusababisha mauaji yao kila siku wakitua vibaya kwenye nyaya zao.
 
Hao ndege ni kama ma-"Bwana/Bibi Afya" ....Health Officers!. Wanachunga usafi kwenye miji mingi ya kanda ya ziwa na magharibi mwa Tanzania. Anzia Mwanza, Shinyanga, Bukombe, Nyakanazi utawakuta wakijivinjari mitaani kama wakaguzi wa usafi. 😂
 
Back
Top Bottom