Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
Impact ya huyo ndege kulindwa ni pamoja na environmental conservation katika maeneo husika!!Analindwa Mwanza pekee so nikimkuta Morogoro nimfanya ninachotaka?
Au anapatikana Mwanza pekee? Ili nimuone inabidi nije Mwanza?
Marabou stork haoNdege mwenyewe ni huyu, usije ukajaribu kum suicide kivyovyote vile.
serikali inamlinda sana.
Most welcome Jijini Mwanza, Jiji Kubwa sana na lenye heshima kubwa Tanzania baada ya Dar es salaam.
View attachment 2058054View attachment 2058056View attachment 2058057View attachment 2058058View attachment 2058054View attachment 2058056View attachment 2058057View attachment 2058058
Endelea kula kiepe mdogoangu nasikia panya rodi wamerudi sijui utaweza kutumia hio manati😂😂Aah nyinyi waoga tu uyo angekua dar watu wanampga manati tunamla vzr tu acheni uwoga wanaume wa mkoani
Impact ya huyo ndege kulindwa ni pamoja na environmental conservation katika maeneo husika!!
infact uzi umezungumzia Jiji kubwa na jiji pekee kanda ya ziwa...
Huko Morogoro sasa huyu ndege mtu atakula nini pale msamvu
Bro jiongezage
Huku kwetu anaitwa bwana Afya kazi kubwa kushinda majalalani kula uchafuNdege mwenyewe ni huyu, usije ukajaribu kum suicide kivyovyote vile.
serikali inamlinda sana.
Most welcome Jijini Mwanza, Jiji Kubwa sana na lenye heshima kubwa Tanzania baada ya Dar es salaam.
View attachment 2058054View attachment 2058056View attachment 2058057View attachment 2058058View attachment 2058054View attachment 2058056View attachment 2058057View attachment 2058058
Ama kweli maisha yanabadilika. Hawa ndege miaka ya 1990 kurudi nyuma tulikuwa tunawapiga sana. Sababu ya kuwapiga ulikuwa ukienda kununua samaki mwaloni ukasahau ndoo yako wazi unakuta wameshaibakiza nusu hivyo tuliwafukuza sana japo walikuwa na kiburi pia. Kuna mmoja alikuja nyumbani miaka hiyo akawa anashuka ananyakua vibata vidogo vidogo kisha anavimeza akiwa anapaa angani. Tulimfukuza akawa anapaa juuu kiasi cha kutokumwona na tulipodhani ameenda mara unamwona juu ya mti.Ndege mwenyewe ni huyu, usije ukajaribu kum suicide kivyovyote vile.
serikali inamlinda sana.
Most welcome Jijini Mwanza, Jiji Kubwa sana na lenye heshima kubwa Tanzania baada ya Dar es salaam.
View attachment 2058054View attachment 2058056View attachment 2058057View attachment 2058058View attachment 2058054View attachment 2058056View attachment 2058057View attachment 2058058
ndege hana hata upaja! Ni mifupa mitupu ulikula nini hapo mkuuDege tamu sana hilo nimewahi kulitafuna View attachment 2058078View attachment 2058079View attachment 2058080View attachment 2058081
nadhani anawaona ni uchafuNaona wengi hawajamwelewa mtoa mada. Mimi nimemwelewa vizuri tu.[emoji3][emoji3]