Kule bwawa la Mindu mbona wapo wengi tuu?Impact ya huyo ndege kulindwa ni pamoja na environmental conservation katika maeneo husika!!
infact uzi umezungumzia Jiji kubwa na jiji pekee kanda ya ziwa...
Huko Morogoro sasa huyu ndege mtu atakula nini pale msamvu
Bro jiongezage
Wapo kahama,na karipo sehemu nyingi zenye machinjio,hata Morogoro na Tabora pia Kusoma .Impact ya huyo ndege kulindwa ni pamoja na environmental conservation katika maeneo husika!!
infact uzi umezungumzia Jiji kubwa na jiji pekee kanda ya ziwa...
Huko Morogoro sasa huyu ndege mtu atakula nini pale msamvu
Bro jiongezage
Ni Nyakato Tanesco substation njia ya kwenda MachinjioniHapo ni Igoma au
duh nimekumbuka hilo jina la ndege mwarabKimila nzoka ni mweupe full, huyu ni ndege John au ndege mwarabu
Karibu sana,rudi nyumbani sasaMaeneo ya nyumbani hayo....hapo kijereshi.....kota tanesco...........
Miaka mingi Sana sijarudi home....
Nawewe siku hizi una sever Hadi ulalamike kuwa zinajazwa?Kosa huyo jamaa wa komment kuweka picha nisingeelewa unazungumzia ndege gani umeweka mapicha kibao hayana hata msingi
Unajaza serva
Haujaandika chochote cha msingi na ulitarajia nisiulize?Impact ya huyo ndege kulindwa ni pamoja na environmental conservation katika maeneo husika!!
infact uzi umezungumzia Jiji kubwa na jiji pekee kanda ya ziwa...
Huko Morogoro sasa huyu ndege mtu atakula nini pale msamvu
Bro jiongezage
umewah kufika au umehadithiwa 2 fika ujionee jinsi mwanza palivo pazuri
kwendraaaa zako mkuu huwez pata mahal kama mwz tz nzimaCheki eneo hizl picha zimepigwa, takataka zimetupwa hovyo hapo!
Then ujue mwanza nimetoka huko usiku wa kuamkia christmass… maeneo mengi ni machafu!
Mwanza mnapaoverrate sana…btw uzuri wa kitu upo machoni mwa mtu mwenyewe!
Dr Mhifadhi upo Mkuu...Ndege John…
Kwa maana marupurupu ya marapurapu ya nyama!Hapo machinjioni Mwanza yanavizia marupurupu yao
NdiyoKwa maana marupurupu ya marapurapu ya nyama!
Ndiyo maana hapa Dar hawapo mazingira ni masafi wata danja na njaa.Huyo ndege anapenda kula uchafu hasa mizoga, mahali popote ndege hao wanapoonekana kwa wingi basi ujue ni mahali pachafu na kuna mizoga ovyo ovyo.
Mazingira yakiwa masafi hao ndege hutoweka kwa kuhama au kufa kwa njaa.
Piga picha ndege kwa karibu acha kupiga uchafu na tope mkuuNdege mwenyewe ni huyu, usije ukajaribu kum suicide kivyovyote vile.
serikali inamlinda sana.
Most welcome Jijini Mwanza, Jiji Kubwa sana na lenye heshima kubwa Tanzania baada ya Dar es salaam.
View attachment 2058054View attachment 2058056View attachment 2058057View attachment 2058058View attachment 2058054View attachment 2058056View attachment 2058057View attachment 2058058
Kazi ya hao ndege ni kusafisha mazingira,wanasaidia usafi
-wanyama wafanya usafi wengine ni Bata,tai,mamba,Fisi n.k