Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
- Thread starter
-
- #81
Fyi,Hawa ndege ndio huvamia ndege za abiria zikiwa angani ni hatari sana wakivamia maana wanaweza sababisha injini kuwaka moto
Mwanza Yenyewe unaisikia tu Radio Tanzania.Na hao hupatikana maeneo machafu! Kiufupi mwanza ni pachafu…
True, Marabou stork au kama wanavyopita ndege mwarabu Hana uwezo wa kupaa juu sana na kukaa angani kwa muda mrefu na hawana tabia ya kupaa kwa makundi kiasi ya kusababisha bird strikes kwenye nose au engine ya ndege.Fyi,
hawa ndege hawana uwezo wa kuruka zaidi ya km 1 juu, na hawakai angani hata dakika 5
Mwanza Yenyewe unaisikia tu Radio Tanzania.
Inshallah Dec 2022Karibu sana,rudi nyumbani sasa
Ona hii mbulugulaMwanza mmeacha kuishi mapangoni?
hivi ndege hawali kitimoto?Impact ya huyo ndege kulindwa ni pamoja na environmental conservation katika maeneo husika!!
infact uzi umezungumzia Jiji kubwa na jiji pekee kanda ya ziwa...
Huko Morogoro sasa huyu ndege mtu atakula nini pale Msamvu