The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
TrashMzalendo msikivu, Mwenye huruma, anaye jali utu wa watu wa hali zote, muungwana kwa maneno na vitendo, mchapakazi makini, mahiri na hodari wa kuhubiri Amani, Umoja, mshikamano na utangamano wa waTanzania.
Ni alama ya demokrasia, uhuru, haki, uwazi, uwajibikaji na usawa nchini. Mwenye maono ya maendeleo ya watu na vitu aliebeba matumaini ya uhakika ya waTanzania.
Hakika Mama Samia Suluhu Hassan ni pendekezo sahihi na la uhakika, kutuvusha salama uchaguzi mkuu 2025.
Neema na Baraka za Mungu zikuandame vema dominika ya leo .
mpaka sasa chini ya comrade Dr.PhD.E.G.H SAMIA SULUHU HASSAN nchi iko salama kiuchumi lakini nchi iko imara zaidi kitaifa na kimataifa inaaminika na taasisi za fedha duniani lakini pia na mataifa ya ulimwengu.Nimejifunza kuwa wakatili na waporaji wengi hujificha kwenye nguo ya uzalendo .
Madeni ya reli nk yatakuja kutubana na kuitumbukiza nchi kwa kiza kinene mno.
Kampuni nyingi zinafilisika ,siku zinacoenda biashara na hela inazidi kupotea kisha tunajenga reli ijilipe vp .
Maintenance yake ni expensive sana ila wanakaza mbele tu kukopa .
Tunakoelekea sio kuzuri , mbona wasiangalie pakistan ,sri lanka walipo sababu ya mikopo ????
CCM bana
hao asali imejaa pomoni na imefura hadi wanakohoa kwa kupaliwa.!ili mzidi kuiba kwa uhuru au sio
usijali,Trash
mzee Ally Kesy alie wahi kua mbunge wa jimbo la nkasi aliwahi kusema kwa kusisitiza sana bungeni,Wengine tunaona HATOGOMBEA!!!
Acha tuupe muda wakati, labda tunazoziona zingine Huwa ni ndoto tu!!
Tanzania yetu bila kujipendekeza hutoboi.
Hili linadhihirishwa na mtoa mada. Tuna safari ndefu kama taifa.
Mzalendo msikivu, Mwenye huruma, anaye jali utu wa watu wa hali zote, muungwana kwa maneno na vitendo, mchapakazi makini, mahiri na hodari wa kuhubiri Amani, Umoja, mshikamano na utangamano wa waTanzania.
Ni alama ya demokrasia, uhuru, haki, uwazi, uwajibikaji na usawa nchini. Mwenye maono ya maendeleo ya watu na vitu aliebeba matumaini ya uhakika ya waTanzania.
Hakika Mama Samia Suluhu Hassan ni pendekezo sahihi na la uhakika, kutuvusha salama uchaguzi mkuu 2025.
Neema na Baraka za Mungu zikuandame vema dominika ya leo .
japo kuna kaubize ka kazi ya kitaifa hapa chamwino ikulu ngoja niseme kidogo,Mlamba asali akishiba asali,endeleeeni kula kwa urefu ila msivimbewe,au kamba imeshakatika.
japo kuna kaubize ka kazi ya kitaifa hapa chamwino ikulu ngoja niseme kidogo,
sure,
ile nchi ya maziwa na asali itatimia bila tashwishwi yeyote kiuchumi, kisiasa, kijamii n.k, ikiwa kwa umoja tutaungana na kwa upendo mkubwa tutahakikisha comrade Dr.PhD.E.G.H SAMIA SULUHU HASSAN anatuvusha 2025 bila kikwazo chochote.....
Mkuu tafuta tobo piga mzigo...ili mzidi kuiba kwa uhuru au sio
nacheka huku naandika na kumskiliza Rais,Lazima ulipambanie hilo mana umeshika buyu la asali,unaogopa akija mwingine asiye kutambua utarudi backbencha.
Endelea kupalilia ugali mana ndio kitu pekee unachoweza.
Narudia tena, hakuna mtu anayejitambua atajitokeza kushiriki hizo chaguzi za kishenzi. Ww endelea na hizi documentary zako, lakini hakuna mtu ana muda mchafu wa kushiriki huo ukhanithi.nashukuru tunaelekea kuaelewana taratibu, taratibu,
pendekezo lako mujarabu mno ni mchakato mpana, muhimu sana unao hitaji, umakini, weledi, muda wa kutosha zaidi kwa majadiliano, unahitaji fedha nguvu kazi na technolojia kuukamilisha kwa uzuri na umahiri zaidi.
nikupe tu taarifa comrade,
ni kwamba jambo hilo muhimu ni kipaumbele cha mwanzo zaidi katika ilani ya ccm ya 2025-2035.
na tutakapo chukua hatamu kwa kishindo pale october 2025, mchakato huo utanaza maramoja na watanzania kupata fursa ya kushirki kikamilifu kuunda katiba yao, kwa muda wa kutosha, uhuru na kwakweli uwazi zaidi, ili kusudi tupate dokumenti inayotuunganisha watanzania wote bila kujali dini, rangi, kabila au mrengo wa kisiasa.
kwahiyo ndugu yangu,
kama utakua na malalamiko mengine kuhusu uchaguzi basi anza kuulalamikia wa 20224-2025, ambao nakuhakikishia hapatakua na chembe ya dosari chini ya comrade Dr.PhD,E.G.H SAMIA SULUHU HASSAN
uko sawa kabisa,Me no Love Politics Me Love Freedom