nashukuru tunaelekea kuaelewana taratibu, taratibu,
pendekezo lako mujarabu mno ni mchakato mpana, muhimu sana unao hitaji, umakini, weledi, muda wa kutosha zaidi kwa majadiliano, unahitaji fedha nguvu kazi na technolojia kuukamilisha kwa uzuri na umahiri zaidi.
nikupe tu taarifa comrade,
ni kwamba jambo hilo muhimu ni kipaumbele cha mwanzo zaidi katika ilani ya ccm ya 2025-2035.
na tutakapo chukua hatamu kwa kishindo pale october 2025, mchakato huo utanaza maramoja na watanzania kupata fursa ya kushirki kikamilifu kuunda katiba yao, kwa muda wa kutosha, uhuru na kwakweli uwazi zaidi, ili kusudi tupate dokumenti inayotuunganisha watanzania wote bila kujali dini, rangi, kabila au mrengo wa kisiasa.
kwahiyo ndugu yangu,
kama utakua na malalamiko mengine kuhusu uchaguzi basi anza kuulalamikia wa 20224-2025, ambao nakuhakikishia hapatakua na chembe ya dosari chini ya comrade Dr.PhD,E.G.H SAMIA SULUHU HASSAN