Huyu ndie wa kutuvusha salama mwaka 2025

Huyu ndie wa kutuvusha salama mwaka 2025

Mzalendo msikivu, Mwenye huruma, anaye jali utu wa watu wa hali zote, muungwana kwa maneno na vitendo, mchapakazi makini, mahiri na hodari wa kuhubiri Amani, Umoja, mshikamano na utangamano wa waTanzania.

Ni alama ya demokrasia, uhuru, haki, uwazi, uwajibikaji na usawa nchini. Mwenye maono ya maendeleo ya watu na vitu aliebeba matumaini ya uhakika ya waTanzania.

Hakika Mama Samia Suluhu Hassan ni pendekezo sahihi na la uhakika, kutuvusha salama uchaguzi mkuu 2025.

Neema na Baraka za Mungu zikuandame vema dominika ya leo .
Trash
 
Nimejifunza kuwa wakatili na waporaji wengi hujificha kwenye nguo ya uzalendo .
Madeni ya reli nk yatakuja kutubana na kuitumbukiza nchi kwa kiza kinene mno.
Kampuni nyingi zinafilisika ,siku zinacoenda biashara na hela inazidi kupotea kisha tunajenga reli ijilipe vp .
Maintenance yake ni expensive sana ila wanakaza mbele tu kukopa .
Tunakoelekea sio kuzuri , mbona wasiangalie pakistan ,sri lanka walipo sababu ya mikopo ????
CCM bana
 
mpaka sasa chini ya comrade Dr.PhD.E.G.H SAMIA SULUHU HASSAN nchi iko salama kiuchumi lakini nchi iko imara zaidi kitaifa na kimataifa inaaminika na taasisi za fedha duniani lakini pia na mataifa ya ulimwengu.

kwenye changamoto mama anaingilia katia anatatua kizalendo zaidi kwa maslahi na mustakabali wa wa uhuru na haki za watanzania wamoja.
 
usijali,
pamoja na yote comrade Dr.PhD.E.G.H SAMIA SULUHU HASSAN hatakuacha mnyonge, muhimu kwake uwe na uhuru wako na upate yako ya huduma muhimu za msingi kama vile ulinzi na usalama wako, maji, afya safi na salama, elimu bora, uhuru wa kuabudu, faragha n.k wewe pamoja na jamaa zako...

Jambo la kuzingatia ni kwamba come 2025 tunakwenda na comrade Dr.PhD.E.G.H SAMIA SULUHU HASSAN
 
Wengine tunaona HATOGOMBEA!!!

Acha tuupe muda wakati, labda tunazoziona zingine Huwa ni ndoto tu!!
 
Wengine tunaona HATOGOMBEA!!!

Acha tuupe muda wakati, labda tunazoziona zingine Huwa ni ndoto tu!!
mzee Ally Kesy alie wahi kua mbunge wa jimbo la nkasi aliwahi kusema kwa kusisitiza sana bungeni,
ilipoibuka minong"ono ya kwamba Raisi wa wakati hangependa kugombea tena mara baada ya mihula yake mi2 kiktiba kuisha. Sasa miongoni mwa waliokua wakipendekeza aongezewe muda hata baada ya mihula yake kwisha ni huyo mzee...

na alisema hivi kwa uchache....
nanukuu.....
"atake asita alazimishwe tu, tutakwenda kubaya baada ya Rais huyu" mwisho wa kunukuu.

Mimi na familia yangu tutamlazimisha mama huyu 2025 atuvushe....
 
Tanzania yetu bila kujipendekeza hutoboi.
Hili linadhihirishwa na mtoa mada. Tuna safari ndefu kama taifa.

Japo niko live hapa muda huu kuna jambo letu tunlikamilisha hapa ikulu chamwino nakushukuru ndugu,
wacha niseme kidogo,

Katika ugumu na urahisi wa safari ya kuvuka 2025 chini ya comrade Dr.PhD.E.G.HSAMIA SULUHU HASSAN makundi yote yamezingatiwa sana,
huna sababu ya kujitenga mbali, uaamuzi huo hauna afya sana lakini ni haki yako inaheshimiwa.
katika safari hii muhimu maoni ya kila moja yanathaminiwa kwa uzito sawa, hata haya maoni yako dhidi yangu, nayaheshimu sana.

Jambo muhimu ni kwamba vijana, wazee, akina mama, vyama vya kiraia, mashirika ya dini, vyama vya wafanyakazi na wakulima, vyama vingi vya kisisa nchini na makundi mengine, pamoja na jumuiya za kimataifa, wanaamini na wanaimani na Comrade Dr.PhD.E.G.H SAMIA SULUHU HASSAN mpaka 2035....
 
Mzalendo msikivu, Mwenye huruma, anaye jali utu wa watu wa hali zote, muungwana kwa maneno na vitendo, mchapakazi makini, mahiri na hodari wa kuhubiri Amani, Umoja, mshikamano na utangamano wa waTanzania.

Ni alama ya demokrasia, uhuru, haki, uwazi, uwajibikaji na usawa nchini. Mwenye maono ya maendeleo ya watu na vitu aliebeba matumaini ya uhakika ya waTanzania.

Hakika Mama Samia Suluhu Hassan ni pendekezo sahihi na la uhakika, kutuvusha salama uchaguzi mkuu 2025.

Neema na Baraka za Mungu zikuandame vema dominika ya leo .

Mlamba asali akishiba asali,endeleeeni kula kwa urefu ila msivimbewe,au kamba imeshakatika.
 
Mlamba asali akishiba asali,endeleeeni kula kwa urefu ila msivimbewe,au kamba imeshakatika.
japo kuna kaubize ka kazi ya kitaifa hapa chamwino ikulu ngoja niseme kidogo,

sure,
ile nchi ya maziwa na asali itatimia bila tashwishwi yeyote kiuchumi, kisiasa, kijamii n.k, ikiwa kwa umoja tutaungana na kwa upendo mkubwa tutahakikisha comrade Dr.PhD.E.G.H SAMIA SULUHU HASSAN anatuvusha 2025 bila kikwazo chochote.....
 
Lazima ulipambanie hilo mana umeshika buyu la asali,unaogopa akija mwingine asiye kutambua utarudi backbencha.

Endelea kupalilia ugali mana ndio kitu pekee unachoweza.
 
Lazima ulipambanie hilo mana umeshika buyu la asali,unaogopa akija mwingine asiye kutambua utarudi backbencha.

Endelea kupalilia ugali mana ndio kitu pekee unachoweza.
nacheka huku naandika na kumskiliza Rais,
japo sio muhimu lakini nazingatia na kuheshimu mtazamo na mawazo yako yasio sahihi dhidi yangu..

nafurahi mama comrade Dr.PhD.E.G.H SAMIA SULUHU HASSAN hachoki wala hana dalili za kuhitaji kupumzika kuwaletea waTanzania hali bora za maji, afya, elimu n.k

mimi ni nani hata nikate tamaa au kuvunjika moyo kupamabana kwa hoja na wenye maoni tofauti na yangu?
pale ninapokua dhaifu ndipo nilipo na nguvu....

nakuombea Baraka na Neema za Mungu katika siku ya leo...

namskiza Rais saivi natakurudia baadae kidogo kamanda pamoja sana shukran......
 
nashukuru tunaelekea kuaelewana taratibu, taratibu,
pendekezo lako mujarabu mno ni mchakato mpana, muhimu sana unao hitaji, umakini, weledi, muda wa kutosha zaidi kwa majadiliano, unahitaji fedha nguvu kazi na technolojia kuukamilisha kwa uzuri na umahiri zaidi.

nikupe tu taarifa comrade,
ni kwamba jambo hilo muhimu ni kipaumbele cha mwanzo zaidi katika ilani ya ccm ya 2025-2035.
na tutakapo chukua hatamu kwa kishindo pale october 2025, mchakato huo utanaza maramoja na watanzania kupata fursa ya kushirki kikamilifu kuunda katiba yao, kwa muda wa kutosha, uhuru na kwakweli uwazi zaidi, ili kusudi tupate dokumenti inayotuunganisha watanzania wote bila kujali dini, rangi, kabila au mrengo wa kisiasa.

kwahiyo ndugu yangu,
kama utakua na malalamiko mengine kuhusu uchaguzi basi anza kuulalamikia wa 20224-2025, ambao nakuhakikishia hapatakua na chembe ya dosari chini ya comrade Dr.PhD,E.G.H SAMIA SULUHU HASSAN
Narudia tena, hakuna mtu anayejitambua atajitokeza kushiriki hizo chaguzi za kishenzi. Ww endelea na hizi documentary zako, lakini hakuna mtu ana muda mchafu wa kushiriki huo ukhanithi.
 
Me no Love Politics Me Love Freedom
uko sawa kabisa,
uko very short and clear.
Mama Comrade Dr.PhD.E.G.H ametoa hotuba moja nzuri sana muda mfupi ulopita, yaani ni short and clear kama maoni yako kamanda.

anyway,
maoni yako ni mujarabu sana, kamanda amini nakwambia, haya yatayawekwa kimaandishi kwenye katiba mpya ambayo mchakato wake utaanza mara moja baada ya uchauguzi mkuu2025.

umewakilisha kundi kubwa la wahitaji wa hiyo kitu....
utakuwa free pakubwa nawe utawajibika kiasi tu na mambo yatakwenda vyema....

lets us all assemble behind comrade Dr.PhD.E.G.H SAMIA SULUHU HASSAN come2025 na yote yatakua sawa....
 
Back
Top Bottom