Huyu ndio mmiliki halisi wa Lake Oil

acha kupotosha umma, huezi kusema kampuni inamilikiwa ivo kisa eti baada ya uraisi kampuni ilianzishwa, huo ni upumbavu

unapotakiwa kuthibitisha unatakiwa uwe kama mtu ameenda shule mfano una data za usajili wa hio kampuni ama kuna taarifa za malipo ya siri zilifanyika kwenda kwa huyo mtu apo ndo unakua unatoa data kama msomi, izo porojo za ilianza baada ya uraisi ni upumbavu wa hali ya juu
 
ndio, ata mtaani mtu akiiba hua anachomwa moto kiti cha kawaida sana hicho ila kwa kua mnajikuta mnapenda fujo sana mambo ni kwa malipo, mkimaliza kuzika njooni tena december 9
 
Na huyo mwingine lake oil akiyeibuka 2006 vipi?
ukiwa na ushahidi unaleta apa unajadiliwa, mfano kama una miamala ya siri ilifanyika ama una hati ya usajili yenye jina la riziwan si unaleta apa watu wanaona, izo porojo za vijiwen ndo znawaponza
 
ndio, ata mtaani mtu akiiba hua anachomwa moto kiti cha kawaida sana hicho ila kwa kua mnajikuta mnapenda fujo sana mambo ni kwa malipo, mkimaliza kuzika njooni tena december 9
Basi subiri mfugaji wako Samia, ambaye ndiye mwizi, tena jambazi atakapochomwa moto karibuni.

Samia siyo mwizi tu, bali ni mwovu muuaji wa waTanzania
 
Hii ndo comment ya Mwenye akili na think tank wa wachoma sheli na Mali za watu.? Kama ni hivyo kazi wanayo hao vijana nadhani wakirudia tarh 9 December usijifiche uvunguni kakae mstari wa mbele ukibeba kidumu cha petrol
Haya yote unayasema hapa ukiamini hiyo mitutu ya bunduki itaendelea kuwalinda nyinyi mashetani; bila ya hivyo usingekuja hapa na kupotezea watu muda wao wa kutafuta ukombozi wa nchi yao toka kwa mashetani.
 
Ni ujinga kuharibu mali za mtu mwingine. Tunaweza kufikisha ujumbe bila kuharibu mali za watu.
Wangapi wamejaribu kufikisha ujumbe kwa kuongea tuu na wala sio maandamano wakaishia kutekwa, kuuliwa au kupewa kesi? acha upumbavu
 
Haya yote unayasema hapa ukiamini hiyo mitutu ya bunduki itaendelea kuwalinda nyinyi mashetani; bila ya hivyo usingekuja hapa na kupotezea watu muda wao wa kutafuta ukombozi wa nchi yao toka kwa mashetani.
Ingekuwa nchi ya mashetani usingekuwa unapumua muda huu! Sikwenda shule kusomea ujinga najua kutofautisha Kati ya maandamano na vurugu! Na Kwa bahati nzuri nimeishi nchi kadhaaa hapa Africa najua mnakotaka mtupeleke, tutakataa Kwa nguvu zote cha ajabu mnaopump huu ujinga hamtokei siku ya tukio mnaacha wasiojitambua wapambane na mkono wa dola , ili mpate mileage!
 
Tangu tetesi zilipoanza nyakati za mzee J.K, bora angetoa tamko la kukana. Leo anavuna mavuno magumu ya tetesi hizo.
huyo sio mwanasiasa hatakiwi kujifunga upande wowote, lakini poa inaonyesha jinsi gan waandamanaji walivo nyumbu, hawakuhakiki chochote nia yao no uharibifu tu ama kama kitu cha uongo
 
Basi subiri mfugaji wako Samia, ambaye ndiye mwizi, tena jambazi atakapochomwa moto karibuni.

Samia siyo mwizi tu, bali ni mwovu muuaji wa waTanzania
karibu sana uwanjan
 
Haya yote unayasema hapa ukiamini hiyo mitutu ya bunduki itaendelea kuwalinda nyinyi mashetani; bila ya hivyo usingekuja hapa na kupotezea watu muda wao wa kutafuta ukombozi wa nchi yao toka kwa mashetani.
mashetani si uliyaona yaliokua yanachoma vitu?
 
Hivi kweli nawe unajihesabu kuwa umesoma na kuelimika, hadi kuja hapa kuandika upuuzi kama huu? Hiyo ni elimu ya wapi ambayo haikuweza kukupa uwezo wa kujuwa hali ilivyo mbaya nchini chini ya Samia?
Kwa kuwa tu umejiweka kuwa nguruwe mfugwaji kwa kupewa makombo ndio sasa unafikiri hiyo elimu imekufikisha pazuri?

Hivi watu wapuuzi mnaibuka hapa JF kila mara tokea wapi, au ni wale wale, akina Tlaatlaah mnarudi na majina mapya?

Hovyo kabisa.

Halafu unajisifu umeishi nchi zingine, na bado hukufaidika kujuwa hali mbovu iliyopo nyumbani kwenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…