Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,524
- 42,677
Angeuliza na Dr SlaaHao pengine wana nafuu! Wewe una hali gani ndugu?

Dogo ...Dr Slaa hanijui na hatonijua! I just stand on truth...btw ...Mzee anaendeleaje? He is good person, I pray for his quick recovery [emoji120]Angeuliza na Dr Slaa
Kwani mkuu mi nimesema anakujua?Dogo ...Dr Slaa hanijui na hatonijua! I just stand on truth...btw ...Mzee anaendeleaje? He is good person, I pray for his quick recovery [emoji120]
Umesahau usomali
Mkuu na hili?Nafikiri kuchanganya watu tofauti wa asili tofauti kunaifanya nchi iende vizuri kuliko kukaa na watu wa aina moja
Angalia nchi zote zilizoendelea maendeleo yao yameletwa na wahamiaji ni FACT
Angalia UK leo Waziri wa Mambo ya ndani asili yake Mhindi
Waziri wa Fedha - Mhindi
Mayor wa London- Mpakistan
Sasa imagine IGP wenu awe asili ya Ethiopia
Yaani kila siku mtalumu na kutoa povu
Kinana alikuwa Waziri wa Ulinzi
Haijalishi ana asili ya wapi ila amelitumikia Taifa kwa Uzalendo haswa
Ubaguzi na kujifanya tunaweza peke yetu ndio maana umasikini hauishi kwa sababu hatutaki kukaribisha asili zingine serikalini
Lazima tuwe na akili tofauti tofauti na damu tofauti
Au mnasemaje wadau
Hapo nyuma kidogo nchi iliendeshwa na kabila moja aisee tumeona madhara yake.Nafikiri kuchanganya watu tofauti wa asili tofauti kunaifanya nchi iende vizuri kuliko kukaa na watu wa aina moja
Angalia nchi zote zilizoendelea maendeleo yao yameletwa na wahamiaji ni FACT
Angalia UK leo Waziri wa Mambo ya ndani asili yake Mhindi
Waziri wa Fedha - Mhindi
Mayor wa London- Mpakistan
Sasa imagine IGP wenu awe asili ya Ethiopia
Yaani kila siku mtalumu na kutoa povu
Kinana alikuwa Waziri wa Ulinzi
Haijalishi ana asili ya wapi ila amelitumikia Taifa kwa Uzalendo haswa
Ubaguzi na kujifanya tunaweza peke yetu ndio maana umasikini hauishi kwa sababu hatutaki kukaribisha asili zingine serikalini
Lazima tuwe na akili tofauti tofauti na damu tofauti
Au mnasemaje wadau
Kinana ni kada wa chama magufuli alikuwa maamuzi aliyehubiri ujamaa huku akiwanunulilia.mahawara zake kina Kamara nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa. Akapewa uraisi akajifutua kama mwana majununi wa Africa. Mwizi yule aliyonunua maghorofa 2 ya NIC pale dodoma kwa lako 6 kila moja na kumjengea kajala KEBS pale bamagaKinana alizaliwa mwaka 1952 mkoani Arusha. Ni mwanasiasa aliyeshika nyadhifa mbalimbali serikalini, zikiwemo; Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Naibu Waziri wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Mbunge wa Jimbo la Arusha kwa kipindi cha miaka 10 na Spika wa Bunge la Afrika mashariki mwaka 2001 mpaka mwaka 2006. Pia, alishawahi kuwa Mbunge wa jimbo la Arusha kwa muda wa miaka 10.
Kinana alihitimu shahada yake katika Chuo Kikuu cha Havard nchini Marekani. Pia aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki mwaka 2001 mpaka mwaka 2006.
Kinana aliwahi kutumikia Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa muda wa miaka 20 na hatimaye kustaafu kwa cheo cha ukanali.
Kinana aliteuliwa kushika ya Ukatibu Mkuu wa CCM mwaka 2012 kuchukua nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Wilson Mukama.
Ni kiongozi ambaye aliyeleta uhai wa CCM. Kipindi chake cha uongozi cha miaka sita kiliwafanya wana-CCM watembee kifua mbele, wakati kabla ya hapo waliona hata aibu kuvaa sare za CCM mitaani. Kinana alipambana na viongozi wa Serikali wasiotimiza wajibu wao.
Kinana alifanya kazi kubwa ya kuzunguka mikoani kuangalia utekelezaji wa miradi ya Serikali, hakuwa na simile kwa watendaji wa Serikali walioonekana kukwamisha miradi ya maendeleo. Mfano, akiwa ziarani kwenye mikoa ya Ruvuma, Njombe na Mbeya, waliwataja wazi wazi mawaziri wane wa Serikali ya Awamu ya Nne kuwa wameshindwakutekeleza Ilani ya CCM.
Ziara za Kinana ziliinua uhai wa CCM nchi nzima na kuongeza kasi ya utekelezaji wa ilani na kutatua kero za wananchi kwenye maeneo yao, kiasi cha kuongeza imani ya wananchi kwa chama hicho tofauti na ilivyokuwa awali.
Utendaji kazi wa Kinana akiwa Katibu Mkuu wa CCM uliwavutia baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani nchini na kuamua ‘’Kuunga mkono juhudi’’ kwa kuhamia CCM kwa lengo la kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya tano za kuwaletea maendeleo wananchi.
Hivyo, Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM kumpendekeza jina Kinana kuteuliwa kupigiwa kura za kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara ni jambo sahihi hivyo wana CCM na Wananchi kwa ujumla watarajie kilicho bora kutoka CCM katika nafasi aliyopendekezwa kwani Kinana ni mchapakazi, mweledi, mzalendo na anarekodi ya ufanisi katika mikakati ya kisiasa na uongozi wenye matokeo chanya ambayo yalionekana katika awamu zote serikali kuanzia Serikali ya Awamu ya Nne mpaka Awamu ya Tano.
Na;
Dkt. B.G. MATIKO
31/03/2022
Mkuu na hili?
![]()
Sumaye: Kinana anapiga dili za meno ya Tembo
Jana kwa mara nyingine waziri Mkuu mstafu Ndg. F. Sumaye alimlipua katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi A. Kinana na kusema katibu mkuu huyo kwa muda mrefu amekuwa akijihusisha na uuzaji wa meno ya tembo (pembe za ndovu)... "Soma gazeti hapa chini" Ilimbukwe kuwa mwaka jana kituo cha utangazaji...www.jamiiforums.com
Hapo nyuma kidogo nchi iliendeshwa na kabila moja aisee tumeona madhara yake.
PICHA LA KUTISHA KUDADEKI [emoji23][emoji23]The return of LegendariesView attachment 2170904
Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
Kinana alizaliwa mwaka 1952 mkoani Arusha. Ni mwanasiasa aliyeshika nyadhifa mbalimbali serikalini, zikiwemo; Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Naibu Waziri wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Mbunge wa Jimbo la Arusha kwa kipindi cha miaka 10 na Spika wa Bunge la Afrika mashariki mwaka 2001 mpaka mwaka 2006. Pia, alishawahi kuwa Mbunge wa jimbo la Arusha kwa muda wa miaka 10.
Kinana alihitimu shahada yake katika Chuo Kikuu cha Havard nchini Marekani. Pia aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki mwaka 2001 mpaka mwaka 2006.
Kinana aliwahi kutumikia Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa muda wa miaka 20 na hatimaye kustaafu kwa cheo cha ukanali.
Kinana aliteuliwa kushika ya Ukatibu Mkuu wa CCM mwaka 2012 kuchukua nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Wilson Mukama.
Ni kiongozi ambaye aliyeleta uhai wa CCM. Kipindi chake cha uongozi cha miaka sita kiliwafanya wana-CCM watembee kifua mbele, wakati kabla ya hapo waliona hata aibu kuvaa sare za CCM mitaani. Kinana alipambana na viongozi wa Serikali wasiotimiza wajibu wao.
Kinana alifanya kazi kubwa ya kuzunguka mikoani kuangalia utekelezaji wa miradi ya Serikali, hakuwa na simile kwa watendaji wa Serikali walioonekana kukwamisha miradi ya maendeleo. Mfano, akiwa ziarani kwenye mikoa ya Ruvuma, Njombe na Mbeya, waliwataja wazi wazi mawaziri wane wa Serikali ya Awamu ya Nne kuwa wameshindwakutekeleza Ilani ya CCM.
Ziara za Kinana ziliinua uhai wa CCM nchi nzima na kuongeza kasi ya utekelezaji wa ilani na kutatua kero za wananchi kwenye maeneo yao, kiasi cha kuongeza imani ya wananchi kwa chama hicho tofauti na ilivyokuwa awali.
Utendaji kazi wa Kinana akiwa Katibu Mkuu wa CCM uliwavutia baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani nchini na kuamua ‘’Kuunga mkono juhudi’’ kwa kuhamia CCM kwa lengo la kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya tano za kuwaletea maendeleo wananchi.
Hivyo, Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM kumpendekeza jina Kinana kuteuliwa kupigiwa kura za kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara ni jambo sahihi hivyo wana CCM na Wananchi kwa ujumla watarajie kilicho bora kutoka CCM katika nafasi aliyopendekezwa kwani Kinana ni mchapakazi, mweledi, mzalendo na anarekodi ya ufanisi katika mikakati ya kisiasa na uongozi wenye matokeo chanya ambayo yalionekana katika awamu zote serikali kuanzia Serikali ya Awamu ya Nne mpaka Awamu ya Tano.
Na;
Dkt. B.G. MATIKO
31/03/2022
Yaan huwa mnaandika upuuzi mtupu.Kinana ana weledi upi huyo msomsli?Zaid ya ufisadi wa kutorosha pembe za ndovu tu?Yaan umejaza page unaandika utumbo tupu.Tunataka katiba mpya.Hawa wote wazee na vitoto vyao wanateuliwa kwa kuwa hakuna katiba mpya.Utumbo tupu.Kinana alizaliwa mwaka 1952 mkoani Arusha. Ni mwanasiasa aliyeshika nyadhifa mbalimbali serikalini, zikiwemo; Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Naibu Waziri wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Mbunge wa Jimbo la Arusha kwa kipindi cha miaka 10 na Spika wa Bunge la Afrika mashariki mwaka 2001 mpaka mwaka 2006. Pia, alishawahi kuwa Mbunge wa jimbo la Arusha kwa muda wa miaka 10.