Nnangale
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 2,661
- 1,386
Bwana Yule alifanya nini?Afadhali kina membe na kinana kuliko bwsna yule
Bwana Yule alifanya nini?Afadhali kina membe na kinana kuliko bwsna yule
mahakama si zipo? Kubenea kapeleka malalamiko mahakamani, wewe unangoja nini?Unataka kuniambia kuwa hakuhusika kwenye uuzwaji wa mitambo ya kuchapisha magazeti ya mzalendo?tuhuma za kuhusika kwenye uwindaji kharamu?
kama yeye ahusiki kwenye hizo tuhuma, je wahusika ni akina nani, na kwanini ahusishwe yeye?
NIMESEMA WADHFA HUUkinana hajatumika ? CCM kutafuta kiongozi ambaye hajatumika ni sawa na kutafuta bikra wodi ya wazazi