Huyu ndiye Abdulrahman Kinana, nguli wa siasa nchini

Huyu ndiye Abdulrahman Kinana, nguli wa siasa nchini

Yaan huwa mnaandika upuuzi mtupu.Kinana ana weledi upi huyo msomsli?Zaid ya ufisadi wa kutorosha pembe za ndovu tu?Yaan umejaza page unaandika utumbo tupu.Tunataka katiba mpya.Hawa wote wazee na vitoto vyao wanateuliwa kwa kuwa hakuna katiba mpya.Utumbo tupu.
Unauliza weredi wa mtu aliyepewa Wizara ya ulinzi mara 2? Huna akili wewe
 
Nafikiri kuchanganya watu tofauti wa asili tofauti kunaifanya nchi iende vizuri kuliko kukaa na watu wa aina moja

Angalia nchi zote zilizoendelea maendeleo yao yameletwa na wahamiaji ni FACT
Angalia UK leo Waziri wa Mambo ya ndani asili yake Mhindi
Waziri wa Fedha - Mhindi
Mayor wa London- Mpakistan
Sasa imagine IGP wenu awe asili ya Ethiopia
Yaani kila siku mtalumu na kutoa povu

Kinana alikuwa Waziri wa Ulinzi
Haijalishi ana asili ya wapi ila amelitumikia Taifa kwa Uzalendo haswa
Ubaguzi na kujifanya tunaweza peke yetu ndio maana umasikini hauishi kwa sababu hatutaki kukaribisha asili zingine serikalini

Lazima tuwe na akili tofauti tofauti na damu tofauti
Au mnasemaje wadau
Awapi... Waacha mwenye kisu azidi kufaidi nyama
 
PIA ALISHAWAHI KUWA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI.
 
Kinana ni kada wa chama magufuli alikuwa maamuzi aliyehubiri ujamaa huku akiwanunulilia.mahawara zake kina Kamara nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa. Akapewa uraisi akajifutua kama mwana majununi wa Africa. Mwizi yule aliyonunua maghorofa 2 ya NIC pale dodoma kwa lako 6 kila moja na kumjengea kajala KEBS pale bamaga
Kwa lako 6 kila moja ina maana gani?
 
Cha kushangaza, mtu unakwenda kucheza na kichwa kama hicho, hivi hujipendi au huuelewi uongozi? Unacheza na mtu ambae wanajeshi wote walikuwa wanamheshimu, si tu kwa kuwa Waziri wa ulinzi, bali kwa kulijuwa jeshi kama mwanajeshi.

Duniani kweli kuna watu hulewa madaraka, na bwana yule madaraka yalimlevya kweli kweli.

Hakika kazi ya Mungu haina makosa.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ya Musiba nayajuwa, ya Ally Hapi hebu nipasheni.
Happy aliwaambia wazee wastaafu wakae kimya wamemaliza mda wao,akimaanisha kina Membe,kinana,mzee makamba, Mwinyi, Kikwete,nk.
Leo ye ndo atakaa kimya.
Hata hapo alipo kabebwa tu na dini, ilitakiwa amfate Chalamila.
Uzuri wa google utunza ushahidi.
 
Happy aliwaambia wazee wastaafu wakae kimya wamemaliza mda wao,akimaanisha kina Membe,kinana,mzee makamba, Mwinyi, Kikwete,nk.
Leo ye ndo atakaa kimya.
Hata hapo alipo kabebwa tu na dini, ilitakiwa amfate Chalamila.
Uzuri wa google utunza ushahidi.
Saa hizi anajiharia futari huko alipo. Mponye mponye basi tumbo la mashuzi halikwepi.


Sema hao wazee wote ni waelewa sana na uongpozi upo kwenye damu zao, wanamuona kijana bwege tu.

Wakitaka kumshughulikia ni dakika mbili tu, kama vile Sabaya yuko wapi, Musiba yuko wapi, analialia hovyo. Pole pole yuko wapi? tena bahati yake katolewa nje ya Tanzania ajifikiriekwa usalama wake.

Natazama picha la kolomije litaishia wapi, kwanza watu wanahakikisha anafilisika tartiiiiib, mpaka atie adabu arudishe vyote alivyoiba.
 
Wenye CCM tulikaa pembeni, kimyaa. Tulifahamu ngoma ya kitoto haikeshi.

Tulikuwa tunawatazama tu wanaojifagua wajifarague.

Bashiru yuko wapi? Eeh, nilikuwa sipendi jinsi anavyotamba kijinga yule mtu. Natamani nimuone sasa yukoje.
 
Wenye CCM tulikaa pembeni, kimyaa. Tulifahamu ngoma ya kitoto haikeshi.

Tulikuwa tunawatazama tu wanaojifagua wajifarague.

Bashiru yuko wapi? Eeh, nilikuwa sipendi jinsi anavyotamba kijinga yule mtu. Natamani nimuone sasa yukoje.
Watoto wa mjini mnacheza kimya kimya timing moja tu chali. Msirudie kosa tena kuwapa mpira bushmen.
 
Hadi sasa team bushstar wamechezea tatu bila dhidi ya wajanja wa mjini, wamepigwa katafunua, Hakuna tena cha sukuma gang wala team magufuli wote out.Kazi imeisha hiyo, wale asante magufuli wote kule bungeni wote mwisho wao 2025.
 
CCM tuna imani nae, ila yale mambo yake ya kashfa ya uwindaji tembo zifutike, wananchi hawapendi kusikia kiongozi unayemwamini, anasikika au kusemakana ana winda tembo. Hii inachafua sana Chama na hata imani yetu kwake inatoweka.
Nini kinachokufanya uamini kwamba hatoingia tena kwenye kashfa za wizi kama ilivyokuwa awali?
 
Labda kama ndio FDR WETU ajaye atakuwa anakubalika Sana Hadi jeshini!!ana CV kubwa Sana inambeba huyu jamaa hasa kuwa waziri wa ulinzi najeshini kwa miaka 20 pia naibu waziri wa uhusiano wa kimataifa!!!Labda ndio huyu atakuwa Mwenyekiti wa CHAMA hivi KARIBUNI na katiba mpya atatupatia huyu jamaa!!!KAULI YAKE YA CHAMA NDIO KINAIELEKEZA SERIKALI NA SIO SERIKALI INAELEKEZA CHAMA!!
 
Back
Top Bottom