Huyu ndiye Abdulrahman Kinana, nguli wa siasa nchini

Angeuliza na Dr Slaa
Dogo ...Dr Slaa hanijui na hatonijua! I just stand on truth...btw ...Mzee anaendeleaje? He is good person, I pray for his quick recovery [emoji120]
 
Dogo ...Dr Slaa hanijui na hatonijua! I just stand on truth...btw ...Mzee anaendeleaje? He is good person, I pray for his quick recovery [emoji120]
Kwani mkuu mi nimesema anakujua?

Mzee wangu yupo poa anaendelea na kilimo chake huko TUKUYU
 
Hawa jamaa ubinafsi wao unaliangamiza Taifa.

Wanapenda sana kuwa na mamlaka.

Yaani bila kuwa na vyeo hawaoni kama wanaishi.

Wanatamani kila saa kuitwa majina ya heshima na kuogopeka.

Hawajui tu ila wanatengeneza power vaccum one they expire.
 
Umesahau usomali

Nafikiri kuchanganya watu tofauti wa asili tofauti kunaifanya nchi iende vizuri kuliko kukaa na watu wa aina moja

Angalia nchi zote zilizoendelea maendeleo yao yameletwa na wahamiaji ni FACT
Angalia UK leo Waziri wa Mambo ya ndani asili yake Mhindi
Waziri wa Fedha - Mhindi
Mayor wa London- Mpakistan
Sasa imagine IGP wenu awe asili ya Ethiopia
Yaani kila siku mtalumu na kutoa povu

Kinana alikuwa Waziri wa Ulinzi
Haijalishi ana asili ya wapi ila amelitumikia Taifa kwa Uzalendo haswa
Ubaguzi na kujifanya tunaweza peke yetu ndio maana umasikini hauishi kwa sababu hatutaki kukaribisha asili zingine serikalini

Lazima tuwe na akili tofauti tofauti na damu tofauti
Au mnasemaje wadau
 
Mkuu na hili?
 
Hapo nyuma kidogo nchi iliendeshwa na kabila moja aisee tumeona madhara yake.
 
Kinana ni kada wa chama magufuli alikuwa maamuzi aliyehubiri ujamaa huku akiwanunulilia.mahawara zake kina Kamara nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa. Akapewa uraisi akajifutua kama mwana majununi wa Africa. Mwizi yule aliyonunua maghorofa 2 ya NIC pale dodoma kwa lako 6 kila moja na kumjengea kajala KEBS pale bamaga
 

Kwa hiyo umeamini 64% ya Tembo kawauwa yeye
Ila biashara hiyo ilikuwa ya wazungu na wengine wakaiga na wengi wameifanya

Mpaka leo bado wanakufa tu
 
Kinana karudi,Membe karudi,inabidi tuwe watazamaji.
Makamba junior karudi,Nape amerudi ndio siasa.
 
Hapo nyuma kidogo nchi iliendeshwa na kabila moja aisee tumeona madhara yake.

Na lisijirudie tena
Kweli watu waliumia yaani una njaa halafu unatukanwa
Umepewa kazi unatimuliwa kama mbwa bila kujali kuna watoto wanaangalia na kumtegemea

Yaani kuna binadamu unasema waliletwa kuwa mfano halafu wakondoka
Sasa tumejifunza
 
Hakuna cha mwanasiasa nguli hapo,, ni ulafi tu mazombi haya.

Kuna vijana wangapi ndani ya hili li chama chakavu mpaka umrudishe kinana. Watu wa mwambao sijawahi kuwaelewa. Naomba nisije kuwaelewa Hadi kufa!

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 

Yaan huwa mnaandika upuuzi mtupu.Kinana ana weledi upi huyo msomsli?Zaid ya ufisadi wa kutorosha pembe za ndovu tu?Yaan umejaza page unaandika utumbo tupu.Tunataka katiba mpya.Hawa wote wazee na vitoto vyao wanateuliwa kwa kuwa hakuna katiba mpya.Utumbo tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…