Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Unauliza weredi wa mtu aliyepewa Wizara ya ulinzi mara 2? Huna akili weweYaan huwa mnaandika upuuzi mtupu.Kinana ana weledi upi huyo msomsli?Zaid ya ufisadi wa kutorosha pembe za ndovu tu?Yaan umejaza page unaandika utumbo tupu.Tunataka katiba mpya.Hawa wote wazee na vitoto vyao wanateuliwa kwa kuwa hakuna katiba mpya.Utumbo tupu.
Naona timu kikwete ndani, huu ni ushahidi mwingine kwamba Chifu Hangaya alikuwa hakubaliani na Sera za mwendazakeChama kimerudi kwa wenyewe, Membe ndani. Huu ndo mwaka wa mwisho wa legacy ya mwendazake na sukuma gang ndo washasaulika hivyo.
Chief ni team born town dhid ya team bushmen.Naona timu kikwete ndani, huu ni ushahidi mwingine kwamba Chifu Hangaya alikuwa hakubaliani na Sera za mwendazake
Awapi... Waacha mwenye kisu azidi kufaidi nyamaNafikiri kuchanganya watu tofauti wa asili tofauti kunaifanya nchi iende vizuri kuliko kukaa na watu wa aina moja
Angalia nchi zote zilizoendelea maendeleo yao yameletwa na wahamiaji ni FACT
Angalia UK leo Waziri wa Mambo ya ndani asili yake Mhindi
Waziri wa Fedha - Mhindi
Mayor wa London- Mpakistan
Sasa imagine IGP wenu awe asili ya Ethiopia
Yaani kila siku mtalumu na kutoa povu
Kinana alikuwa Waziri wa Ulinzi
Haijalishi ana asili ya wapi ila amelitumikia Taifa kwa Uzalendo haswa
Ubaguzi na kujifanya tunaweza peke yetu ndio maana umasikini hauishi kwa sababu hatutaki kukaribisha asili zingine serikalini
Lazima tuwe na akili tofauti tofauti na damu tofauti
Au mnasemaje wadau
Awapi... Waacha mwenye kisu azidi kufaidi nyama
Tembo na twigaWameiba nini?
Kwa lako 6 kila moja ina maana gani?Kinana ni kada wa chama magufuli alikuwa maamuzi aliyehubiri ujamaa huku akiwanunulilia.mahawara zake kina Kamara nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa. Akapewa uraisi akajifutua kama mwana majununi wa Africa. Mwizi yule aliyonunua maghorofa 2 ya NIC pale dodoma kwa lako 6 kila moja na kumjengea kajala KEBS pale bamaga
Pedi zinawasha hukoSijui Musiba, Ally Hapi Wana hali gani huko walipo.
Alikukosakosa nini?Au mwindaji hatari na nusu
Ya Musiba nayajuwa, ya Ally Hapi hebu nipasheni.Sijui Musiba, Ally Hapi Wana hali gani huko walipo.
Happy aliwaambia wazee wastaafu wakae kimya wamemaliza mda wao,akimaanisha kina Membe,kinana,mzee makamba, Mwinyi, Kikwete,nk.Ya Musiba nayajuwa, ya Ally Hapi hebu nipasheni.
Saa hizi anajiharia futari huko alipo. Mponye mponye basi tumbo la mashuzi halikwepi.Happy aliwaambia wazee wastaafu wakae kimya wamemaliza mda wao,akimaanisha kina Membe,kinana,mzee makamba, Mwinyi, Kikwete,nk.
Leo ye ndo atakaa kimya.
Hata hapo alipo kabebwa tu na dini, ilitakiwa amfate Chalamila.
Uzuri wa google utunza ushahidi.
Watoto wa mjini mnacheza kimya kimya timing moja tu chali. Msirudie kosa tena kuwapa mpira bushmen.Wenye CCM tulikaa pembeni, kimyaa. Tulifahamu ngoma ya kitoto haikeshi.
Tulikuwa tunawatazama tu wanaojifagua wajifarague.
Bashiru yuko wapi? Eeh, nilikuwa sipendi jinsi anavyotamba kijinga yule mtu. Natamani nimuone sasa yukoje.
Mbona wengi tu wapo..hii inatokana na asili yao....Ni msomali full stop
Nini kinachokufanya uamini kwamba hatoingia tena kwenye kashfa za wizi kama ilivyokuwa awali?CCM tuna imani nae, ila yale mambo yake ya kashfa ya uwindaji tembo zifutike, wananchi hawapendi kusikia kiongozi unayemwamini, anasikika au kusemakana ana winda tembo. Hii inachafua sana Chama na hata imani yetu kwake inatoweka.