Baaada ya Lowasa kuwa amepoteza uchaguzi wa mwaka 2015, na hatimaye tena Mungu kumchukua JPM (RIP) mwaka 2021, ndiyo mimi nimekuja kubaini kuwa possibly Membe ndiyo alitakiwa awe Rais 2015. Kama niko sahihi, Membe anaweza kufuata baada ya mama kumaliza vipindi vyake!Chama kimerudi kwa wenyewe, Membe ndani. Huu ndo mwaka wa mwisho wa legacy ya mwendazake na sukuma gang ndo washasaulika hivyo.
2030 Membe si atakuwa mzeeBaaada ya Lowasa kuwa amepoteza uchaguzi wa mwaka 2015, na hatimaye tena Mungu kumchukua JPM (RIP) mwaka 2021, ndiyo mimi nimekuja kubaini kuwa possibly Membe ndiyo alitakiwa awe Rais 2015. Kama niko sahihi, Membe anaweza kufuata baada ya mama kumaliza vipindi vyake!
Kuna mambo mengi sana yamefanyika kipindi cha JPM, ambayo kwa uwazi kabisa JPM alikuwa anadanganywa na kuyakubali kwa sababu hakuwa na uelewa wa mzuri sana juu yake lakini nyuma yake yalikuwa yakiambatana na hujuma za wazi kabisa juu ya utawala wake. Kwa upande wa Membe, mambo kama hayo hayo aliyokuwa akizungukwa JPM, asingeweza kudanganywa nayo kwa sababu yeye ana uelewa mpana zaidi juu yake
Unadhalilisha PHD Kwa mapambio yasiosaidia kutoka kwenye wimbi la umaskini kama Nchi.Kinana alizaliwa mwaka 1952 mkoani Arusha. Ni mwanasiasa aliyeshika nyadhifa mbalimbali serikalini, zikiwemo; Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Naibu Waziri wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Mbunge wa Jimbo la Arusha kwa kipindi cha miaka 10 na Spika wa Bunge la Afrika mashariki mwaka 2001 mpaka mwaka 2006. Pia, alishawahi kuwa Mbunge wa jimbo la Arusha kwa muda wa miaka 10.
Kinana alihitimu shahada yake katika Chuo Kikuu cha Havard nchini Marekani. Pia aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki mwaka 2001 mpaka mwaka 2006.
Kinana aliwahi kutumikia Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa muda wa miaka 20 na hatimaye kustaafu kwa cheo cha ukanali.
Kinana aliteuliwa kushika ya Ukatibu Mkuu wa CCM mwaka 2012 kuchukua nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Wilson Mukama.
Ni kiongozi ambaye aliyeleta uhai wa CCM. Kipindi chake cha uongozi cha miaka sita kiliwafanya wana-CCM watembee kifua mbele, wakati kabla ya hapo waliona hata aibu kuvaa sare za CCM mitaani. Kinana alipambana na viongozi wa Serikali wasiotimiza wajibu wao.
Kinana alifanya kazi kubwa ya kuzunguka mikoani kuangalia utekelezaji wa miradi ya Serikali, hakuwa na simile kwa watendaji wa Serikali walioonekana kukwamisha miradi ya maendeleo. Mfano, akiwa ziarani kwenye mikoa ya Ruvuma, Njombe na Mbeya, waliwataja wazi wazi mawaziri wane wa Serikali ya Awamu ya Nne kuwa wameshindwakutekeleza Ilani ya CCM.
Ziara za Kinana ziliinua uhai wa CCM nchi nzima na kuongeza kasi ya utekelezaji wa ilani na kutatua kero za wananchi kwenye maeneo yao, kiasi cha kuongeza imani ya wananchi kwa chama hicho tofauti na ilivyokuwa awali.
Utendaji kazi wa Kinana akiwa Katibu Mkuu wa CCM uliwavutia baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani nchini na kuamua ‘’Kuunga mkono juhudi’’ kwa kuhamia CCM kwa lengo la kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya tano za kuwaletea maendeleo wananchi.
Hivyo, Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM kumpendekeza jina Kinana kuteuliwa kupigiwa kura za kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara ni jambo sahihi hivyo wana CCM na Wananchi kwa ujumla watarajie kilicho bora kutoka CCM katika nafasi aliyopendekezwa kwani Kinana ni mchapakazi, mweledi, mzalendo na anarekodi ya ufanisi katika mikakati ya kisiasa na uongozi wenye matokeo chanya ambayo yalionekana katika awamu zote serikali kuanzia Serikali ya Awamu ya Nne mpaka Awamu ya Tano.
Na;
Dkt. B.G. MATIKO
31/03/2022
Kinana alizaliwa mwaka 1952 mkoani Arusha. Ni mwanasiasa aliyeshika nyadhifa mbalimbali serikalini, zikiwemo; Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Naibu Waziri wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Mbunge wa Jimbo la Arusha kwa kipindi cha miaka 10 na Spika wa Bunge la Afrika mashariki mwaka 2001 mpaka mwaka 2006. Pia, alishawahi kuwa Mbunge wa jimbo la Arusha kwa muda wa miaka 10.

Nipo mahali napata "KINANA" baridiii.......Kinana alizaliwa mwaka 1952 mkoani Arusha. Ni mwanasiasa aliyeshika nyadhifa mbalimbali serikalini, zikiwemo; Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Naibu Waziri wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Mbunge wa Jimbo la Arusha kwa kipindi cha miaka 10 na Spika wa Bunge la Afrika mashariki mwaka 2001 mpaka mwaka 2006. Pia, alishawahi kuwa Mbunge wa jimbo la Arusha kwa muda wa miaka 10.
Kinana alihitimu shahada yake katika Chuo Kikuu cha Havard nchini Marekani. Pia aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki mwaka 2001 mpaka mwaka 2006.
Kinana aliwahi kutumikia Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa muda wa miaka 20 na hatimaye kustaafu kwa cheo cha ukanali.
Kinana aliteuliwa kushika ya Ukatibu Mkuu wa CCM mwaka 2012 kuchukua nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Wilson Mukama.
Ni kiongozi ambaye aliyeleta uhai wa CCM. Kipindi chake cha uongozi cha miaka sita kiliwafanya wana-CCM watembee kifua mbele, wakati kabla ya hapo waliona hata aibu kuvaa sare za CCM mitaani. Kinana alipambana na viongozi wa Serikali wasiotimiza wajibu wao.
Kinana alifanya kazi kubwa ya kuzunguka mikoani kuangalia utekelezaji wa miradi ya Serikali, hakuwa na simile kwa watendaji wa Serikali walioonekana kukwamisha miradi ya maendeleo. Mfano, akiwa ziarani kwenye mikoa ya Ruvuma, Njombe na Mbeya, waliwataja wazi wazi mawaziri wane wa Serikali ya Awamu ya Nne kuwa wameshindwakutekeleza Ilani ya CCM.
Ziara za Kinana ziliinua uhai wa CCM nchi nzima na kuongeza kasi ya utekelezaji wa ilani na kutatua kero za wananchi kwenye maeneo yao, kiasi cha kuongeza imani ya wananchi kwa chama hicho tofauti na ilivyokuwa awali.
Utendaji kazi wa Kinana akiwa Katibu Mkuu wa CCM uliwavutia baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani nchini na kuamua ‘’Kuunga mkono juhudi’’ kwa kuhamia CCM kwa lengo la kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya tano za kuwaletea maendeleo wananchi.
Hivyo, Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM kumpendekeza jina Kinana kuteuliwa kupigiwa kura za kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara ni jambo sahihi hivyo wana CCM na Wananchi kwa ujumla watarajie kilicho bora kutoka CCM katika nafasi aliyopendekezwa kwani Kinana ni mchapakazi, mweledi, mzalendo na anarekodi ya ufanisi katika mikakati ya kisiasa na uongozi wenye matokeo chanya ambayo yalionekana katika awamu zote serikali kuanzia Serikali ya Awamu ya Nne mpaka Awamu ya Tano.
Na;
Dkt. B.G. MATIKO
31/03/2022
Hakuna wizi wowote ni kupakaziana tu. Siasa maji taka.Nini kinachokufanya uamini kwamba hatoingia tena kwenye kashfa za wizi kama ilivyokuwa awali?
SawaKinana alizaliwa mwaka 1952 mkoani Arusha. Ni mwanasiasa aliyeshika nyadhifa mbalimbali serikalini, zikiwemo; Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Naibu Waziri wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Mbunge wa Jimbo la Arusha kwa kipindi cha miaka 10 na Spika wa Bunge la Afrika mashariki mwaka 2001 mpaka mwaka 2006. Pia, alishawahi kuwa Mbunge wa jimbo la Arusha kwa muda wa miaka 10.
Kinana alihitimu shahada yake katika Chuo Kikuu cha Havard nchini Marekani. Pia aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki mwaka 2001 mpaka mwaka 2006.
Kinana aliwahi kutumikia Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa muda wa miaka 20 na hatimaye kustaafu kwa cheo cha ukanali.
Kinana aliteuliwa kushika ya Ukatibu Mkuu wa CCM mwaka 2012 kuchukua nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Wilson Mukama.
Ni kiongozi ambaye aliyeleta uhai wa CCM. Kipindi chake cha uongozi cha miaka sita kiliwafanya wana-CCM watembee kifua mbele, wakati kabla ya hapo waliona hata aibu kuvaa sare za CCM mitaani. Kinana alipambana na viongozi wa Serikali wasiotimiza wajibu wao.
Kinana alifanya kazi kubwa ya kuzunguka mikoani kuangalia utekelezaji wa miradi ya Serikali, hakuwa na simile kwa watendaji wa Serikali walioonekana kukwamisha miradi ya maendeleo. Mfano, akiwa ziarani kwenye mikoa ya Ruvuma, Njombe na Mbeya, waliwataja wazi wazi mawaziri wane wa Serikali ya Awamu ya Nne kuwa wameshindwakutekeleza Ilani ya CCM.
Ziara za Kinana ziliinua uhai wa CCM nchi nzima na kuongeza kasi ya utekelezaji wa ilani na kutatua kero za wananchi kwenye maeneo yao, kiasi cha kuongeza imani ya wananchi kwa chama hicho tofauti na ilivyokuwa awali.
Utendaji kazi wa Kinana akiwa Katibu Mkuu wa CCM uliwavutia baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani nchini na kuamua ‘’Kuunga mkono juhudi’’ kwa kuhamia CCM kwa lengo la kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya tano za kuwaletea maendeleo wananchi.
Hivyo, Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM kumpendekeza jina Kinana kuteuliwa kupigiwa kura za kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara ni jambo sahihi hivyo wana CCM na Wananchi kwa ujumla watarajie kilicho bora kutoka CCM katika nafasi aliyopendekezwa kwani Kinana ni mchapakazi, mweledi, mzalendo na anarekodi ya ufanisi katika mikakati ya kisiasa na uongozi wenye matokeo chanya ambayo yalionekana katika awamu zote serikali kuanzia Serikali ya Awamu ya Nne mpaka Awamu ya Tano.
Na;
Dkt. B.G. MATIKO
31/03/2022
😀😀😀😀Lakini bado ni Msomali, kajaribu kwenda kugombea Uongozi Somalia halafu urudi hapa!
Daaaah 😂😂😂😂Anaanza kubeba twiga wetu tena yani uko kaburini meko analia sana Leo hamini anachokiona makonda naye hamini anachokiona haaa haaa
kinana hajatumika ? CCM kutafuta kiongozi ambaye hajatumika ni sawa na kutafuta bikra wodi ya wazaziAnafaa Sana na anauzoefu na kazi mzee wetu mangula apumzike tu ametutumikia Sana katika wadhfa huu tunamshukuru kwakweli.
Acha ubaguzi kijana.Lakini bado ni Msomali, kajaribu kwenda kugombea Uongozi Somalia halafu urudi hapa!
Acha ubaguzi kijana.
Ukibagua ndio utabaguliwa so acha ubaguzi kijana.Usipokuwa mbaguzi, utabaguliwa sasa chaguo ni lako!
Ukibagua ndio utabaguliwa so acha ubaguzi kijana.
Unataka kuniambia kuwa hakuhusika kwenye uuzwaji wa mitambo ya kuchapisha magazeti ya mzalendo?tuhuma za kuhusika kwenye uwindaji kharamu?Hakuna wizi wowote ni kupakaziana tu. Siasa maji taka.
Kinana alizaliwa mwaka 1952 mkoani Arusha. Ni mwanasiasa aliyeshika nyadhifa mbalimbali serikalini, zikiwemo; Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Naibu Waziri wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Mbunge wa Jimbo la Arusha kwa kipindi cha miaka 10 na Spika wa Bunge la Afrika mashariki mwaka 2001 mpaka mwaka 2006. Pia, alishawahi kuwa Mbunge wa jimbo la Arusha kwa muda wa miaka 10.
Kinana alihitimu shahada yake katika Chuo Kikuu cha Havard nchini Marekani. Pia aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki mwaka 2001 mpaka mwaka 2006.
Kinana aliwahi kutumikia Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa muda wa miaka 20 na hatimaye kustaafu kwa cheo cha ukanali.
Kinana aliteuliwa kushika ya Ukatibu Mkuu wa CCM mwaka 2012 kuchukua nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Wilson Mukama.
Ni kiongozi ambaye aliyeleta uhai wa CCM. Kipindi chake cha uongozi cha miaka sita kiliwafanya wana-CCM watembee kifua mbele, wakati kabla ya hapo waliona hata aibu kuvaa sare za CCM mitaani. Kinana alipambana na viongozi wa Serikali wasiotimiza wajibu wao.
Kinana alifanya kazi kubwa ya kuzunguka mikoani kuangalia utekelezaji wa miradi ya Serikali, hakuwa na simile kwa watendaji wa Serikali walioonekana kukwamisha miradi ya maendeleo. Mfano, akiwa ziarani kwenye mikoa ya Ruvuma, Njombe na Mbeya, waliwataja wazi wazi mawaziri wane wa Serikali ya Awamu ya Nne kuwa wameshindwakutekeleza Ilani ya CCM.
Ziara za Kinana ziliinua uhai wa CCM nchi nzima na kuongeza kasi ya utekelezaji wa ilani na kutatua kero za wananchi kwenye maeneo yao, kiasi cha kuongeza imani ya wananchi kwa chama hicho tofauti na ilivyokuwa awali.
Utendaji kazi wa Kinana akiwa Katibu Mkuu wa CCM uliwavutia baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani nchini na kuamua ‘’Kuunga mkono juhudi’’ kwa kuhamia CCM kwa lengo la kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya tano za kuwaletea maendeleo wananchi.
Hivyo, Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM kumpendekeza jina Kinana kuteuliwa kupigiwa kura za kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara ni jambo sahihi hivyo wana CCM na Wananchi kwa ujumla watarajie kilicho bora kutoka CCM katika nafasi aliyopendekezwa kwani Kinana ni mchapakazi, mweledi, mzalendo na anarekodi ya ufanisi katika mikakati ya kisiasa na uongozi wenye matokeo chanya ambayo yalionekana katika awamu zote serikali kuanzia Serikali ya Awamu ya Nne mpaka Awamu ya Tano.
Na;
Dkt. B.G. MATIKO
31/03/2022
Mbona tembo hukuwazungumzia?Kinana alizaliwa mwaka 1952 mkoani Arusha. Ni mwanasiasa aliyeshika nyadhifa mbalimbali serikalini, zikiwemo; Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Naibu Waziri wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Mbunge wa Jimbo la Arusha kwa kipindi cha miaka 10 na Spika wa Bunge la Afrika mashariki mwaka 2001 mpaka mwaka 2006. Pia, alishawahi kuwa Mbunge wa jimbo la Arusha kwa muda wa miaka 10.
Kinana alihitimu shahada yake katika Chuo Kikuu cha Havard nchini Marekani. Pia aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki mwaka 2001 mpaka mwaka 2006.
Kinana aliwahi kutumikia Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa muda wa miaka 20 na hatimaye kustaafu kwa cheo cha ukanali.
Kinana aliteuliwa kushika ya Ukatibu Mkuu wa CCM mwaka 2012 kuchukua nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Wilson Mukama.
Ni kiongozi ambaye aliyeleta uhai wa CCM. Kipindi chake cha uongozi cha miaka sita kiliwafanya wana-CCM watembee kifua mbele, wakati kabla ya hapo waliona hata aibu kuvaa sare za CCM mitaani. Kinana alipambana na viongozi wa Serikali wasiotimiza wajibu wao.
Kinana alifanya kazi kubwa ya kuzunguka mikoani kuangalia utekelezaji wa miradi ya Serikali, hakuwa na simile kwa watendaji wa Serikali walioonekana kukwamisha miradi ya maendeleo. Mfano, akiwa ziarani kwenye mikoa ya Ruvuma, Njombe na Mbeya, waliwataja wazi wazi mawaziri wane wa Serikali ya Awamu ya Nne kuwa wameshindwakutekeleza Ilani ya CCM.
Ziara za Kinana ziliinua uhai wa CCM nchi nzima na kuongeza kasi ya utekelezaji wa ilani na kutatua kero za wananchi kwenye maeneo yao, kiasi cha kuongeza imani ya wananchi kwa chama hicho tofauti na ilivyokuwa awali.
Utendaji kazi wa Kinana akiwa Katibu Mkuu wa CCM uliwavutia baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani nchini na kuamua ‘’Kuunga mkono juhudi’’ kwa kuhamia CCM kwa lengo la kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya tano za kuwaletea maendeleo wananchi.
Hivyo, Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM kumpendekeza jina Kinana kuteuliwa kupigiwa kura za kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara ni jambo sahihi hivyo wana CCM na Wananchi kwa ujumla watarajie kilicho bora kutoka CCM katika nafasi aliyopendekezwa kwani Kinana ni mchapakazi, mweledi, mzalendo na anarekodi ya ufanisi katika mikakati ya kisiasa na uongozi wenye matokeo chanya ambayo yalionekana katika awamu zote serikali kuanzia Serikali ya Awamu ya Nne mpaka Awamu ya Tano.
Na;
Dkt. B.G. MATIKO
31/03/2022
Sio kweli,hebu angalia Waisraeli walivyokuwa wakibaguliwa kule Ujerumani.Anayebaguliwa siku zote ni inferior !