Huyu ndiye daktari aliyejichoma sindano ya UKIMWI ili kuthibitisha kuwa UKIMWI ni uongo!

Status
Not open for further replies.
Hizi mbwembwe za UKIMWI haupo ni tamu sana kama huu ugonjwa haujagusa mtu wako wa karibu ila siku ukifika karibu yako ndio akili inakaa sawa acha kabisa narudi acha kabisaaa.
mkuu haupo kwel mi nlijuaga kitambo ndo mana sijisumbui hata kupima
 
Naomba majibu ya hiki,

* nimeona mahala wanasema HIV ni virus asiyeweza sababisha AIDS, na kwamba si kweli HIV inaleta umauti na kwamba HIV virus ni kama aina nyingine ya virus zinazo muattack binadamu na hudhibitiwa na kinga ya mwili au kwa kutibu ugonjwa husika uliojitokeza

*imeonekana pia ARV (dawa) ndizo hupelekea mtu kupata AIDS kwakuwa baada ya vipimo tu mtu ushauriwa kuanza kuzitumia dawa hizo na ivyo kuwa kama adiction ambaozo husababisha;-
Mkuumwa inni
kuumwa figo
ugonjwa wa moyo na n.k

Lakini pia kwamujibu wa maelezo husika nikajifumza kuwa Kukonda kwa mtu na kukooa ama kuharisha kama dalili za hiv/aids si kweli bali ni TB

sasa

Kwa uzoefu wangu niliwai kuwa na mgonjwa aliyegundulika kuwa na HIV, kabla ya kupimwa alianza tumbo linamuuuma, kama miezi miwili hivi then ikawa kuharisha na tumbo then ikawa kukohoa na kukonda sana, alipo pimwa wakasema ana HIV na kinga ya mwili imeshuka kwa Maana sasa ana AIDS. Na akaanza ARV.

Alibadirika akaongezeka mwili, akapona kukohoa, tumbo likaacha lakini akawa anatatizo la upungufu wa damu mara nyingi kwa ufupi afya kama ili imarika!!!

Swali,
Je kwa maelezo hayo hapo juu Mgonjwa huyu hakupaswa kutumia ARV bali alipaswa kutumia dawa za tumbo na TB na kula matunda chakula (mlokamili) na kupumzika tu???

Je inamaana mgonjwa huyu akupaswa kupima kipimo hiko cha HIV ili asidhurike ki saikolojia kuwa ana ukimwi???


Mwisho

Mgonjwa wangu alisha fariki na alikufa ghafla usingizini kwa seres ya kubadilika rangi na kuwa wa njano ikimaanishwa alipata homa ya manjano miaka miwili baada ya kutumia ARV
 

Dawa hizi zinaitwa PEP(Post/Pre exposure prophylaxis ),mojawapo ya dawa hizi ni truvada.Fahamu kwamba mkuu wa Centre for infectious disease control(CDC) mshenzi Antonio Faucci anataka dawa hizi ziwe zinatumika kila siku watu wanapotaka kujamiiana.Kuna jambo hapa muhimu,lakini refu kidogo ngoja nilipotezee.
Wanatudanganya kwamba ukimeza dawa hizi ndani ya masaa 72 zinakukinga dhidi ya maambukizi ya HIV.Mkuu hapa tunarudi kwenye concept ileile ya kuwapa mama wenye mimba ARVs ili kuzuia watoto wao wasipate maambukizi.Wanajua kwamba mtu anaweza kufanya ngono bila kinga na mtu mwenye HIV zaidi ya mara 200 na asipimwe HIV+,hizi wanatumia mwanya huu kurubuni akili zetu ili ukimeza dawa hizo halafu ukipimwa HIV- ushangilie kwamba dawa hizo ndio zime kusevu/kukuokoa na kwenye ubongo wako utajenga imani hiyo na hamna mtu atakayeweza kubadili imani yako hiyo.Kumbe HIV huyu feki kamwe haambukizwi kwa njia ya ngono kama tulivyodanganywa.
Lengo lao lingine ni lilelile maalum la kuuza dawa za ARVs.Na ndio maana Antonio Faucci anafanya kampeni ili dawa hizi ziwe zinatumika kila mara watu wanapotaka kufanya ngono zembe.Ila nimemsikia daktari mmoja hapa kwetu akipingana na maelezo hayo ya Antonio Faucci kwamba yeye, huyu daktari wa bongo hakubaliani na hilo kwa kuwa dawa hizi zinapotumika muda mrefu zina madhara hatari mwilini,nilifarijika sana kusikia anasema hivyo kwa kuwa sasa watanzania tunaanza kufunguka.Ningekuwa nakumbuka nakala ile ya gazeti la Mwananchi ningewawekea hapa msome wenyewe.

Ndugu yangu,haya mambo ni mazito na pia ni mengi sana na yote yana ukweli usiopingika ndani yake,inahitaji uwe jasiri wa kudadisi na kujitoa muda wako.Wachache sana wenye uwezo wa kufanya hivyo na ndio maana Ugonjwa huu wa ARVs/AIDS(sijakosea,ninamanisha kweli ARVs/AIDS na sio HIV/AIDS) hautaisha leo wala kesho.
 
kuna mambo mengi yamefichwa nyuma ya pazia....umagharib una siri kubwa na kuzijua ngumu mana media kubwa ndio wamezishika wao kusambaza propaganda zao
 
To Chisaye

Hapa tunauelimisha uma
Hebu msome.
lifecoded
hapo nilipo mnukuu.

Afya ni kitu sensitive sana kwa maisha ya watu.

Hatuwezi kusikiliza maneno yako halafu tufanye hitimisho.
Kila dawa za kutibu maradhi zina madhala fulani kwenye afya ya binadamu.
Lakini hayo madhara yana nafuu kuliko ugonjwa wenyewe, ndio maana zimethibitishwa na taasisi za afya kuendelea kutumika.
 
Tusipokuwa makini Afrika kufikia 2040 Waafrika wote tutakuwa tunakula ARV wazungu wajinga tu ukiwajua...wanalazimisha serikali za kiafrika zitunge Sheria kupima ukimwi iwe lazima....si ajabu hii...
 
Na sasa hivi hapa bongo kuna hivi vihospitali mshenzi vya serikali hata ukimpeleka nduguyo kutibiwa wanalazimisha ukapime HIV, bila kupimwa nduguyo hatibiwi, huu ni ujinga sana wa manesi wa kiafrika.
 

.Uongo wenyewe uko hivi;"Inasemekana kuna watoto wanaozaliwa na maambukizi ya VVU/HIV".Ni maambukizi ya HIV na si maambukizi ya ukimwi.Sasa kuwa makini hapa upate elimu,na kama unamfahamu daktari yeyote unayemwamini nenda kamuulize haya ninasema hapa halafu msikilize atakujibu vipi;
Ukisoma reply zangu za nyuma utaona nasema kwamba HIV hasababishi ukimwi kama watu walivyodanganywa hivyo hata kama mtu akipimwa HIV+ sio ishu,ni ulimbukeni tu wa kukosa elimu.Utaona pia kwamba vipimo vyenyewe vya HIV ni feki na wameweka trick ya kisayansi ili vilete majibu wanayoyataka,hivyo mtu yeyote yule anaweza kupimwa HIV+ bila kujali kama yeye ni bikira, aliwahi kupata maambukizi au la,haijalishi,unaweza kuwa HIV+.Hivi wametumia akili nyingi sana kutudanganya kuanzia kwenye historia ya HIV,Hypothesis yake(yaani HIV anasababisha ukimwi),Vipimo vyake na dawa zake zinazotumika yaani ARVs,vyote hivi ni feki.

Sasa tuje kwenye swali la msingi;
Wenyewe wanasema hivi;Mtoto anayezaliwa kutoka kwa mama mwenye HIV ana uwezekano wa kupata HIV kwa 25% tu kama mama yake atakuwa hatumii ARVs,na ana uwezekano wa kupata HIV kwa 2% kama mama yake atatumia ARVs.Kuna watu humu wana akili za kupinga tu najua watapinga na hili pia,kabla ya kupinga angalia link hapo chini.Hizi ni data kutoka CDC marekani.Hawa jamaa wa CDC ndio walioanzisha ile slogan ya "ONE TEST TWO LIVES",hawa ndio wazee wa slogan za HIV/AIDS,slogan zote tunazozisikia zinaanzishwa na hawa jamaa ili kuturubuni akili.Hata sheria ya kupima mama wajawazito HIV kwa lazima hapa kwetu imeanzishwa na hawa jamaa.Nauliza swali "Eti hawa jamaa watakuwa wanatupenda eeenh,yaani wanatupenda mpaka wanatulazimisha kupima!!!,yaani wana upendo na sisi kuliko tunavyojipenda wenyewe"
Soma link hapo chini;
OTTL | Campaigns | Act Against AIDS | CDC

Mtoto kama mtu mwingine yeyote yule kama akipimwa HIV,narudia,kama akipimwa HIV kwa kutumia vipimo hivi ambavyo wameweka trick zao za kisayansi,ana uwezekano wa kumkuta na HIV.Lakini uwezekano huu hajalishi kama mama yake ana HIV au la.Narudia,mtoto kupimwa HIV+ hakujalishi kama mama yake ni HIV+ au la,sasa wewe mwenyewe unaweza kujiuliza kwa nini mtoto awe HIV+ wakati mama yake ni HIV-?Hizo case zipo nyingi tu.

Kama nikiambiwa nitoe uthibitisho,sitatumia data za zamani,nitaanza kufanya vipimo upya vya watoto wapya waliozaliwa kutoka kwa mama zao ambao ni HIV-.Lazima nitapata watoto ambao ni HIV+.Nadhani hapa utakuwa unanielewa nikisema kwamba kwa mtu kuwa HIV+ sio ishu,ni suala la sayansi ya vipimo tu na si uhalisia,na pia HIV huyo wanayemnadi hasababishi ukimwi kama wanavyosema,hivyo pia mtu kuwa HIV+ tena sio ishu.Mtu anadhoofu kwa matatizo halisi ambayo yapo kweli kiuhalisia na ukimpa tiba husika anapona kabisa.Ila mbaya zaidi ukimpa ARVs,ni suala la muda tu mtu huyu lazima afe kwa matatizo yafuatayo;
1.Ugonjwa wa moyo
2.Ini
3.Figo
4.Cancer yoyote
5.Upungufu wa damu

Kama huamini,fanya utafiti wako mwenyewe kwa watu waliozidiwa/wanaoumwa sana wanaotumia ARVs.Ukimaliza tafiti rudi tena hapa.

Kuna kina mama wamepimwa HIV+ na hawatumii ARVs na wanazaa watoto ambao hawana huyo HIV.Case hizi zipo nyingi mno.Hawawezi kuelezea kwa nini haya hutokea pia.Wanajifanya kuangalia upande mmoja tu.Kwa jinsi mtoto anavyokaa tumboni na anavyopata chakula kwa diffusion kutoka kwa mama yake na mambo mengine lukuki,bado mtoto anatoka hana maambukizi hata kama mama yake ni HIV+.Hili swali ushawahi kujiuliza?
Unajua hawa jamaa elimu wanayoingiza kwenye vichwa vyetu kupitia vyombo vya habari inafanya ubongo wetu ujiulize maswali fulani tu na si maswali ya aina nyingine,kwa kifupi tunasema wametu 'brain wash'.

Sasa ngoja nikwambie kwa nini wanalazimisha mama wajawazito ambao ni HIV+ watumie ARVs;
Jibu ni kwamba,wanajua sisi tutakuwa na mashaka sana endapo mama mwenye HIV atazaa mtoto asiye na HIV kwa kuwa hilo si jambo la kawaida,ofcourse,sio la kawaida na ndio uhalisia ulivyo kwamba case hizo zipo nyingi sana.
Sasa kama mama atatumia ARVs halafu atazaa mtoto ambaye hana HIV akili zetu zitakuwa tuned kwamba ARVs ndizo zimemuokoa mtoto,lakini ukweli ni kwamba hata mama asipotumia ARVs chance ni ileile.Chance ya mtoto kuwa HIV+ haichangiwi na mama kutumia au kutotumia ARVs bali huchangiwa na vipimo vya HIV.Fanya utafiti utajua tu.
 
Inajulikana wazi kwamba ARV's ni dawa za 'Chemotherapy' ambazo zilitengenezwa kwa ajili ya kutibu cancer hapo awali, lakini zilipofeli ndio wakazivadilisha matumizi kuwa ARV's. Dawa hizi ni 'sumu' kali ambayo ilikuwa zinatazamiwa kwamba mgonjwa anaweza akapewa kwa siku 14 mfano, huku wakisali kwamba seli za saratani zitakufa kabla mgonjwa hajafa, sasa imagine mtu unazitumia maisha yako yote, lazima ufe.
 
Nani kakwambia usitumie kondomu, hivi unaelewa unachoongea???

Kondomu zilikuwepo kabla ya huyo HIV kugundulika kwa minajili ya njia ya uzazi wa mpango na kuzuia magonjwa ya ngono kama kaswende. Acha kuja ni simple facts kutetea hoja.

Ulisema umesoma vitabu zaidi ya 20 kuhusu suala huli ila mpaka sasa hujaweza kujibu swali langu kuwa naomba unioneshe real picha ya hicho kirusi kama kinavyoonekana kwa Microscope.
 
Kubadilika rangi na kuwa wa njano ni kwa sababu ini lilifeli, na ini likifeli unabadilika na kuwa wa njano, na ini hufeli sababu ya sumu, unajua sumu yenyewe aliyokuwa anakunywa ni ipi? Unataka nikutajie jina? Fanya research, mtu akiwa wa njano maana yake nini kimefeli?
 
Comment yako ya awali ulieleza mambo mazuri sana ambayo wengi walikuwa hawana uelewa nayo lakini comment yako hii ya pili nadhani siwezi kukusapoti kabisa hasa hasa kuhusu PEP na dawa za ARVs na hayo maneno ya huyo daktari wako wa kitanzania pia kuhusu wakina mama wajawazito kumeza ARV katika program ya PMTCT yaani Prevention Mother To Child Transmission hiyo huduma imewasaidia sana watoto wanaozaliwa kutopata maambukizi ya HIV kwa zaidi asilimia 96 yaani wakina mama 100 wenye maambukizi ya HIV ni ni 4 tu ambao wanaweza kuambikiza watoto na 96 hawapati maambukizi wakati huko nyuma maambukizi yalikuwa juu sana sasa unaposema ugonjwa hewa na huduma hewa hata sikuelewi kabisa.
 
Mkuu ningepata na jibu la swali la kwanza kama hautojali.
 
Nakuelewa sana Chisaye, ila kinachoniuma nina ndugu wengi wanatumia ARV kwa sasa, nifanyeje sasa kuwasaidia au niachane nao tu
 

mkuu nakushangaa sana wewe umejuaje huko antactica kuna laboratory pasipo kutumia sources of information kama medias...kwahyo medias hazina umuhimu kwenye ulimwengu wa leo?
me nakuona huna fact na tayari ushapanic be short and clear
 
nimegundua kuwa unabishana mwenyew na huna facts zilizojaa ukweli wa kitu unachobase...hivi unajua utofauti kati ya HIV( VVU) ba AIDS( ukimwi) ...?? kmaa ukiweza kutofautisha kati ya hivo vitu viwiki basi huezi endelea kujiuliza kwanin kioi kinaanza na kipi kinafuata....mtu akiwa na VVU( HIV) hamanishi ana ukimwi..naomba uelewe hapo ndgu....ila ukiwa na HIV kwa muda mrefu ndo utapata Ukimwi, tutasema umepata ukimwi endapo kwanza unaidadi ya Virusi mwilini mwako lakini pia umeanza kupata magonjwa nyemelezi ambayo hayawezi yakaja kama kinga ya mwili iko juu...unapopata HIV infection means kadri HIV wanavyozaliana ndipo immunity yako inazidi kushambuliwa ( na siyo kushambuliwa tu yani HIV RNA inauwezo wa kushut down immune gene activator hence low production ya antibodies against infection) hii naongea katika molecular level sasa make naona kama huelewi.....kwa hiyo HIV akishashut down hizo genes specific for immunity activation ndo hapo tayar bacteria anayesababibsha kuhalibika kwa mapafu( TB)anaingia mwilini,bacteria wanaosababisha home kali wanaingia mwilini,yani kila aina ya takataka aingia mwilini na kusababbisha kupata grupu kubwa la dalilili nyingi na hilo grupu kubwa la dalili nyingi ndo tunaita upungufu wa kinga mwilini(ukimwi)/ AIDS.. kwa hiyo usibase kusema kuwa mtu anaweza pata HIV halafu akakosa ukimwi ndiyo nakubali make tutaita ukimwi( AIDS) pale ambapo mtu kaanza kuonesha dalili za baadhi ya mifumo mwilini kushindwa kufanya kazi kutokana na uwezo wa mwili kushindwa kufanya kazi dhidi ya wadudu nyemelezi....kupata AIDS AINATEGEMEA na HIV kushut down mapema genes foe immunity activation antibody production ndo maana utakuta wengine wana HIV bila kujijua hata zaidi ya miaka 10 ika kuna siku inalipuka hilo ongezeko la HIV na kufanya mwili upate UKIMWI...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…