Ngoja nikwambie kitu hapa mkuu;Kuna vitu vya kusikia na vya kuona mwenyewe.Halafu vile vya kuona mwenyewe pia unaweza kuvielewa au usivielewe kulingana na upeo au elimu aliyonayo mtu.Watu wengi wanazungumza vitu vya kusikia zaidi,na wale walioona hawakuwa na uelewa au elimu ya kutosha kipindi ambacho wanaona hivyo vitu.
Mimi ninayezungumza hapa nimefanya tafiti nyingi za kisayansi.Siko hapa JF kuleta porojo kama wengine wanavyodhani,watu wamejikita zaidi kwenye upingaji lakini hawakujiandaa kuelewa.Kama mtu hakujiandaa kuelewa utamjua tu,na kamwe hawezi kuelewa hata ukimpatia evidence ya aina gani,mtu huyu atalazimisha umpe evidence si kwamba anataka kuelewa la hasha bali anataka ukwame,ukimpa evidence haisomi/haifuatilii na badala yake anatafuta mtego mwingine ili ukwame.Hii ndio tabia ya watu wengi humu JF,wamejiandaa kupinga na kuleta porojo zaidi badala ya kutoa hoja za kisayansi ili kupinga zile ninazotoa mimi.
Jibu lako hili hapa chini;
Miaka ya 1990 ARVs zilikuwa zimeshagundulika ila zilikuwa bado hazijafika kwa wingi Tanzania.ARVs(AZT) zilianza kutumika kwa mara ya kwanza Marekani mwaka 1987,hivyo nakubaliana na wewe kwamba wengi walikuwa hawatumii ARVs Tanzania lakini walikuwa wanakufa kwa magonjwa.Swali linakuja,Je,walikuwa wanakufa kwa magonjwa gani?
Kumbuka kwamba(kama ulikuwa na akili timamu miaka ya 1990) hali ya uchumi kwa upande wa huduma za kijamii ilikuwa mbaya sana kipindi kile hasa huduma za kiafya.
Magonjwa yaliyoongoza kwa kuuwa watu yalikuwa ni malaria na TB,malaria ikishika namba moja.Vipimo vilikuwa duni na madawa pia yalikuwa adimu.Na ndio maana hata ukiangalia takwimu za wagonjwa wa TB zilikuwa zinashuka kuanzia mwaka 1990 kuja juu kwa kadri huduma za kiafya zilivyoboreshwa.Watu walikufa kwa TB na malaria na si HIV.Kama mtu ana uthibitisho kuonesha kwamba HIV/AIDS ndio iliua watu wengi kipindi kile basi alete hapa jukwaani.Maana kuna mambo ya kusikia bila kuona na ukweli.
Kuhusu malaria,unaweza usiamini kwa kuwa haikudhoofisha watu.Lakini TB ilikuwa inatisha ndugu yangu.Si unajua TB iliyokomaa ikoje?Sasa changanya na tatizo la upatikanaji wa huduma za kiafya kipindi kile yaani madawa na vipimo.Hivyo wagonjwa wengi wa TB walishindwa kupata huduma za vipimo na dawa kwa sababu mbalimbali zikiwemo uelewa,umbali wa kufika vituo vya afya vipimo duni na madawa.
Mgonjwa wa TB aliyekosa kabisa huduma huwezi kumuangalia mara mbili.Sasa ukichanganya na kasumba tuliyomezeshwa ya HIV/AIDS jinsi tulivyotangaziwa na vyombo vya habari kipindi hicho redio ni moja,basi kila kitu kinachotangazwa tunakiamini,hivyo tukasahau kabisa kama dalili za TB ndio zilezile dalili za HIV/AIDS tulizoambiwa;
-Kukonda sana
-kupungua uzito
-kuishiwa nguvu
-homa za mara kwa mara
-Kutapika au kuharisha kutegemeana na aina ya TB(GI TB)
-Kukohoa mara kwa mara nk.
Lakini watu bado wanafunga milango yao ya fahamu kujifanya hawajui kama hizi dalili mtu mwenye TB pia anakuwa nazo eti kwa sababu redio imetangaza kwamba hizi ni dalili za VVU/Ukimwi.Silaumu sana kwa maana elimu na uelewa pia kipindi kile vilikuwa chini sana.
Hakuna mgonjwa yeyote wa TB ambaye nywele zake zilinyonyoka kipindi kile kabla ya ARVs hazijaanza kutumika.Kama mtu ana evidence alete hapa.Baada ya ARVs kuanza kutumika ndio ikaongezeka dalili nyingine ya kunyonyoka nywele au nywele kuwa dhaifu.Pia baada ya ARVs kuanza kutumika,zikaongezeka dalili nyingine kama vile;
-Ugonjwa wa moyo
-Matatizo ya figo
-matatizo ya ini
-tumbo kujaa
-miguu kuvimba
-Upungufu wa damu
-Cancer/saratani
Hayo matatizo niliyotaja hapo juu,hamna hata tatizo moja linalosababishwa na HIV.Kama mtu anapinga alete ushahidi.
Nywele kunyonyoka ni dalili mojawapo ya mtu anayetumia ARVs.ARVs na dawa za chemotherapy zinafanana kwa kuwa na common component.Mgonjwa wa cancer pia akitumia chemotherapy hunyonyoka nywele.Kama mtu anapinga hili pia,aje na evidence.
Watu walikuwa wanadhoofika kabla hata kutangazwa kwa HIV mwaka 1984,yaani miaka ya 1970 na kabla ya hapo,walikuwa wana dalili zote za TB nilizozitaja na watu wa kipindi hicho walikuwa wanaona kwa macho yao.Lakini baada ya kutangazwa kwa HIV,watu wamesahau kabisa kama kuna ugonjwa unaitwa TB na una dalili kama za HIV/AIDS tulizoambiwa/kudanganywa,ama kweli ujinga ni mbaya sana.
Angalizo;
Watu wanaangalia tu upande mmoja,lakini hawajui pia kwamba asilimia ya 97%(WHO data) ya watu waliopimwa wakakutwa na huyu HIV feki katika bara la Afrika hawana AIDS.Asilimia 3% ya walio na huyu HIV feki ndio wana AIDS.Na AIDS waliyonayo inalezeka kisayansi wameipataje,lakini haikusababishwa na huyu HIV feki.
Nikianza kutoa list ya maswali ya kutatanisha kuhusu HIV/AIDS sitamaliza,lakini siko hapa kwa ajili hiyo bali nipo hapa ili kuwaelewesha watu.Lakini kuna watu wamejikita kupinga tu na kuuliza maswali ya mitego ambayo wao wanadhani hayajibiki,kumbe yana majibu rahisi sana.Wanataka wajibiwe,lakini wakijibiwa hawasomi,na wakisoma wanasoma kwa bias,yaani wanasoma huku wakiwa na mlengo wa kupinga.Siwezi kupoteza muda wangu kujadiliana na watu kama hao.
Fahamu pia sasa hivi katika NGO zinazoshughulikia masuala ya HIV/AIDS kuna kitengo kinachohusiana na cervical cancer kwa wanawake.Sasa umeshawahi kujiuliza kwa nini wameweka kitengo hicho ndani ya NGO hizo?
Jibu ni rahisi sana;Ni kwa sababu wanawake wengi wanaotumia ARVs kwa muda mrefu mwishowe hupata cervical cancer,cancer hii haisababishwi na HIV la hasha,husababishwa na matumizi ya ARVs.Dawa za uzazi wa mpango pia husababisha cancer,lakini hapa nazungumzia specifically ARVs.
Je,unajua pia kwa nini mama wajawazito sasa hivi kuna sheria lazima wapimwe HIV?Jibu ni rahisi sana;Hawa jamaa si kwamba wanatupenda saaaana la hasha,bali wanatafuta wateja kinguvu,wanajua kwamba mama wajawazito ni rahisi sana kukutwa HIV+ kutokana na trick waliyoiweka kwenye vipimo vya HIV.Mama wajawazito wana uwezekano mkubwa wa kutoa protein ambazo zinafanana kabisa na zile zinazokuwa targeted na vipimo vyao ambazo hufanya mwili wa mama mjamzito ku generate antibodies dhidi ya hizo protein.Antibodies hizi zikionekana ndizo zinazofanya vipimo vioneshe kwamba mtu ni HIV+.Lakini kuna muda protein hizi zinatoweka kama hali iliyosababisha zitokee ikitoweka.Na ndio maana mtu anaweza kuwa HIV+ leo halafu siku nyingine akapima akawa HIV-.
Hivyo basi,mtu kuwa HIV+ is not a big deal,ni usanii tu wa vipimo.Ila mtu anayetumia ARVs kwa muda mrefu huwa mara nyingi anaonekana HIV+ kutokana na sayansi ya dawa zilivyo.Yaani ndugu yangu haya mambo ni mengi sana na ni mazito,inahitaji utulie sana,huwezi kutulia kama una attitude ya kupinga.
Mtu mwenye attitude ya kupinga hawezi kupata kitu hapa,atarukaruka tu huku na kule.Na ndio maana hawa jamaa pamoja na kwamba nawachukia,lakini hapa wametumia sayansi kubwa sana kudanganya watu.Na kwa jamii hii ya watu ninayoiona humu JF,wataishia kuongozwa kama ng'ombe malishoni,waombe tu wasipimwe HIV+,watajuta,kwa kuwa hawatajua la kufanya ili kujitetea.Na lazima ARVs ziwaue watu kama hawa.