Huyu ndiye daktari aliyejichoma sindano ya UKIMWI ili kuthibitisha kuwa UKIMWI ni uongo!

Huyu ndiye daktari aliyejichoma sindano ya UKIMWI ili kuthibitisha kuwa UKIMWI ni uongo!

Status
Not open for further replies.
HIV/AIDS ni feki kwa kuwa AIDS haisababishwi na HIV na HIV hana uwezo wa kusababisha AIDS na ndio maana kuna mikanganyiko mingi sana sasa,mara watu hukwambia "ni vigumu sana kupata HIV kwa kufanya ngono",ukweli ni kwamba HIV haambukizwi kwa njia ya ngono.Wengine husema "kuna watu wana HIV lakini hawadhuriki" watu hawa huitwa carrier,huu ni uongo pia,kila mtu hawezi kudhurika na HIV,hata wewe pia.Walichofanya hawa jamaa wamefanya utafiti ni contradiction gani inajitokeza kwenye uongo huu waliotulisha halafu wakatafutia majibu yake ili kuendelea kuwapa watu imani kwamba kweli VVU/Ukimwi upo na unaua ilihali kinachoua ni ARVs.
Vipimo vyake ni feki kwa sababu havipimi HIV mwenyewe kwa muonekano kama ilivyo kwenye baadhi ya magonjwa kama vile malaria,TB au Typhoid.Walikataa kutuia electronic microscope kwa kuwa wenyewe wanajua kwamba HIV ni feki,haonekani.Na ndio maana hadi leo hii muulize daktari yeyote ambaye unamwamini wewe ni kichwa kama kashawahi kumuona HIV hata kwa kutumia vyombo vyao katika maisha yake yote ya udaktari,atakwambia hajawahi kumwona,sasa kama hajawahi then nini tunachokiamini basi?Ile picha ya HIV kwenye vitabu vyao waliipata wapi?Vipimo hivi hupima kinga ya mwili dhidi ya protini fulani ambazo zinaaminika zinatoka kwa HIV lakini sio specific kwa HIV pekee,kuna mambo mengine ndani ya mwili huweza kuzalisha protini hizo na mtu akaonekana ana HIV kwa kutumia vipimo hivi(kumbuka bado kwamba HIV hasababishi ukimwi).Mojawapo ya mambo hayo ni magonjwa mbalimbali kama vile TB,hali ya mimba kwa wanawake pia husababisha kuzalishwa/kutolewa kwa protini hizo.Haya ninayoongea kamwambie daktari yeyote yule mwelewa hatapinga.
Ok naendelea kukuelewa..
Ila hujanijibu kuwa kama ukimwi haupo, je nn kinapelekea mtu kufa na njia gani inaambukiza
 
Kabla ya kutoa uthibitisho wangu,ninyi wenyewe wana JF mnatoa uthibitisho.Hakuna chanjo ya ukimwi.Hata mimi naweza kutembea na mtu anayetumia ARVs bila kinga mara nyingi na naweza pia kujikata na kujiwekea damu ya mtu huyo na siwezi kupata ukimwi/VVU.By nature,ugonjwa huu haupo,ila jamaa wametumia akili nyingi tu kudanganya watu,wametumia uongo wa kisayansi ili watu waamini kama kweli ugonjwa huu wa HIV/AIDS upo kitu ambacho si kweli.Watu wanajua kwamba AIDS inasababishwa na HIV hivyo mtu hupewa ARVs,kumbe ARVs baada ya muda fulani ndio husababisha AIDS,hili watu wamefumbwa,hawalijui.Na kama mtu yeyote anaumwa na hatumii ARVs basi lazima atakuwa na tatizo la msingi linamsumbua na akipewa dawa husika anapona kabisa na haitajia kula ARVs maisha yake yote hata kama ameonekana ana HIV
Kumbuka ARV zimekuja majuzi tu, zaman hapo tulipoteza watu weng na walikufa kwa mateso meng ikiwa ni pamoja na kukonda sana

Tuambie nn kilikuwa kinawaua haraka vile
 
Ok naendelea kukuelewa..
Ila hujanijibu kuwa kama ukimwi haupo, je nn kinapelekea mtu kufa na njia gani inaambukiza

1.Kuna magonjwa mengi yanadhoofisha watu mpaka kufa zaidi ya huu ugonjwa feki wa HIV/AIDS,ni kweli wewe hujui hili?
Mfano mmojawapo wa ugonjwa huo ni TB.Je,unajua kwamba ukiwa na TB muda mrefu utakonda sana,utaishiwa nguvu,unaweza kutapika,unaweza kuharisha kutegemea na aina ya TB,utakosa hamu ya kula,utakuwa na homa mara kwa mara,na ajabu zaidi unaweza ukapimwa HIV na vipimo vikatoa majibu Negative/huna HIV.Je,hizi nilizotaja sio dalili za ugonjwa feki wa HIV/AIDS ulizoambiwa wewe zamani?Huoni kwamba dalili hizo zinafanana?
Kama hayo maelezo ni sahihi,Je,ukimwi ni nini basi?

2.Dawa ya ugonjwa hutegemea na aina ya ugonjwa.Kama ugonjwa ni TB utapewa tiba ya TB na utapona kabisa.
 
Kumbuka ARV zimekuja majuzi tu, zaman hapo tulipoteza watu weng na walikufa kwa mateso meng ikiwa ni pamoja na kukonda sana

Tuambie nn kilikuwa kinawaua haraka vile

kwanza hongera kwa kutaka kujua.Napenda kukushauri kwamba,mada hii ni nzito na inahitaji uwe na open/free mind ili uelewe,usijikite kwenye kupinga zaidi bali jikite kwenye hoja za kudadisi zaidi.

1.Swali lako hapo juu ni zuri sana.Kuna mmoja nilimjibu hili.Nilisema kwamba kuna magonjwa mengi yapo hata kabla ya kutangaziwa ugonjwa huu feki wa HIV/AIDS ambayo huwafanya watu wakonde na hata kupungua sana uzito.Je,hujui kama TB nayo ina dalili hizi,kama huamini hebu ingia mtandaoni ili ujithibitishie hili.Hawa jamaa wamezishika akili zetu na tumezuiwa kufikiri kabisa kwamba TB nayo ina dalili kama hizi na ndio mojawapo ya magonjwa yaliyoua watu wengi miaka hiyo hata kabla watu hawajaanza kutumia ARVs.Ingia link hapo chini uone dalili za TB.

Tuberculosis Causes, Symptoms, Treatment - Tuberculosis Symptoms and Signs - eMedicineHealth

2.Kuwa makini,elimu nzito inakuja hapa;
Kunyonyoka nywele ni dalili mojawapo pia kwa wagonjwa wa cancer/saratani wanaotibiwa kwa dawa za chemotherapy,dawa hizi huwa zinauwa kinga na kudhibiti chanzo cha kuzalisha nywele na hivyo nywele hunyonyoka.Kama huamini ingia mtandaoni uangalie side effects za chemotherapy.
Sasa basi,ARVs zinazotumiwa na watu ambao wamebambikiwa kesi ya kuwa na HIV pia zina component ya chemorapy ila katika dozi ndogo.Unapotumia ARVs kwa muda mrefu na hasa bila kuzingatia lishe bora itafikia muda nywele zako zitakuwa dhaifu na kunyonyoka.Hii ni kwa sababu component ambayo ipo kwenye dawa za chemotherapy ipo pia kwenye ARVs.
Kama hujui mtandao wa kuingia,basi ingia hapa chini uone side effects za chemotherapy.Fahamu pia kwamba side effects za chemotherapy zinafanana kabisa na side effects za ARVs kwa kuwa zina common component ambayo kazi yake ni kuua cell za mwili,na kazi yake hii walimaanisha iwe hivyo,hawajakosea.

Haya mambo ni sayansi tu.Ukijua ukweli wa mambo fulani, halafu ukijua sayansi,huwezi kudanganywa kirahisi.
 
1.Kuna magonjwa mengi yanadhoofisha watu mpaka kufa zaidi ya huu ugonjwa feki wa HIV/AIDS,ni kweli wewe hujui hili?
Mfano mmojawapo wa ugonjwa huo ni TB.Je,unajua kwamba ukiwa na TB muda mrefu utakonda sana,utaishiwa nguvu,unaweza kutapika,unaweza kuharisha kutegemea na aina ya TB,utakosa hamu ya kula,utakuwa na homa mara kwa mara,na ajabu zaidi unaweza ukapimwa HIV na vipimo vikatoa majibu Negative/huna HIV.Je,hizi nilizotaja sio dalili za ugonjwa feki wa HIV/AIDS ulizoambiwa wewe zamani?Huoni kwamba dalili hizo zinafanana?
Kama hayo maelezo ni sahihi,Je,ukimwi ni nini basi?

2.Dawa ya ugonjwa hutegemea na aina ya ugonjwa.Kama ugonjwa ni TB utapewa tiba ya TB na utapona kabisa.
Naona hapa ujitafakari maana ingekuwa ni rahis kama unavosema basi watu wasingekufa..
Ni hv, lazima kuna kitu kimejificha, juu ya ukimwi ila labda hatukijui. Ila kusema utibu ukimwi kwa kutibu magonjwa mengine yanayoambatana.. Sizan kama ni sawa maana kama, ni hvyo bas watu wasingekufa.
Tambua wapo na walikuwepo matajir wenye uwezo wa kutibiwa, na, kula vzur ila, mda, ulipofika walikufa
 
kwanza hongera kwa kutaka kujua.Napenda kukushauri kwamba,mada hii ni nzito na inahitaji uwe na open/free mind ili uelewe,usijikite kwenye kupinga zaidi bali jikite kwenye hoja za kudadisi zaidi.

1.Swali lako hapo juu ni zuri sana.Kuna mmoja nilimjibu hili.Nilisema kwamba kuna magonjwa mengi yapo hata kabla ya kutangaziwa ugonjwa huu feki wa HIV/AIDS ambayo huwafanya watu wakonde na hata kupungua sana uzito.Je,hujui kama TB nayo ina dalili hizi,kama huamini hebu ingia mtandaoni ili ujithibitishie hili.Hawa jamaa wamezishika akili zetu na tumezuiwa kufikiri kabisa kwamba TB nayo ina dalili kama hizi na ndio mojawapo ya magonjwa yaliyoua watu wengi miaka hiyo hata kabla watu hawajaanza kutumia ARVs.Ingia link hapo chini uone dalili za TB.

Tuberculosis Causes, Symptoms, Treatment - Tuberculosis Symptoms and Signs - eMedicineHealth

2.Kuwa makini,elimu nzito inakuja hapa;
Kunyonyoka nywele ni dalili mojawapo pia kwa wagonjwa wa cancer/saratani wanaotibiwa kwa dawa za chemotherapy,dawa hizi huwa zinauwa kinga na kudhibiti chanzo cha kuzalisha nywele na hivyo nywele hunyonyoka.Kama huamini ingia mtandaoni uangalie side effects za chemotherapy.
Sasa basi,ARVs zinazotumiwa na watu ambao wamebambikiwa kesi ya kuwa na HIV pia zina component ya chemorapy ila katika dozi ndogo.Unapotumia ARVs kwa muda mrefu na hasa bila kuzingatia lishe bora itafikia muda nywele zako zitakuwa dhaifu na kunyonyoka.Hii ni kwa sababu component ambayo ipo kwenye dawa za chemotherapy ipo pia kwenye ARVs.
Kama hujui mtandao wa kuingia,basi ingia hapa chini uone side effects za chemotherapy.Fahamu pia kwamba side effects za chemotherapy zinafanana kabisa na side effects za ARVs kwa kuwa zina common component ambayo kazi yake ni kuua cell za mwili,na kazi yake hii walimaanisha iwe hivyo,hawajakosea.

Haya mambo ni sayansi tu.Ukijua ukweli wa mambo fulani, halafu ukijua sayansi,huwezi kudanganywa kirahisi.
Je unaushahidi wa watu waliopimwa wakagundulika wama ukimwi, then wakajitibu magonjwa nyemelez mfno hyo TB n.k halafu wakapona???
 
Hizi mbwembwe za UKIMWI haupo ni tamu sana kama huu ugonjwa haujagusa mtu wako wa karibu ila siku ukifika karibu yako ndio akili inakaa sawa acha kabisa narudi acha kabisaaa.
Mimi nakubali ukimwi ni uzushi tu, ila ukishazugwa unao unaanza kufa nusu mwenyewe, kisha unastawishwa kwa muda kwa kugeuzwa teja wa ARV business inaendelea!
 
Naona hapa ujitafakari maana ingekuwa ni rahis kama unavosema basi watu wasingekufa..
Ni hv, lazima kuna kitu kimejificha, juu ya ukimwi ila labda hatukijui. Ila kusema utibu ukimwi kwa kutibu magonjwa mengine yanayoambatana.. Sizan kama ni sawa maana kama, ni hvyo bas watu wasingekufa.
Tambua wapo na walikuwepo matajir wenye uwezo wa kutibiwa, na, kula vzur ila, mda, ulipofika walikufa

HIV/AIDS au VVU/UKIMWI hauambukizwi kwa njia ya ngono/sex na HIV hasababishi ukimwi.Jitahidini kidogo ku stretch uwezo wenu,elimu ipo lakini mnairuka kwa makusudi.

HIV/AIDS is a mindset disease.Sijui kama nitaeleweka kwa kusema hivi.Yaani ugonjwa huu haupo kiuhalisia,kinachoua si HIV bali kinachoua ni ARVs kwa wale wanaozitumia.Hata kama mtu hatumii ARVs na amedhoofika wewe mpime tu utagundua kwamba lazima awe na ugonjwa fulani unaofahamika,aidha TB,Pneumonia,Cancer nk.

Watu wanadhani mimi nimekurupuka kwa siku moja tu na kuja kuandika yote haya,la hasha nimefuatilia na kufanya tafiti ya mambo haya kwa zaidi ya miaka 5.Watu wanachukulia kirahisi sana,hawagundui hata kwa nini mimi ninawaeleza haya,hawagundui hata kidogo upendo huu ninaouonesha kwao.
 
Daima nimekua nawaambia watu there is nothing as UKIMWI, this is a modern brain masturbation kuwahadaa the least developed countries... At first niliamini but after researching nikabaini hamna kitu kama hicho and once umetumia ARV tu you're dead
Sure mkuu!
 
kwanza hongera kwa kutaka kujua.Napenda kukushauri kwamba,mada hii ni nzito na inahitaji uwe na open/free mind ili uelewe,usijikite kwenye kupinga zaidi bali jikite kwenye hoja za kudadisi zaidi.

1.Swali lako hapo juu ni zuri sana.Kuna mmoja nilimjibu hili.Nilisema kwamba kuna magonjwa mengi yapo hata kabla ya kutangaziwa ugonjwa huu feki wa HIV/AIDS ambayo huwafanya watu wakonde na hata kupungua sana uzito.Je,hujui kama TB nayo ina dalili hizi,kama huamini hebu ingia mtandaoni ili ujithibitishie hili.Hawa jamaa wamezishika akili zetu na tumezuiwa kufikiri kabisa kwamba TB nayo ina dalili kama hizi na ndio mojawapo ya magonjwa yaliyoua watu wengi miaka hiyo hata kabla watu hawajaanza kutumia ARVs.Ingia link hapo chini uone dalili za TB.

Tuberculosis Causes, Symptoms, Treatment - Tuberculosis Symptoms and Signs - eMedicineHealth

2.Kuwa makini,elimu nzito inakuja hapa;
Kunyonyoka nywele ni dalili mojawapo pia kwa wagonjwa wa cancer/saratani wanaotibiwa kwa dawa za chemotherapy,dawa hizi huwa zinauwa kinga na kudhibiti chanzo cha kuzalisha nywele na hivyo nywele hunyonyoka.Kama huamini ingia mtandaoni uangalie side effects za chemotherapy.
Sasa basi,ARVs zinazotumiwa na watu ambao wamebambikiwa kesi ya kuwa na HIV pia zina component ya chemorapy ila katika dozi ndogo.Unapotumia ARVs kwa muda mrefu na hasa bila kuzingatia lishe bora itafikia muda nywele zako zitakuwa dhaifu na kunyonyoka.Hii ni kwa sababu component ambayo ipo kwenye dawa za chemotherapy ipo pia kwenye ARVs.
Kama hujui mtandao wa kuingia,basi ingia hapa chini uone side effects za chemotherapy.Fahamu pia kwamba side effects za chemotherapy zinafanana kabisa na side effects za ARVs kwa kuwa zina common component ambayo kazi yake ni kuua cell za mwili,na kazi yake hii walimaanisha iwe hivyo,hawajakosea.

Haya mambo ni sayansi tu.Ukijua ukweli wa mambo fulani, halafu ukijua sayansi,huwezi kudanganywa kirahisi.
Kwa conclusio yako nadhani wengi umetuacha na maswali maana unataka kutuambia ukimw haupo na endapo mtu akigundulika ana ukimwi basi ajitibu magonjwa nyemelez kisha atapona kabisa.
MKUU INGEKUWA RAHISI HVYO BASI TUSINGEZIKA WATU KILA SIKU
 
Naona hapa ujitafakari maana ingekuwa ni rahis kama unavosema basi watu wasingekufa..
Ni hv, lazima kuna kitu kimejificha, juu ya ukimwi ila labda hatukijui. Ila kusema utibu ukimwi kwa kutibu magonjwa mengine yanayoambatana.. Sizan kama ni sawa maana kama, ni hvyo bas watu wasingekufa.
Tambua wapo na walikuwepo matajir wenye uwezo wa kutibiwa, na, kula vzur ila, mda, ulipofika walikufa

Mkuu ,maneno yako yanaendelea kuthibitisha mkanganyiko nilioueleza hapo juu.Imebaki imani tu kwenye ugonjwa huu kama zilivyo imani nyingine,lakini uhalisia haupo hapo.Tatizo hapa linakuja kwa sababu maneno haya kwamba ukimwi ni hatari yamerudiwa mara nyingi sana kwenye vichwa vya watu na hatimaye yakageuka kuwa imani ambayo imechanganyika na woga.Na hili ndio lengo lao,yaani uogope.Lakini hamna sayansi hapa kwenye ugonjwa huu.Sayansi ya kweli inapingana na kila nyanja ya ugonjwa huu feki.Hakuna kirusi kilichotengenezwa maabara hapa,hizi ni propaganda ili kukuaminisha kwamba kweli kirusi kinachosababisha ukimwi kipo wakati ukweli ni kwamba hakipo.

Maneno haya sikusema mimi,bali nimejifunza kutoka kwa madaktari wazoefu duniani wenye akili zao timamu na wengine wana nobel prizes kwa kugundua vitu mbalimbali na wamefanya tafiti za kutosha kuhusu jambo hili,hivyo jambo hili si la kubeza,ni ukweli mtupu,lakini kitu kipya kinapoingia kwenye bongo za watu huwa ni vigumu sana kupokewa na ubongo.Mimi mwenyewe nimefanya tafiti zangu binafsi kuthibitisha wanachosema madaktari hawa na nimegundua kwamba wanachosema ni kweli kwa 100%.Nina evidence za respects zote.Thabo Mbeki sio chizi,ana akili zake timamu alipopinga suala hili,hivi watu hawastuki bado?Museveni naye analijua hili,yaani raia wengi wa nchi za Afrika wamefanywa kama ng'ombe na viongozi wao.Ni viongozi werevu na wenye huruma tu na wananchi wao ndio wamethubutu kusema ukweli huu,na hao pia wamewekewa vikwazo kwa kugusa maslahi ya watu wakubwa.Hebu tuamke ndugu zangu.Kama huelewi au huamini ninachosema basi fanya tafiti mwenyewe na nina uhakika utarudi tena hapa kuni PM.Na ndio maana kapeni nyingi za mambo haya ziko Afrika zaidi kwa kuwa ndiko kuna soko kubwa na wateja wake hawana akili za kuhoji,wanajikusanyia tu mapato.Inatia huruma na hasira sana.HIV/AIDS ni biashara ya ARVs tu na si vinginevyo.

Kwa kuanzia fuatilieni link hapo chini mumsikilize Dr(sasa hivi ni Prof) Peter Duesberg;Huyu mzee hakuna wa kumfananisha naye kwenye field hii ya virusi duniani,na amepata hasara kubwa sana baada ya kusema maneno haya kwenye public.Alishindwa kuvumilia kuona watu wanakufa bila hatia.

HIV/AIDS au VVU/UKIMWI hauambukizwi kwa njia ya ngono/sex na HIV hasababishi ukimwi.Jitahidini kidogo ku stretch uwezo wenu,elimu ipo lakini mnairuka kwa makusudi.

HIV/AIDS is a mindset disease.Sijui kama nitaeleweka kwa kusema hivi.Yaani ugonjwa huu haupo kiuhalisia,kinachoua si HIV bali kinachoua ni ARVs kwa wale wanaozitumia.Hata kama mtu hatumii ARVs na amedhoofika wewe mpime tu utagundua kwamba lazima awe na ugonjwa fulani unaofahamika,aidha TB,Pneumonia,Cancer nk.

Watu wanadhani mimi nimekurupuka kwa siku moja tu na kuja kuandika yote haya,la hasha nimefuatilia na kufanya tafiti ya mambo haya kwa zaidi ya miaka 5.Watu wanachukulia kirahisi sana,hawagundui hata kwa nini mimi ninawaeleza haya,hawagundui hata kidogo upendo huu ninaouonesha kwao.
Unaweza kujibu hoja bila kutaja neno ARV. Maana, naona, umekomaa, na ARV kila sentensi.
Hembu tuzungumzie ukimw enzi kabla ya ARV kuja. Mi nakubaliana nawe kuwa ARV zina, madhara sana.
Naomba ujibu huu unaoitwa ukimw unaambukizwaje kwenda, kwa, mwngne na kwann wanaokufa, na ukimw weng ni waasherati na, walifanya bila, kinga.
Na kwann wanaokufa, na ukimw wakiandika, list ya waliowaambukiza, bas wale wa kwenye, list wanakuja, kuumwa na, hatimaye kufa either kwa kujua au kutojua
 
Sasa jiandae vyema na umsikilize kwa makini kabisa neno baada ya neno(usiruke neno) huyu mgunduzi wa HIV anachosema hapa.Narudia,huyu anayesema hapa ndiye mgunduzi wa HIV.Yaani ni 'mungu' wa wale wanaoamini katika dini ya VVU/Ukimwi.Natarajia kwamba hakuna mtu yeyote duniani atakayepinga maneno yake;msikilize hapa chini;
"You can be exposed to HIV many times without being chronically infected,our immune system will get rid of the virus within few weeks if you have good immune system"

Halafu endelea kumsikiliza anazungumzia matatizo halisi yanayotusumbua hasa katika nchi za afrika.

1.Nutrition/misosi
2.Oxidative stress;Hii nitaizungumzia kwa undani baadaye
3.Clean water

Halafu anasema "their immune system doesn't work well already even if they are not infected with HIV",maana yake ni kwamba, watu wanakuwa na ukimwi hata kabla ya kuingiwa na VVU.

Anaendelea kushauri njia za kupunguza maambukizi ya HIV huyu feki ambazo ni;
1.Nutrition
2.Proper antioxidants
3.Hygiene measures
4.Fighting the specific infection(tusisingizie HIV,tutibu tatizo halisi)

Anaulizwa:"If you have good immune system then your body can get rid of HIV?"
Anajibu:Yes.
Ooooh very interesting!!! au mimi naota?Hebu sikiliza wewe mwenyewe.

Anaendelea kusema tena kwamba;"This is important knowledge which is completely neglected,people always think of drugs and vaccines"

Na mwisho yeye mwenyewe anakubali kwamba alichokisema ni tofauti na kile alichosema kipindi cha nyuma,yaani vinapingana.Huyu jamaa ameingizwa kwenye kundi la watu wenye roho mbaya bila kupenda,sasa roho yake inamsuta na anaamua kusema ukweli.Huyu ndiye mgunduzi wa HIV feki,Robert Gallo alimuibia tu data na yeye ndiye katangazwa kwanza.Walichokigundua hata wenyewe wanajua kwamba hakisababishi Ukimwi,ni njaa tu ndio inawasumbua.

Haya sikiliza sasa;

Kwa conclusio yako nadhani wengi umetuacha na maswali maana unataka kutuambia ukimw haupo na endapo mtu akigundulika ana ukimwi basi ajitibu magonjwa nyemelez kisha atapona kabisa.
MKUU INGEKUWA RAHISI HVYO BASI TUSINGEZIKA WATU KILA SIKU

Ngoja nikwambie kitu hapa mkuu;Kuna vitu vya kusikia na vya kuona mwenyewe.Halafu vile vya kuona mwenyewe pia unaweza kuvielewa au usivielewe kulingana na upeo au elimu aliyonayo mtu.Watu wengi wanazungumza vitu vya kusikia zaidi,na wale walioona hawakuwa na uelewa au elimu ya kutosha kipindi ambacho wanaona hivyo vitu.

Mimi ninayezungumza hapa nimefanya tafiti nyingi za kisayansi.Siko hapa JF kuleta porojo kama wengine wanavyodhani,watu wamejikita zaidi kwenye upingaji lakini hawakujiandaa kuelewa.Kama mtu hakujiandaa kuelewa utamjua tu,na kamwe hawezi kuelewa hata ukimpatia evidence ya aina gani,mtu huyu atalazimisha umpe evidence si kwamba anataka kuelewa la hasha bali anataka ukwame,ukimpa evidence haisomi/haifuatilii na badala yake anatafuta mtego mwingine ili ukwame.Hii ndio tabia ya watu wengi humu JF,wamejiandaa kupinga na kuleta porojo zaidi badala ya kutoa hoja za kisayansi ili kupinga zile ninazotoa mimi.

Jibu lako hili hapa chini;
Miaka ya 1990 ARVs zilikuwa zimeshagundulika ila zilikuwa bado hazijafika kwa wingi Tanzania.ARVs(AZT) zilianza kutumika kwa mara ya kwanza Marekani mwaka 1987,hivyo nakubaliana na wewe kwamba wengi walikuwa hawatumii ARVs Tanzania lakini walikuwa wanakufa kwa magonjwa.Swali linakuja,Je,walikuwa wanakufa kwa magonjwa gani?

Kumbuka kwamba(kama ulikuwa na akili timamu miaka ya 1990) hali ya uchumi kwa upande wa huduma za kijamii ilikuwa mbaya sana kipindi kile hasa huduma za kiafya.

Magonjwa yaliyoongoza kwa kuuwa watu yalikuwa ni malaria na TB,malaria ikishika namba moja.Vipimo vilikuwa duni na madawa pia yalikuwa adimu.Na ndio maana hata ukiangalia takwimu za wagonjwa wa TB zilikuwa zinashuka kuanzia mwaka 1990 kuja juu kwa kadri huduma za kiafya zilivyoboreshwa.Watu walikufa kwa TB na malaria na si HIV.Kama mtu ana uthibitisho kuonesha kwamba HIV/AIDS ndio iliua watu wengi kipindi kile basi alete hapa jukwaani.Maana kuna mambo ya kusikia bila kuona na ukweli.

Kuhusu malaria,unaweza usiamini kwa kuwa haikudhoofisha watu.Lakini TB ilikuwa inatisha ndugu yangu.Si unajua TB iliyokomaa ikoje?Sasa changanya na tatizo la upatikanaji wa huduma za kiafya kipindi kile yaani madawa na vipimo.Hivyo wagonjwa wengi wa TB walishindwa kupata huduma za vipimo na dawa kwa sababu mbalimbali zikiwemo uelewa,umbali wa kufika vituo vya afya vipimo duni na madawa.

Mgonjwa wa TB aliyekosa kabisa huduma huwezi kumuangalia mara mbili.Sasa ukichanganya na kasumba tuliyomezeshwa ya HIV/AIDS jinsi tulivyotangaziwa na vyombo vya habari kipindi hicho redio ni moja,basi kila kitu kinachotangazwa tunakiamini,hivyo tukasahau kabisa kama dalili za TB ndio zilezile dalili za HIV/AIDS tulizoambiwa;
-Kukonda sana
-kupungua uzito
-kuishiwa nguvu
-homa za mara kwa mara
-Kutapika au kuharisha kutegemeana na aina ya TB(GI TB)
-Kukohoa mara kwa mara nk.

Lakini watu bado wanafunga milango yao ya fahamu kujifanya hawajui kama hizi dalili mtu mwenye TB pia anakuwa nazo eti kwa sababu redio imetangaza kwamba hizi ni dalili za VVU/Ukimwi.Silaumu sana kwa maana elimu na uelewa pia kipindi kile vilikuwa chini sana.

Hakuna mgonjwa yeyote wa TB ambaye nywele zake zilinyonyoka kipindi kile kabla ya ARVs hazijaanza kutumika.Kama mtu ana evidence alete hapa.Baada ya ARVs kuanza kutumika ndio ikaongezeka dalili nyingine ya kunyonyoka nywele au nywele kuwa dhaifu.Pia baada ya ARVs kuanza kutumika,zikaongezeka dalili nyingine kama vile;
-Ugonjwa wa moyo
-Matatizo ya figo
-matatizo ya ini
-tumbo kujaa
-miguu kuvimba
-Upungufu wa damu
-Cancer/saratani

Hayo matatizo niliyotaja hapo juu,hamna hata tatizo moja linalosababishwa na HIV.Kama mtu anapinga alete ushahidi.

Nywele kunyonyoka ni dalili mojawapo ya mtu anayetumia ARVs.ARVs na dawa za chemotherapy zinafanana kwa kuwa na common component.Mgonjwa wa cancer pia akitumia chemotherapy hunyonyoka nywele.Kama mtu anapinga hili pia,aje na evidence.

Watu walikuwa wanadhoofika kabla hata kutangazwa kwa HIV mwaka 1984,yaani miaka ya 1970 na kabla ya hapo,walikuwa wana dalili zote za TB nilizozitaja na watu wa kipindi hicho walikuwa wanaona kwa macho yao.Lakini baada ya kutangazwa kwa HIV,watu wamesahau kabisa kama kuna ugonjwa unaitwa TB na una dalili kama za HIV/AIDS tulizoambiwa/kudanganywa,ama kweli ujinga ni mbaya sana.

Angalizo;
Watu wanaangalia tu upande mmoja,lakini hawajui pia kwamba asilimia ya 97%(WHO data) ya watu waliopimwa wakakutwa na huyu HIV feki katika bara la Afrika hawana AIDS.Asilimia 3% ya walio na huyu HIV feki ndio wana AIDS.Na AIDS waliyonayo inalezeka kisayansi wameipataje,lakini haikusababishwa na huyu HIV feki.

Nikianza kutoa list ya maswali ya kutatanisha kuhusu HIV/AIDS sitamaliza,lakini siko hapa kwa ajili hiyo bali nipo hapa ili kuwaelewesha watu.Lakini kuna watu wamejikita kupinga tu na kuuliza maswali ya mitego ambayo wao wanadhani hayajibiki,kumbe yana majibu rahisi sana.Wanataka wajibiwe,lakini wakijibiwa hawasomi,na wakisoma wanasoma kwa bias,yaani wanasoma huku wakiwa na mlengo wa kupinga.Siwezi kupoteza muda wangu kujadiliana na watu kama hao.

Fahamu pia sasa hivi katika NGO zinazoshughulikia masuala ya HIV/AIDS kuna kitengo kinachohusiana na cervical cancer kwa wanawake.Sasa umeshawahi kujiuliza kwa nini wameweka kitengo hicho ndani ya NGO hizo?

Jibu ni rahisi sana;Ni kwa sababu wanawake wengi wanaotumia ARVs kwa muda mrefu mwishowe hupata cervical cancer,cancer hii haisababishwi na HIV la hasha,husababishwa na matumizi ya ARVs.Dawa za uzazi wa mpango pia husababisha cancer,lakini hapa nazungumzia specifically ARVs.
Je,unajua pia kwa nini mama wajawazito sasa hivi kuna sheria lazima wapimwe HIV?Jibu ni rahisi sana;Hawa jamaa si kwamba wanatupenda saaaana la hasha,bali wanatafuta wateja kinguvu,wanajua kwamba mama wajawazito ni rahisi sana kukutwa HIV+ kutokana na trick waliyoiweka kwenye vipimo vya HIV.Mama wajawazito wana uwezekano mkubwa wa kutoa protein ambazo zinafanana kabisa na zile zinazokuwa targeted na vipimo vyao ambazo hufanya mwili wa mama mjamzito ku generate antibodies dhidi ya hizo protein.Antibodies hizi zikionekana ndizo zinazofanya vipimo vioneshe kwamba mtu ni HIV+.Lakini kuna muda protein hizi zinatoweka kama hali iliyosababisha zitokee ikitoweka.Na ndio maana mtu anaweza kuwa HIV+ leo halafu siku nyingine akapima akawa HIV-.

Hivyo basi,mtu kuwa HIV+ is not a big deal,ni usanii tu wa vipimo.Ila mtu anayetumia ARVs kwa muda mrefu huwa mara nyingi anaonekana HIV+ kutokana na sayansi ya dawa zilivyo.Yaani ndugu yangu haya mambo ni mengi sana na ni mazito,inahitaji utulie sana,huwezi kutulia kama una attitude ya kupinga.

Mtu mwenye attitude ya kupinga hawezi kupata kitu hapa,atarukaruka tu huku na kule.Na ndio maana hawa jamaa pamoja na kwamba nawachukia,lakini hapa wametumia sayansi kubwa sana kudanganya watu.Na kwa jamii hii ya watu ninayoiona humu JF,wataishia kuongozwa kama ng'ombe malishoni,waombe tu wasipimwe HIV+,watajuta,kwa kuwa hawatajua la kufanya ili kujitetea.Na lazima ARVs ziwaue watu kama hawa.
 
Sasa jiandae vyema na umsikilize kwa makini kabisa neno baada ya neno(usiruke neno) huyu mgunduzi wa HIV anachosema hapa.Narudia,huyu anayesema hapa ndiye mgunduzi wa HIV.Yaani ni 'mungu' wa wale wanaoamini katika dini ya VVU/Ukimwi.Natarajia kwamba hakuna mtu yeyote duniani atakayepinga maneno yake;msikilize hapa chini;
"You can be exposed to HIV many times without being chronically infected,our immune system will get rid of the virus within few weeks if you have good immune system"

Halafu endelea kumsikiliza anazungumzia matatizo halisi yanayotusumbua hasa katika nchi za afrika.

1.Nutrition/misosi
2.Oxidative stress;Hii nitaizungumzia kwa undani baadaye
3.Clean water

Halafu anasema "their immune system doesn't work well already even if they are not infected with HIV",maana yake ni kwamba, watu wanakuwa na ukimwi hata kabla ya kuingiwa na VVU.

Anaendelea kushauri njia za kupunguza maambukizi ya HIV huyu feki ambazo ni;
1.Nutrition
2.Proper antioxidants
3.Hygiene measures
4.Fighting the specific infection(tusisingizie HIV,tutibu tatizo halisi)

Anaulizwa:"If you have good immune system then your body can get rid of HIV?"
Anajibu:Yes.
Ooooh very interesting!!! au mimi naota?Hebu sikiliza wewe mwenyewe.

Anaendelea kusema tena kwamba;"This is important knowledge which is completely neglected,people always think of drugs and vaccines"

Na mwisho yeye mwenyewe anakubali kwamba alichokisema ni tofauti na kile alichosema kipindi cha nyuma,yaani vinapingana.Huyu jamaa ameingizwa kwenye kundi la watu wenye roho mbaya bila kupenda,sasa roho yake inamsuta na anaamua kusema ukweli.Huyu ndiye mgunduzi wa HIV feki,Robert Gallo alimuibia tu data na yeye ndiye katangazwa kwanza.Walichokigundua hata wenyewe wanajua kwamba hakisababishi Ukimwi,ni njaa tu ndio inawasumbua.

Haya sikiliza sasa;

Naelewa, ila kuna maswali ya msingi nmeyauliza hujanijibu bado..

Ni hv mkuu, hatukatai unavovisema hapa, ila inavyooneka wew umejielekeza zaidi ktk tafiti zinazopinga uwepo wa HIV/AIDS ambazo kweli zina facts...
Sasa lazima mwsho wa siku utuambie solution ni nin.
Kwa bahati mbaya solution zako zote hazina majibu ya kutosha. Mfano nmekuuliza..
1. JE UNA USHAHIDI WA WATU WALIOGUNDULIKA NA UKIMWI HALAFU WAKAJITIBU HAYO MAGOMJWA NYEMELEZ KISHA WAKAPONA..??

2. NMEKUULIZA KAMA NGONO HAIENEZ UKIMW NN INAENEZA TENA KWA KASI SANA.. Mfano ni Botswana waliisha watu ila baada ya kudhibiti ngono zembe basi ikaisha kama sio kupungua. Mifano ni mingi kuwa toka watu waache ngono zembe ndio rate ys vifo na wagonjwa ikapungua.

3. NIMEKUULIZA KAMA UKIMW HAUPO NA HAUAMBUKIZW KWA NGONO..IWEJE MTU ANAYEKUFA KWA UKIMWI AKIANDIKA LIST YA ALIOLALA NAO BASI SIKU SI NYNG NAO WANAKUFA

4. NIMEKUULIZA KAMA VIRUS HAVIPO IWEJE WATU WEUS PEKEE NDIO TUNASHAMBULIWA KWA KASI NA UGONJWA HUU HATA KAMA UPO MAREKANI/ULAYA.. as so long you are black basi ukiambukizwa unakufa. Weupe hawaadhirik kama sis

5. NIMEKUULIZA UKISEMA ISHU NI KINGA ZETU KUWA ZINAKUWA NDOGO KISA NUTRITION , HIVI HII INAUKWELI GANI WAKATI MAREKANI BLACK-AMERCAN WENYE PESA ZAO BADO WANAKUFA NA HATA HAPA KWETU TUSINGEZIKA MATAJIRI WENYE HELA ZA KUTOSHA ZA KUNUNUA HVYO VYAKULA
 
Sasa jamani tushike lipi ? Wanasayansi watafiti watusaidie majibu !
 
Nina maswali nahitaji majibu kwa wanaopinga na wanaokubaliana na uwepo wa ugonjwa huu nimejaribu kufuatilia mjadala huu kwa kina mpaka ulipofikia.

1) Madaktari wanawezaje kutofautisha mgonjwa wa T.B na muathirika wa HIV maana kama ni mgonjwa wa TB ni imani yangu hizo antibodies lazima zizalishwe. Kuna uthibitisho wa kutosha wapo wagonjwa wa TB lakini sio waathirika wa HIV ni vigezo vipi wanatumia kuwatenga hawa wagonjwa?

2) Kama ugonjwa huu hauambukizwi na wanapima hizo antibodies inakuaje kwa watoto wanazaliwa na kuambukizwa HIV iwe kipindi cha kuzaliwa au baada ya kuzaliwa (maambukizikutoka kwa mama kwenda kwa mtoto) maana yake mara baada ya maambukizi ( kama kweli yapo) hizo antibodies zinaanza kujizalisha? Au kuna kitu gani kinaendelea hapo?

Ningependa kupata majibu kutoka pande zote mbili kwa ulewa zaidi juu ya suala hili tata.

Nawasilisha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom