maranyingi ukipima hata ka ulikuwa na matatizo au ugonjwa kinga za mwili zinaweza kuwa chini na ikiwa chini tuu tafsiri yake ni kuwa una HIV, ila hukimbilia kushauri watu kupima ka wana HIV waanze dawa mapema, na hapo ndipo watu huanza kuua na kujimaliza maana ukigusa ARV tuu unawa ka mtu aliye tumia madawa ya kulevya kwa muda yani ukiacha ndipo unakufa haraka tofauti na mtu ambaye alikuwa hajatumia. katika bei ni serikali ndiyo inanunua na kuwapatia wanachi, kama wachangiaji wengine walivyosema kinachoua ni magonjwa mengine kwahiyo ukitibiwa hayo na ukala vizuri ukafanya mazoezi na kupumzika ipasavyo utaishi miaka mingi kiasi kikubwa tofauti na hizidawa tupewazo maana dawa zikizidi mwilini zinajenga sumu taratibu mwisho tunakufa kibudu kutokana na simu kwenye ini na viungo vingine, yani ukiumwa kaugonjwa kadogo unapondoka maana mwili unakuwa na sumu nyingi zitokanazo na dawa hizo