Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatukataa kuwa zinasaidia ila unapaswa kujifunza namna zinafanya kazi then utakubaliana na wengi walochangia hapo awaliHizo taarifa zote hapo juu ni za uwongo....HIV ni habari nnyingine tusidanganye umma.ARV zimesaidia wengi sana nchi hizi zetu za kiafrica.
Hapana, magonjwa si ukimwi tu, kuna gono, swende na mengineMtumishi Deception anazidi kujipatia kondoo.
Watu wanatafuta kila njia kuhalalisha kavu.
sana mkuuyupo mkuu. bila shaka ulikuwa unafuatilia sana masomo na elimu zake
Toa hoja, hapo hujachangia kituThis is bad, REAL bad...
mkuu ni hivi wanatuweka katika mazingira ambayo yatatufanya na afya nusu ili tuweze kununua bidhaa zao ikiwa ni dawa, unafikiri ukiletewa dawa zakuangamiza mazalia na mbwu wote si watafunga viwanda vyao? kwahiyo hawatutatulii matatizo ili sisi tuwe soko lao la madawa we jiulize kwanini kwao hamna maleriaIla hawa watu weupe sio wazuri kabisa, kuna kipindi aliekuwa rais wa marekan Bushi alikuja bongo akatoa vyandarua kama sikosei mia nne au laki nne hivi nikajiuliza sana hivi jamaa alishindwa kusaidia jinsi kupunguza au kuondoa kabisa mazalia ya mbu akaona atupe vyandarua wakati asalimia kubwa tunang'atwa na mbu nje ya kitanda, hawa jamaa wanatuona mapoyoyo
Je, umeshawahi kujiuliza ni kwanini hadi leo hakuna kipimo cha uwepo 'virusi vya ukimwi'? Badala yake tunapima uwepo wa 'antibodies' ambazo mwili hazalisha ukiumwa magonjwa mbalimbali kama T.B, malaria nk.Hizo taarifa zote hapo juu ni za uwongo....HIV ni habari nnyingine tusidanganye umma.ARV zimesaidia wengi sana nchi hizi zetu za kiafrica.
Nasikia Africa hutumia dollar bilioni 30 kutibu malaria peke yake, kila mwaka, just imagine; kwa style hii hakuna atakaekupa chanjo ya malaria, ni dawa tu ili waendelee kufanya biashara.mkuu ni hivi wanatuweka katika mazingira ambayo yatatufanya na afya nusu ili tuweze kununua bidhaa zao ikiwa ni dawa, unafikiri ukiletewa dawa zakuangamiza mazalia na mbwu wote si watafunga viwanda vyao? kwahiyo hawatutatulii matatizo ili sisi tuwe soko lao la madawa we jiulize kwanini kwao hamna maleria
wenzetu wanalenga parefu, kumbuka kunakipindi Nigerial walishawahi kukataa hi misaada wakidai inapunguza uwezo wa kupata watotoNasikia Africa hutumia dollar bilioni 30 kutibu malaria peke yake, kila mwaka, just imagine; kwa style hii hakuna atakaekupa chanjo ya malaria, ni dawa tu ili waendelee kufanya biashara.
Alafu leo nyuzi zinazohusiana kwa namna moja au nyingine hiv/aids mbona nyingi sana humu? Kunani?
Mkuu tutoe matongotongoHIV ni retrovirus.Retrovirus huyu amebambikiziwa jina hili la HIV ili aonekane ana sifa za kusababisha AIDS kitu ambacho si kweli.HIV is a political and commercial/business name,watu wawili tu wamekaa na kuamua apewe jina hilo bila hata single scientific proof/paper published kuthibitisha ukweli huo.Hakuna ugonjwa unaoitwa AIDS unaosababishwa na HIV.Najua hili ni jambo geni kwa wengi,ila ndio ukweli.
Nakaribisha mtu yeyote mwenye mashaka au anayepinga hili na hasa madaktari ndio target yangu maana wao wamelishwa sumu hii wakiwa masomoni.HIV free generation ni ile tu inayojua ukweli ulivyo.
Na ndio maana contradictions haziishi kuhusu ugonjwa huu feki.Karibuni kwenye mjadala ambao utakuondoa kwenye utumwa wa kifikra.
1.Ukimwi hauambukizwiMkuu tutoe matongotongo
.hebu anza kutupa somo. Hapa nina pen na karatas kabsa
1.Ukimwi hauambukizwi
2.Ukimwi hauambukizwi kwa njia ya ngono
3.HIV hawezi kusababisha ukimwi na hasababishi ukimwi kwa kuwa hana sifa ya kusababisha ukimwi.Nashauri tujitahidi kwenda nje ya mainstream kutafuta habari,mambo mengi tunayoyafahamu kwenye dunia hii hayapo kama tunavyoyaona au kuyasikia,na mambo yamewekwa hivyo kwa sababu maalum kabisa.Anayesikia haya kwa mara ya kwanza atadharau au kufunga milango yake ya fahamu,kufunga milango ya fahamu hakubadilishi ukweli kuwa uongo,ukweli utabaki palepale.
Ukielewa ukweli kuhusu jambo hili utakubaliana na mimi kwamba mtu yeyote anayeogopa HIV ni sawa na kuogopa kivuli chake mwenyewe.Kama una swali lolote ambalo unadhani lina utata kuwa huru kuuliza.Nimetimiza wajibu wangu kutoa dokezo,kama mtu ana dukuduku/swali awe huru kuniuliza.
Hebu gusa link hapo chini kwa kuanzia;
Ok, naona umetoa tahadhar zaidi
Tunaomba utuambie kama tuambiwayo ni uongo je ukwel ni upi sasa..??
Binafs nakubaliana nawe kabsa kuwa tuambiwayo ni mengi ni geresha na tunafishwa siri nyng
Naomba pia unielekeze wap naweza pata taarifa hz, na nyngne za siri ambazo tunafishwa
Bado nipo macho nasubiria majibu
Bado nipo macho nasubiria majibu