Huyu ndiye daktari aliyejichoma sindano ya UKIMWI ili kuthibitisha kuwa UKIMWI ni uongo!

Status
Not open for further replies.
kweli mkuu kitu kinachofanyika hapo ni kufanya biashara kwa kukufanya kuwa sugu/addicted kwahiyo ukashaanza kutumia tuu ujue imekuwa tabu na wenyewe wakiwa wanalijua hilo wanahamasisha upimaji zaidi kuliko uchukuaji wa hadhari
Nilipoteza Kaka zangu wawili wakubwa kisa huu upuuzi wa ukimwi,ndio nikaanza fanyia utafiti na asilimia kubwa zikabase kwenye biashara ya wafanyabiashara wakubwa wenye madawa... Siamini hadi kesho...

Hujiulizi kwanini wanakuambia eti kula matunda, diet na fanya mazoezi ya kutosha na upate muda wa kupumzika, katika hali ya kawaida ni vitu ambavyo binadamu unapaswa kufanya. Kuna manabii wa uongo wamewapiga watu hela sana kapitia huo ujinga wa ukimwi.... Ukiamini na ukaanza tu madawa yao tunakuzika kabla ya muda sababu unakua umeadhiriwa psychologically
 
Hayo mashudu yanaweza yakampunguzia kinga kulingana na maelezo ya huyo daktari, na pia inawezekana alipima wakati anaugua labda T.B, hivyo antibodies zikawa nyingi, kumbuka, kipimo cha ukimwi hakipimi virusi vya ukimwi, bali vinapima viwango vya hizo chembe chembe ambazo mwili huzalisha unapokuwa unaumwa magonjwa mbalimbali
Exactly, nakumbuka nimewahi kufanya kazi shirika linalohusika na mambo ya hiv aids na wazungu nilikua nawaambia kabisa ukiamini hapa umekufa, wale wazungu hawakuwa wanajua kiswahili so nilowaokoa wengi tu kwa upuuzi wa hawa watu weupe
 
kweli mkuu kitu kinachofanyika hapo ni kufanya biashara kwa kukufanya kuwa sugu/addicted kwahiyo ukashaanza kutumia tuu ujue imekuwa tabu na wenyewe wakiwa wanalijua hilo wanahamasisha upimaji zaidi kuliko uchukuaji wa hadhari
Hivi ni kwanini nguvu nyingi inatumika kushawishi watu wapime zaidi badala ya kuendelea kuwahimiza kujikinga?
 
Ndio hapo sasa??? Kwanini nguvu nyingi isielekezwe kwenye kiwahimiza watu wale vyakula safi yaan balanced diet na kufanya mazoezi na kupata muda wa kupumzika vizuri??? They want to do business that's why they hid so many important information from us illiterates
 
Hivi ni kwanini nguvu nyingi inatumika kushawishi watu wapime zaidi badala ya kuendelea kuwahimiza kujikinga?
maranyingi ukipima hata ka ulikuwa na matatizo au ugonjwa kinga za mwili zinaweza kuwa chini na ikiwa chini tuu tafsiri yake ni kuwa una HIV, ila hukimbilia kushauri watu kupima ka wana HIV waanze dawa mapema, na hapo ndipo watu huanza kuua na kujimaliza maana ukigusa ARV tuu unawa ka mtu aliye tumia madawa ya kulevya kwa muda yani ukiacha ndipo unakufa haraka tofauti na mtu ambaye alikuwa hajatumia. katika bei ni serikali ndiyo inanunua na kuwapatia wanachi, kama wachangiaji wengine walivyosema kinachoua ni magonjwa mengine kwahiyo ukitibiwa hayo na ukala vizuri ukafanya mazoezi na kupumzika ipasavyo utaishi miaka mingi kiasi kikubwa tofauti na hizidawa tupewazo maana dawa zikizidi mwilini zinajenga sumu taratibu mwisho tunakufa kibudu kutokana na simu kwenye ini na viungo vingine, yani ukiumwa kaugonjwa kadogo unapondoka maana mwili unakuwa na sumu nyingi zitokanazo na dawa hizo
 
Hayo mashudu yanaweza yakampunguzia kinga kulingana na maelezo ya huyo daktari, na pia inawezekana alipima wakati anaugua labda T.B, hivyo antibodies zikawa nyingi, kumbuka, kipimo cha ukimwi hakipimi virusi vya ukimwi, bali vinapima viwango vya hizo chembe chembe ambazo mwili huzalisha unapokuwa unaumwa magonjwa mbalimbali
Hivi sasa kawa kama kachanganyikiwa afya yake haija rudi kama zamani sasa ndugu wengine wana sema karogwa.
 
maranyingi ukipima hata ka ulikuwa na matatizo au ugonjwa kinga za mwili zinaweza kuwa chini na ikiwa chini tuu tafsiri yake ni kuwa una HIV, ila hukimbilia kushauri watu kupima ka wana HIV waanze dawa mapema, na hapo ndipo watu huanza kuua na kujimaliza maana ukigusa ARV tuu unawa ka mtu aliye tumia madawa ya kulevya kwa muda yani ukiacha ndipo unakufa haraka tofauti na mtu ambaye alikuwa hajatumia. katika bei ni serikali ndiyo inanunua na kuwapatia wanachi, kama wachangiaji wengine walivyosema kinachoua ni magonjwa mengine kwahiyo ukitibiwa hayo na ukala vizuri ukafanya mazoezi na kupumzika ipasavyo utaishi miaka mingi kiasi kikubwa tofauti na hizidawa tupewazo maana dawa zikizidi mwilini zinajenga sumu taratibu mwisho tunakufa kibudu kutokana na simu kwenye ini na viungo vingine, yani ukiumwa kaugonjwa kadogo unapondoka maana mwili unakuwa na sumu nyingi zitokanazo na dawa hizo
Exactly nusura nimpoteze Kaka yangu mwingine tuliletewa hivyo vipimo na Kaka yangu ambaye ni doctor kupima jamaa akaonekana anao, weeee akapagawa akakimbilia angaza akaambiwa hauna yaaani unaweza kufa hivi hivi ukijiona
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom