City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Za kuambiwa changanya na za kwako 😀.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawa mkuu.Hapana, huu ni mjadala, na hakuna kitu conclusive hapa.
Na magonjwa si ukimwi tu, kuna Gono, swende, na unwanted pregs ni suala jingine piasawa GT nimekuelewa. Ila nondo zako na madini katika civil engineering nakukubali
Mimi si mwanachuo. Ni mzee kabisaaHuna cha chuo?
Eti mashuduWana twambia hivi sasa ukipima Tu unaanza kula mashudu. Itakuwa kuna kitu hapa. Kinacho shangaza Nina ndugu kaugua sana kupima anao. Kurudia baadae hana ila kaambiwa asiache kula mashudu
Mkuu hii mada ya VVU ni pana kuliko baadhi ya members wanavyoichukulia. Inataka utulivu wa akili na tafakuri ya kina ili mtu aruhusu jambo jipya liingie kwenye ufahamu wake tofauti na alivyoaminishwa miaka na miaka.Umeshawahi kujiuliza ni kwanini hadi leo hakuna kipimo cha kupima uwepo wa 'VIRUSI VYA UKIMWI'? Badala yake tunapima uwepo wa 'ANTI-BODIES' ambazo mtu huzalisha mwilini hata akiwa anaumwa T.B au Malaria?
Soma mada hii hapa kwenye link ni ndefu sana lakini amini uki-subscribe ukawa unasoma walau page 10 itakua vyema sana.Wana twambia hivi sasa ukipima Tu unaanza kula mashudu. Itakuwa kuna kitu hapa. Kinacho shangaza Nina ndugu kaugua sana kupima anao. Kurudia baadae hana ila kaambiwa asiache kula mashudu
Si wameona hamfi haraka,ulishaona wapi eti ukipima tu,uanze dozi hapohspoWana twambia hivi sasa ukipima Tu unaanza kula mashudu. Itakuwa kuna kitu hapa. Kinacho shangaza Nina ndugu kaugua sana kupima anao. Kurudia baadae hana ila kaambiwa asiache kula mashudu
kweli mkuu kitu kinachofanyika hapo ni kufanya biashara kwa kukufanya kuwa sugu/addicted kwahiyo ukashaanza kutumia tuu ujue imekuwa tabu na wenyewe wakiwa wanalijua hilo wanahamasisha upimaji zaidi kuliko uchukuaji wa hadhariVery true! But HIV/AIDS weakens your body immune and leave it free for even fungus to kill you!
...goodNgoja nikajichome....
Hayo mashudu yanaweza yakampunguzia kinga kulingana na maelezo ya huyo daktari, na pia inawezekana alipima wakati anaugua labda T.B, hivyo antibodies zikawa nyingi, kumbuka, kipimo cha ukimwi hakipimi virusi vya ukimwi, bali vinapima viwango vya hizo chembe chembe ambazo mwili huzalisha unapokuwa unaumwa magonjwa mbalimbaliWana twambia hivi sasa ukipima Tu unaanza kula mashudu. Itakuwa kuna kitu hapa. Kinacho shangaza Nina ndugu kaugua sana kupima anao. Kurudia baadae hana ila kaambiwa asiache kula mashudu
Tupoooo,Wazee Wa Chips Kavu Kama Nawaona Bichwa Ilooooooo