Huyu ndiye Giriki, Dereva aliyetoka na basi Dar saa 12 asubuhi, akaingia Mbeya saa saba mchana

Kuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze
Mwaka gani? Mabasi ya Dar-Mwanza baada ya kukamilika barabara ya Lami Yaliyokuwa yanakimbia yalikuwa Ally's sport, Mombasa Raha, Mohammed, Colourstar, Greenstar baadaye Kisbo
 
Huu ni uongo mwingne aisee basi 150 haipo zamani mengi ilikuwa ni 140 jamaa katembea 140 kutoka dar mpaka mwanza bila ya kusimama haiwezekani
 
Huyo Giriki si aliwahi kusababishwa ajali iliyoua sana mpakani mwa Ruvuma na Njombe?
Ajali ya Shabibu kama sikosei.Mpaka Leo eneo lile wameweka kumbukumbu ya ajali.
 
Alikuwa jamaa fulani mweupe hivi, kipindi kile 2010-2012 kufika Mwanza saa 1 kamili jioni ilikuwa kawaida sana au kufika Dar saa 1;30 jioni jamaa alikuwa anaendesha hadi anazipita baadhi ya mabasi yanayotoka Kahama, kuna siku nilipanda siti ya mbele nilijuta kwa ule Mwendo
 
Kuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze
OK. Naamini. Abood ni wachawi sana, bila gari kutambikiwa ikifika Morogoro hama safari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…