Average speed ndugu,mfano kama minimum speed ni 80 na maximum ni 160 mbn inawezekana,average speed sio constant speed mkuu.Wewe unaijua barabara ya Dar to Mby? Maeneo mengi huwezi kutembea na 120.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Average speed ndugu,mfano kama minimum speed ni 80 na maximum ni 160 mbn inawezekana,average speed sio constant speed mkuu.Wewe unaijua barabara ya Dar to Mby? Maeneo mengi huwezi kutembea na 120.
Kweli aiseePia nampongeza sana kwa kujitunza hadi leo hii.. maana Madereva wengi wa enzi zile wameondoka na Ngwengwe.
Mbona huyo giriki hukupinga?Huu umeanza uongo
Kwa barabara ipi?? Ile chakavu ya zamani? Acheni kamba.Zamani mabasi yalikua yanakimbia sana. Tumewahi ingia ubungo na Tawaqal ya kyela saa Tisa jioni. Hiyo ilikua 1996
Mkuu Songea ipi ya mikumi au?sisi mwaka 2001 tulitoka dar na zainabu saa 12 asubuhi tukafika Songea saa 6:13 mchana,nilishangaa sana... madereva wa zamani achana nao.
Kanaflow...??
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Mbawala chini, kwenye embe.Naliendele kwenye mashamba ya ming'oko
Yaani jamaa amekuwa mzoefu mpaka asipoendesha basi anamwaNasikia anaendesha Mombasa hadi Nairobi
Tawaqal hajawahi kuwa injini za lori kipindi hicho cha akina matema,kiswele,zainabu(volvo)masia nk waliokuja na injini za malori ni akina happy nation,nganga,budget nk tena hiyo tawaqal ya giriki ilikuwa na gia sita tu yaani basi halisi.Magari ya zamani yalikuwa ni malori modified. Lory la kubeba tani 30 libebe abiria 65, giant box high na low, diff imechezewa, bodi limebalance. Utaipenda Scania
Nanga zilifia wapi? Au punje za mahindi?Tawaqal hajawahi kuwa injini za lori kipindi hicho cha akina matema,kiswele,zainabu(volvo)masia nk waliokuja na injini za malori ni akina happy nation,nganga,budget nk tena hiyo tawaqal ya giriki ilikuwa na gia sita tu yaani basi halisi.
Dah[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Mbawala chini, kwenye embe.
[emoji23][emoji23]Unastahili vipimo vya covid vile vya Kichina!
Ni uongo na haiwezekaniKuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze
Inawezekana basi mimi naanza kuzeeka, labda nitulie nielekezwe vizuri.. Wewe ni mtu wa pili sasa,Average speed ndugu,mfano kama minimum speed ni 80 na maximum ni 160 mbn inawezekana,average speed sio constant speed mkuu.
Nakumbuka mwaka 2006 nilipanda bus jipya kipindi hicho la NEW FORCE (sijui kama bado lipo) kutoka Dar es Salaam to Kyela nilishuka Tukuyu mjini saa 9 jioni. Tuliondoka saa 12 asubuhi Ubungo.Zamani mabasi yalikua yanakimbia sana. Tumewahi ingia ubungo na Tawaqal ya kyela saa Tisa jioni. Hiyo ilikua 1996
Giriki ndo kachoka ad macho yametumbukia ndani afu Mshkaj alikua na kizizi Overtake zake sehemu hatarishi wanaita point mwinuko, mteremko, Kona ya kushoto au kulia, makazi ya watu. Alishagonga watu kibao ilikua mwiko kuyumbisha gari kumkwepa mlevi mwendesha baiskeli ya Ulanzi TanangoziMajuz kat nilikuw kijiwen nikawa nawaambia wadau kuw sikuhiz magari hayakimbii kama zaman
Zaman ukiw ndan ya Gari unaona miti inakimbia sio mchezo , sikuhz gari inatembea kph-80,
Ila wadau walipisha wakidai ya sasa ndio yanakimbia kwa dhana ya uki sasa tuu kumbe wapi
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Hadi 180 mkuuBasi la abiria linaweza kwenda 160 au hata 150 tu?
logicMmesahau kuwa barabara pia siku hizi magari yamekuwa ni mengi kuliko hiyo zamani. Pia safety measures ni nyingi kama kuwepo na police wengi, speed bumps n.k
Sasa kama zama hizo anatoka Dar mpaka Mbeya na njiani hapishani na gari hazifiki hata 100 si anatembea atakavyo.