Huyu ndiye Giriki, Dereva aliyetoka na basi Dar saa 12 asubuhi, akaingia Mbeya saa saba mchana

Magari ya zamani yalikuwa ni malori modified. Lory la kubeba tani 30 libebe abiria 65, giant box high na low, diff imechezewa, bodi limebalance. Utaipenda Scania
Tawaqal hajawahi kuwa injini za lori kipindi hicho cha akina matema,kiswele,zainabu(volvo)masia nk waliokuja na injini za malori ni akina happy nation,nganga,budget nk tena hiyo tawaqal ya giriki ilikuwa na gia sita tu yaani basi halisi.
 
Nanga zilifia wapi? Au punje za mahindi?
 
Average speed ndugu,mfano kama minimum speed ni 80 na maximum ni 160 mbn inawezekana,average speed sio constant speed mkuu.
Inawezekana basi mimi naanza kuzeeka, labda nitulie nielekezwe vizuri.. Wewe ni mtu wa pili sasa,

Hivi basi la abiria linaweza kukimbia 160km/hr?
 
Giriki ndo kachoka ad macho yametumbukia ndani afu Mshkaj alikua na kizizi Overtake zake sehemu hatarishi wanaita point mwinuko, mteremko, Kona ya kushoto au kulia, makazi ya watu. Alishagonga watu kibao ilikua mwiko kuyumbisha gari kumkwepa mlevi mwendesha baiskeli ya Ulanzi Tanangozi
 
Nimebaki nawaza aina ya abiria aliokuwa nao humo ndani.
 
logic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…