Huyu ndiye Giriki, Dereva aliyetoka na basi Dar saa 12 asubuhi, akaingia Mbeya saa saba mchana

Huyu ndiye Giriki, Dereva aliyetoka na basi Dar saa 12 asubuhi, akaingia Mbeya saa saba mchana

Huu ni uongo mwingne aisee basi 150 haipo zamani mengi ilikuwa ni 140 jamaa katembea 140 kutoka dar mpaka mwanza bila ya kusimama haiwezekani
Hiyo kitu ya Ally's ni ukweli mtupu, baada ya hapo hiyo gari ilianza kuitwa Ally's NDEGE[emoji23].

Hii sio kamba kabisa.
 
Yaani uko shule (Sekondari) unawaza kurudi Njelii kucheck vituko vya wahuni wa kipindi hicho!
Kulikuwa na shetani na Yesu. Nonde kulikuwa na Mwasimba, Chiba, Mswanga, Kajole, Santaiga..

Aiseee. Soko Matola kulikuwa na Francis Kachinga Mpakasi, Henry Mwambopo Henule Rasta, Mike Mapugilo na wadogo zake.

Jacaranda kina Butwa, Makorija
 
140 inafika vizuuri kabisa
Michina mingi ni 140.

Kipindi nipo group la whatsapp la RSA kuna basi ya Tawakal ilipigwa tochi 142kph

160[emoji15][emoji15]
Mkuu championi ya dar Dom ilkua inatembea hadi 150km/h,, hata sasa bus nyingi tuu zinatembea hadi 140 ila tatzo timetable na ukaguzi kibao ndo maana mara nyingi hua zikikaribia stand zinasimama kuchimbisha dawa kusubiri muda.
 
Inawezekana basi mimi naanza kuzeeka, labda nitulie nielekezwe vizuri.. Wewe ni mtu wa pili sasa,

Hivi basi la abiria linaweza kukimbia 160km/hr?
Tatizo wewe huelewi, watu wanazungumza kimahesabu na kifizikia wewe umeng'ang'ana na uswahili.

ELEWA MAANA YA AVARAGE SPEED.

Practically hakuna gari linaloweza kutembea constant speed ya 160Kmhr kutokana na nature ya barabara na factor nyingine ni lazima litakuwa linaongeza au kupunguza speed. Kuna mahali litaendeshwa kwa 40, 60, 100, 120 140 or whatever, AVARAGE speed ni hesabu inayotumika kuzikusanya hizo speed zote ili kiwe kitu kimoja.

Mtu akisema AVARAGE anakuwa ana maanisha WASTANI, kwahiyo mtu akikwambia avarage ya 120kmhr hana maanaa kwamba basi lilitembea kwa speed hiyo wakati wote.

Halafu usikatae basi kuendeshwa kwa speed ya 120kmhr hadi 140kmhr ni kawaida sana kwa baadhi ya vipande vyenye lami mkeka na zenye kumyooka.
 
Mwaka gani maana hii story ni kama ya kijiweni? Kama 12 jioni ni sawa ila sio ya sa sita
Anamanisha saa moja kasoro jioni na hiyo story sio uongo mkuu, hiyo Ally's nakumbuka ilikuwa maarufu sana pale stand ya NYEGEZI iliitwa ALLY'S NDEGE[emoji3].
 
Kaberege alifariki [emoji26][emoji24] sikuwa na habari.
Amefariki kitambo mmoja Kati ya madereva aliekuwa anapenda kukimbia lakini muoga alikuwa akawii kuwapelekeni porini(kuchochora)
Tunamkumbuka Sana toka enzi anaendesha Cold Mirinda na baadae Masia
 
Hili basi lililobandikwa hapa la Tawaqali nalifahamu sana though sijawahi kupanda, kulikua na KISWELE pia those years, yote haya yalikua moto chini barabarani; huyu dereva simfahamu but historia za hizi kampuni najua, nina mashaka na ukweli wa hi taarifa, kwamba saa 7 mchana alikua Mbeya sidhani kama kuna UKWELI, hi ni chai kama zilivyo zingine tu. Saa 10 naweza kukubali but not saba mchana, that's a big lie
 
Kuna dereva wa basi la abood alitoka mwanza saa 1 asubuhi akafika morogoro saa 4 asubuh yaani alitumia masaa 4 tu. Ila alikamatwa chalinze
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kamba
 
Hili basi lililobandikwa hapa la Tawaqali nalifahamu sana though sijawahi kupanda, kulikua na KISWELE pia those years, yote haya yalikua moto chini barabarani; huyu dereva simfahamu but historia za hizi kampuni najua, nina mashaka na ukweli wa hi taarifa, kwamba saa 7 mchana alikua Mbeya sidhani kama kuna UKWELI, hi ni chai kama zilivyo zingine tu. Saa 10 naweza kukubali but not saba mchana, that's a big lie
Imposible
 
IMG_8790.jpg
Kipindi hicho hamna kingamuzi
 

Attachments

  • IMG_8791.jpg
    IMG_8791.jpg
    42.3 KB · Views: 27
Back
Top Bottom