Huyu ndiye Jokate Mwegelo – kiongozi, mwanasiasa na mwanamke shupavu

Kuna watu bila mbereko muda huu wangekua TANDALE, ZAKHEM, CHAMAZI wanafanya ujasiliamali
Jokate CSEE results
CIV-B HIS-B GEO-C KIS-B ENG-A FRE-B PHY-B CHE-A BIO-A BAS-D
Division One points 11.

Hata kama mbeleko ilikuwepo tayari ilimkuta anabebeka. Alikuwa kipanga haswa. Sio mchezo mchezo.
 
Nilicho kuja kugundua ukiwa na mtoto ukamuanzisha shule ya primary school inayo fundisha kwa kingereza watoto wengi hawapatagi tabu O_level na A-level kimasomo tofauti na sisi TULIO somaga st. Kayumba na kibishi bishi tukafaulu vizuri.

min -me nakualika IBUNGU PUB MABIBO , MamaSamia2025 Karibu pia tupate bia na nyama choma

Monetary doctor kuanzia saa tisaa nipo free tunaweza panga ratiba kama haupo busy Leo.
 
Kaka mimi samaki mkubwa na supu yake , nyama nimeacha kula rasmi bwashee
 
Nilicho kuja kugundua ukiwa na mtoto ukamuanzisha shule ya primary school inayo fundisha kwa kingereza watoto wengi hawapatagi tabu O_level na A-level kimasomo tofauti na sisi TULIO somaga st. Kayumba na kibishi bishi tukafaulu vizuri.

min -me nakualika IBUNGU PUB MABIBO , MamaSamia2025 Karibu pia tupate bia na nyama choma

Monetary doctor kuanzia saa tisaa nipo free tunaweza panga ratiba kama haupo busy Leo.
Nashukuru sana kwa mwaliko... hapo Ibungu kulikuwa na manzi ana makalio ya dunia nzima... ni sehemu iliyobeba kumbukumbu zangu nyingi za enzi nikiwa mdhambi.
 
Nilicho kuja kugundua ukiwa na mtoto ukamuanzisha shule ya primary school inayo fundisha kwa kingereza watoto wengi hawapatagi tabu O_level na A-level kimasomo tofauti na sisi TULIO somaga st. Kayumba na kibishi bishi tukafaulu vizuri.

min -me nakualika IBUNGU PUB MABIBO , MamaSamia2025 Karibu pia tupate bia na nyama choma

Monetary doctor kuanzia saa tisaa nipo free tunaweza panga ratiba kama haupo busy Leo.
Hakuna kitu kinatia moyo na hamasa kma hizo A, B kwenye matokeo daaah!!! Ni vile siku hz ajira ngumu Ila km mzazi unafarijika sana ,,

Utakuwa upande upi mkuu ? Ratiba bado sina pa kwenda Ila Nina vishughuli vidg vidg

MamaSamia2025 sio chugastan kweli maake naona anaitaja sana mianzini
 
Tuchekiane inbox
 
Sijaokoka ila nimeacha ushenzi mwingi.... zamani nilikuwa kama shareholder wa Ibungu, corner bar, rombo green view na bar fulani ilikuwa karibu na Msimbazi center kabla haijabomolewa. Pia Sewa na Kimboka in my 20s nimehudhuria sio haba.
Duh wewe kiboko bwashee
 
Hakuna kitu kinatia moyo na hamasa kma hizo A, B kwenye matokeo daaah!!! Ni vile siku hz ajira ngumu Ila km mzazi unafarijika sana ,,

Utakuwa upande upi mkuu ? Ratiba bado sina pa kwenda Ila Nina vishughuli vidg vidg

MamaSamia2025 sio chugastan kweli maake naona anaitaja sana mianzini
Ni kweli ni chugastan ila mapambano ya maisha yamenifanya niwe mbali na home. Nenda Ibungu ukaonane na kina min-me... neno la Mungu linasema ndugu wanapokuwa pamoja tayari anakuwa yuko kati yao. Damu ya Konyagi ikawafunike. Amen
 
Back
Top Bottom